Home
Unlabelled
KP LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Babu kachemsha kinoma kazi ya msingi imemshinda kwa sababu ya UCCM wake.
ReplyDeletemasuad kweli ana kipaji
ReplyDeleteMheshimiwa ameniacha hoi sana aliposema, "wanaodai nalipiwa kodi ya nyumba USD 8000 kwa mwezi ni waongo sana, ukweli ni kwamba nalipiwa USD 7000 tu kwa mwezi!".
ReplyDeleteWakati mwingine nadhani ni bora kukaa kimya kuliko kuongea.
Nawasilisha.
I am lost. What is this all about?
ReplyDeleteKuna mihili mitatu ya demkrasia.
ReplyDelete1. Serikali inayoongozwa na Rais
2. Mahakama ina yoongozwa na Jaji Mkuu
3. Bunge linaloongozwa na spika.
Swali je hawa watu hawako sawa katika madaraka? Je hawastahili kupata marupu rupu na masrahi sawa?
Kwanini hamuoni Rais anatumia pesa nyingi zaidi kuliko wenzie?
jamani mbona hamumsikilizi said yakoub na waraka wake usemao, "wafanyakazi wa bunge tuna imani na spika".
ReplyDelete