msanii wa kizazi kipya K-Lynn ambaye pia alikuwa miss TZ 2000 ana muonekano mpya kwa sasa, na sio katika mavazi na urembo tu bali maisha kwa jumla, baada ya kufungua kampuni yake ya interior designing ambayo imeanza kupanda chati sana jijini dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Aging, Maturity with Class.Thats what i am talking about K.

    Your Number One fan and Muhaya Mwenzio -Maryland.

    ReplyDelete
  2. Mh mimi sioni yeyote mwenye mvuto huku ktk blog zaidi ya yuleee pale juu pembeni kulia. Smile lake bwana balaaa!!!!

    ReplyDelete
  3. hongera kwa hilo ila bishost unaonekana mzeee kiukwelii

    ReplyDelete
  4. Umesema kweli, kunawatu tabasamu lao bomba kweli. Hivi fulana aliipata ile?

    Hongera K-lynn tunakuombea mafanikio mema. Unaonyesha bidii, big up umetulia huna scandals mbovu mbovu kama ilivyo baadhi ya mastars wengine. BIG UPPPP

    ReplyDelete
  5. Well done klyn we need interior designers in this country,keep it up.

    ReplyDelete
  6. Annon wa 955am kwa ufahamisho K-LYNN si Mhaya. Baba yake ni Mha wa Kigoma na mama yake alikuwa na Unyiha wa mbozi.

    ReplyDelete
  7. Ukabila chini chini chini zaidi

    ReplyDelete
  8. Anon wa 12.21, mwisho wa binadamu ni nini kama si uzee? Lakini mwenzio anazeeka gracefully, je wewe? Acheni hizo, kila mtu ataonja uzee as long as you are alive. Huta kuwa kijana milele, but age with dignity.

    ReplyDelete
  9. You go girl..I'm proud of ya...its me from Minnesota. By the way you still have a great smile...lol
    A

    ReplyDelete
  10. K- Wewe acha tu sasa ndo "prime time " katika masiha yako. Waache wenye midomo wapige mswaki kwa maneno ya Umri. Unapendeza kweli kweli.

    ReplyDelete
  11. Iwe ..Koma kabisa wewe unaye sema eti K-Lynn ni Muhaya.
    K-Lynn sio Mhaya ni Mhangazza , baba yake ni Muha na mama yake ni Mixed wa Kizungu na Ki africa wa Mbeya huko ..bojo

    ReplyDelete
  12. Great initiative girl. I'm proud of ya...keep it up
    Its me from Minnesota...LOL
    A.M.

    ReplyDelete
  13. Anon wa 12.21 kwani kuna binadamu ambaye ataganda kwenye hatua fulani milele? Wooooooote tutapitia hatua ambazo Mungu ameziweka. Labda Mungu akuchukue mapema ndipo baadhi hutazipitia. Kitu muhimu unafanya nini cha maana katika hatua za maisha yako?

    ReplyDelete
  14. Well done na mungu akujalie.Ushauri wa bure; hizo contact lenses KAMA ni urembo tu hazifai na hata kama ni kwa ajili ya matatizo jaribu the ones which zitaendana na wewe,make-up daah?! siamini kama ndio umefikia age ya kuonekana hivyo.
    Watumiaji wa make-up mnatakiwa kuzingatia upakaji na hata aina ambazo zinaendana na ngozi zenu si tu kwa sababu fulani anapaka MAC na wewe ukapake MAC what works for me may nat work 4u.U were a miss at some point mbona hivi vitu ni basic they never teach u?i have never seen u with a gud make-up on, hamna make-up artists huko?rafiki zako je ukawauliza wanafanyaje?
    wewe sio m-baya na ukitoa makorokoro think u will look better LA kama huwezi basi jisilibe vizuri.

    Michuzi usiibanie kwani ain't hatin namwambia ukweli wa kumsaidia na kwa faida yake.

    ReplyDelete
  15. we annoy wa 03:54:00 mbona neno uzee limekutachi saana au we ni kibibi usie na mwelekeo?? nimesema ndio anaonekana mzee kwani uongo??? sasa kukurupuka nakujidai ooh kila mtu ataonja uzee je ukifa na 24 itakuwaje mshobokaji tuuu kwani uzee ni ugonjwa najua haukwepeki mtu kama ni mzee tusiseme mbona tunaposema ooh jamani ni mremboo mbona mnaufyata na kufagilia misifa uongo hapa ndio kashaanza kuzeeka kama wewe ndo mana imekugusa
    mdau shushuu

    ReplyDelete
  16. ANON WA 02:06 MHA AU MUHA???

    Mdau Kijitonyama

    ReplyDelete
  17. thank you veery much we mdau uliyegusia hiyo point ya make up ni kweli kabisa make up nyingine zinadunda haijalishi ni ya designer gani paka kitu inaendana na skin yako sio kwa vile majina ni makubwa ndiyo unakomalia hapo hapo matokeo yake zinadunda mnaoneka vibibi tukisema watu wanakuja juu kama vile wamekunywa maji ya betri ndio truth hurts na vile vile msisahau too good to be true kingine hizo lens no no noo maybe za brown ndo ungeshine
    mdau shushuu

    ReplyDelete
  18. Excellent

    Keep it up and good luck!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  19. Still looking Good Keep it up umetuonyesha una zaidi ya muziki nyayo ambazo hata Mwana fa anachukua Keep it up Obama hapa Dc anasema Multitask!Usijali mama wapiga kelele wasio na mwelekeo humu.Uzee ujana nini pointi yao?!!!Get a life ongeeni mambo yanayojenga.Mdau DC.

    ReplyDelete
  20. Sasa hayo macho ya paka ya nini?
    anapendeza na macho yake ya brown halafu anaweka macho ya paka?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...