Home
Unlabelled
KP LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Masudi mbona katuni ya leo umeifanya ya kingreza, maana not richabo kabsaaa!
ReplyDeleteKIPANYA NINI TENA! TBL AU MACHO MABOVU!
ReplyDeleteKipanya rules...unatisha mwanangu, keep it up
ReplyDeleteHivi wajameni hawa wawekezaji si ndio wameanza kuvunja mkataba kwa kushindwa kuiendesha TRL? Tafadhari serikali rudisheni shirika la Reli mali zetu
ReplyDeleteHii ni kampuni ya reli TRL, lakini ukweli ni kuwa sio kuwa ipo ktk drip bali inapumua kwa nguvu ya machine vinginevyo viungo vyote vilikufa zamani kama yule Mh. wa Israel!!!!
ReplyDeleteHilo ni shirika la Reli nchini ambalo linaendeshwa na wahindi lakini wanaolipa mishahara ya wafanyakazi ni serikali ya Tanzania. Hapo watanzania mlie tu, nadhani kwa sasa ingekuwa busara kama hayo mabehewa tungeyageuza vibanda vya wamachinga au mabanda ya kufugia kuku, nikiwa na mantiki moja kwamba hizo fedha zinazotumiwa na serikali kulipia mishahara zingetumika kufanya shughuli nyingine za kijamii. Mchezo uliopo ni kuwa muhindi kazi yake ni kukusanya fedha na kuzipeleka kwao india kwa gharama za watanzania. Masudi anapoonyesha kuwa TRL ipo ICU sio kwa wahindi bali ni kwa watanzania. Abiria mnaotumia reli ya kati mtaendelea kuteseka sana kama watotot yatima waliokosa mwangalizi.
ReplyDeleteKweli hii imeniacha"solemba"kabisa
ReplyDeletemwenye utaalam wa kuchambua naomba anifafanulie maana ya hii katuni sijailewa. nataka maudhui yake
ReplyDeleteahsanteni
serikali inalipa mishahara kwa sababu bado ni mwanahisa katika shirika acheni kuchambua mambo kishabiki na kwa jazba...:(
ReplyDeleteHYA, ANONYMOUS WA FRIDAY 7 AUG 4:19PM, UKITAKA UCHAMBUZI, KWANZA CLICK KWENYE HIYO PICHA ILI UIKUZE. WAZI KABISA UTAZIONA HERUFI RTL!
ReplyDeleteNADHANI UMEFAHAMU MAANA YAKE SASA.
LA KAMA BADO, TRL NI SHITIKA LA RELI. MAANA YAKE NI KUWA SHIRIKA LIMO NDANI YA CHUMBA CHA WAGONJWA MAHUTUTI HOSPITALINI.
NADHANI UTAFUNGUKIWA SASA.
AHSANTE
Mndengereko, Ukerewe
Kilichopo ICU ni TI-ARA-EI, hawa jamaa wakiingia mahali ni kuhakikisha mswahili unasota
ReplyDeleteWewe Mbogela vp kablog kako mbona nako kapo ICU muda mrefu?
ReplyDeleteMuwe mnasoma news nyie msioelewa sio kila kitu mtafuniwe. Ingekuwa ishu ya unafiki ahh mnaelewa haraka lakini TRL hata hamuelewi maana yake mnabore sana. Just think what is the msg sio tu ahh umeniacha solemba. Think man acha umbumbumbu wa kufikiri.
ReplyDeleteHii yote ni LAANA inayotokana na DHAMBI ya kuchelewesha mafao ya wanyakazi wastaafu (jumuia ya Afrika Mashariki). Wangine wamedai mpaka Mwenyezi Mungu amewachukua... bila kupokea haki zao. Wengine wanatembelea magari ya Millioni 300.
ReplyDeleteMungu Ibariki Nchi Yetu.
Uzalendo hakuna tena jamani, sijui Kambarage aliondoka nao.
ReplyDeleteTreni ya abiria imedondoka tena!!!
lakini, hii siyo hujuma kweli ya wenye "kusafirisha"