Mkuu wa wilaya,
Kutokana na maendeleo ya technolojia pia kwa kuzingatia kuwa maendeleo yanchi yeyote hayaji kama wasomi hawatakaa pamoja kushirikiana katika harakati za maendeleo pia kuwa na kitu ambacho watapokea au kuona matakwa ya jamii husika.
Katika kulitatua hilo hapa kwetu,nimedesign hii forum ambayo itakuwa ni bridge kati ya watu wa ICT na jamii pia ni kijiwe ambacho watu wa ICT tutakuwa pamoja.
Ni forum inayowafaa wanafunzi,wafanyakazi wanaohitaji kujua mambo ya IT nyumbani na nje,jamii husika kupata mwanga juu ya technolojia.
Hii forum ni ya watanzania kwa watanzania
utaipata HAPA
Admin-Afroit forum
Good stuff....tuombee wabongo wachangie...sababu wabongo kila kitu cha mbongo mwenzao huwa wanapiga madongo...ninaona ungeondoa sehemu ya michezo sababu kuna blogs nyingi tu za michezo
ReplyDeleteNdio imani yetu kwani sote tupo kwnye lengo la kujenga jamii madhubuti,Pale seheu ya sports and game itakuwa mahsusi kudiscuss games pamoja na jinsi gani ICT inavyoweza kuongeza tija kwenye michezo.
ReplyDeleteNadani umetunyaka mkubwa.