Hi everyone,
I have opened a blog that create a platform of exchanging ideas,commenting,constructing topic for discussion and giving challenges.The purpose is to promote changes of sustainable roadmap for clean energy and environment from the north to the south of the world.
You can visit the blog at
Cheers
Rajabu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kaka blog yako haieleweki kabisa. kwanza hicho kiingereza ulichotumia kuelezea lengo la blog yako hakijatulia na hakieleweki ni kama umefanya kutupia maneno ya kiingereza.
    harafu ukiitazama vizuri blog yako inaonekana ni ya vitu mchanganyiko tofauti na unavyodai. Umeweka picha ya watoto wakisoma huku wamekaa chini, umeweka picha za michelle obama akiwa kavaa kikaptula, umeweka picha ya mwanariadha kemenya, umeweka picha ya hashim thabiti na mama yake wakimkabidhi jezi ya memphis gizzle kikwete, na mengineyo, haya yote yana link gani na lengo haswa la blog yako??? hizo picha za kina hasheem, wanariadha, mrs obama uache ziwekwe na blog kama michuzi acha kuigaiga mambo, wewe umeshasema blog yako ni kuwakutanisha watu wajadili kuhusu njia mbadala za kuwa na nishati ya kudumu ambayo haidhuru mazingira sasa unatakiwa uegemee hukohuko na si kuanza kutuwekea picha za mrs obama na mavazi yake, hashim na mama yake, wanariadha, unaonekana either hauko serious au hujui unachofanya. kwani katika fani ya mazingira una qualifications gani?, kama bado bora uache. au nitafute nikupe nondo za environment kaka.
    ni hayo tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...