JK akimkabidhi Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo WAMA Mama Salma Kikwete kijitabu chenye mwongozo wa sera ya mpya ya kilimo nchini leo katika viwanja vya maonyesho ya Kilimo huko Nzuguni,nje kidogo ya mji wa Dodoma.Rais Kikwete alifungua rasmi maonyesho hayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. sasa huu ni usanii na umalizaji muda. lakini wakati huo huo inaleta maana fulani kuwa huyu mama japo mkwe ,inasimamia taasisi inayosimamia maendelao ya wanawake wengi amabao wengi wao ni wanawake wakulima masikini. anondgesze seriousness tu katika kukabiliana na mafisadi.

    ReplyDelete
  2. NautiakasiAugust 03, 2009

    Aaah si wangekabidhiana tu wakiwa home!

    ReplyDelete
  3. Baba na mama bwana wanamambo!!!!Hicho kijitabu walishakabidhiana tangu jana usiku akakisoma hadi kuchoka eti nyie ndio mnakuja kuonyeshwa saa hizi. Maajabu.........

    ReplyDelete
  4. Haya bwana.

    ReplyDelete
  5. AH,,nilijua wanawake wanaheshimiwa huku uzunguni tu,kumbe hata huko Afrika wasio heshimika niwakulima tu labda.Duh,, JK amenyenyekea ki kwelikweli.hongera raisi kwa mfano bola wa kuheshimu wake zetu.

    ReplyDelete
  6. Mama wa kwanza kapendeza ile mbaya. Halafu anafanya kazi ambazo hazijawahi kufanywa na Mama wa Kwanza yeyote huko Tanzania

    Mungu Mbariki SJK (salma jk)

    Naomba kuwasilisha

    ReplyDelete
  7. Mtoa mano Aug 03,07:38 acha kutudanganya.kazi hazijawahi fanywa na mama yeyote wa Kwanza TZ mama Anna Mkapa alikuwa anacheza na fursa sawa kwa wote???Msifie ila usiseme ndio wa kwanza tanzania kwa ma first ladies.Hata kama mnamchukia mama Mkapa na mkapa ila sifa zake mpeni mabaya yaacheni

    Mdau

    Pittbugh,USA

    ReplyDelete
  8. hivi wanatutania au?

    ReplyDelete
  9. hawatutanii wala nini kwani we si unaona anakabidhiwa kijitabu? na mizengo shahidi

    ReplyDelete
  10. kizuriiiiiiii kula na mwenzi wako.

    ReplyDelete
  11. Nilidhani haya mambo yanafanyika UGANDA peke yake.Kumbe hata Bongo tunapeana vyeo kifamilia.lool

    ReplyDelete
  12. duh bongo noma huyu mama si aliku mwalimu jamani pale msasani primary school?ka haka kamchezo hadi raha ngoja nichukue nondoz yangu nitie timu bongo kudadadeki hadi babuyangu kule doda,bamba pankote,anaramba kadili ka ubalozi wanyumba 10 ten ni mshavu tu kwa wadigo wenzangu wote,
    manikizz,greece

    ReplyDelete
  13. Manikizz! kumbe huyu mama alikuwa Ticha pale Msasani Primary? sikujua niliendaga tuisheni pale wiki mbili nikatema,[it wasn't worth it],thanks for the kahistoria...lol

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...