Bw. Elihuruma Ngowi – Mtaalamu wa Huduma na Bidhaa wa Vodacom akimpatia maelekezo yajinsi mteja wa Vodacom anavyoweza kunufaika na zawadi MPYA na BOMBA za Tuzo Pointi leo
Bw. Elihuruma Ngowi – Mtaalamu wa Huduma na Bidhaa wa Vodacom akimkabidhi Bw. SylivesterMujuni (aka Mpoki) wa vichekesho vya Orijino Komedi simu ya BlackBerry kutoka Vodacom leo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. aaahahahha MUJUNI ujanja wote kumbe alikuwa Hana BlackBerry

    ReplyDelete
  2. mzee wa misifa sasa mtakoma suburi alhamis ifike lakini hongera sana

    ReplyDelete
  3. Duh Davie!!!mjanja hadi uwe na BlackBerry????????kazi kweli kweli.KULE KWETU TANGA TUNASEMA "NDIMA N`KUU KWEI"

    ReplyDelete
  4. presha inapanda, presha inashuka!!!

    ReplyDelete
  5. ASANTE KWA KUWATUMIA ZE KOMDEDI ORIJINO KUHALALISHA UKWELI WA SHINDANO LENU. wizi mtupu

    ReplyDelete
  6. Kabla ya Yote kaka Michuzi nakuomba sana hii comment yangu iende direct vodacom.
    kwa kuwa wamekuwa hawako fare kwa wateja wao wengine mimi niliwahi kufikisha tuzo point elfu 20 bila ya kuzitumia baada ya kuongezeka nashangaa zinazidi kupungu sasa nahitaji maelezo juu ya hilo

    ReplyDelete
  7. Pole na Swaumu kaka Michuzi,
    Nashukuru pia kwa kuchukulia uzito comment yangu na kuipost kwa muda muafaka Naomba pia Uwaambie Vodacom Nataka Blackberry yangu coz nimeshafikisha hizo point zinazohitajika na wakazipunguza wenyewe. PLZ I NEED MY BLACKBERRY.

    ReplyDelete
  8. jaman mbona wakina kybakari mwaka huu watakouma,,, kina mama koku kure bukoba watashika adabu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
    MPOKI BABA hongera! achana na majungu ye2 wa tz.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...