Home
Unlabelled
kula tano JK!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HONGERA SANA MHESHIMIWA JK KWA KUWA KARIBU NA WANANCHI NI LAZIMA WANANCHI WAMJUWE RAIS WAO KWA KUMUONA KWA SURA LIVE NA SIO KUMUONA KWENYE NOTI TU, NAKUMBUKA MAISHA YANGU YOTE NIMEISHI HAPO NYUMBANI SIJAWAHI KUMUONA MWALIMU JK NYERERE LIVE MPAKA SIKU ALIPOKUFA NDIO NIKAMUONA MAITI YAKE PALE UWANJA WA TAIFA WA ZAMANI,UKIWA KIONGOZI WA RAIA NI LAZIMA UWE RAFIKI NA WANANCHI WAKO SIO KIONGOZI MNAMUONA KWENYE TV TU AU MAGAZETI ZAMANI HATA KUTAJA JINA LA RAIS UNAOGOPA LAKINI SIKU HIZI KWA KIKWETE MAMBO SIO HIVYO ANAWAIBUKIA LIVE MPAKA WALIO VIJIJINI...mdau uholanzi
ReplyDeleteUngetoa sita au kumi JK ingekuwa bora kwani ungewasalimia wengi zaidi. unajua kwamba ni hao hao ndio watakuweka ofisini mwakani? Mimi kura yangu nshakupa tangia (tangu) jana, lakini hao hapo unatakiwa uwape kumi kabisa kwani hawajukuona huko tangu uliposhika ile biblia (koran) kuikubali na kuitumikia katiba ya Muungano wa Tanzania. Mungu akubariki JK (oo nimekumbuka namba ya kiselula vipi). Nataka nikutonye mambo yanavyokwenda kwenda kila kona ya nji hii, ili tutafute msemo wa kutumia kwa ajili ya kampeni ijayo. Nitumie hicho kiselula tafadhali. Michu mdogo wangu, natoa hoja (MH)
ReplyDeleteBongo choka mbaya vijijini! Kuna kazi kubwa sana nchi inahitaji lishe bora naona wananchi wanatia huruma afya hairidhishi kabisa! Ni mijini tu watu ndo mna afya nzuri kwaajili ya kula nyama choma lol!
ReplyDeleteMdau USA
hivi serikali mbona imetusahau sisi watu wa mkoa wa kigoma?au sisi sio watanzania? mbona kodi zinakusanywa kila siku?lakini hakuna maendeleo yoyote?hi sasa ni mwaka unaisha hatuna umeme tunatumia vibatali, mpaka Tv, frigde, zimepata bvumbi!mpaka kucharge sim ni Sh 300! wakati tuna mito mikubwa hapa kama Malagalasi, na Mto Lwiche ambayo inaweza tumika kama vyanzo vya umeme. huu ni uhuni tunafanyiwa.au serikali inataka watu wote tuje tujazane Dar es salama? na sisi tukumbukwe kwani sisi pia watu!
ReplyDeleteMh!!! uchaguzi umekaribia ndo na tanzania vijijini kunaendeka siku hizi, make uchaguzi ukiwa mbali mawazo yote yanakuwaga mamtoni
ReplyDeleteMICHUZI TUSAIDIE WIZI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA EAPOT DAR, MBONA SASA WANAPITILIZA, KWELI HAKUNA HATA KINGOZI ANAYE JARI?
ReplyDeleteahh vasco dagama huyoo,oba kura baba uwee kulaaa...2010 sio mbali komandoo.
ReplyDelete