Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. William Lukuvi akipiga stori na Pedejee Saidi, dereva wa teksi wa TMK, huku kamanda Suleiman Kova akisikiliza siku ya ukaguzi wa teksi zote za jijini Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. maasharlah pedejhee seyyid, siha lako linatuvutia wawekezaji yakhe

    ReplyDelete
  2. Dude hilo oyeeeeee.... Oyeee!!!

    ReplyDelete
  3. yakheee uwa umetokezea huo atiii...

    ReplyDelete
  4. hii ni jamii ya pepe kale!
    mdau canada

    ReplyDelete
  5. MUNGU WANGU WEEEEEEEE!!!!HII PICHA HALISI AU KUNA MTU KACHORA..SIJAWAHI ONA MTU MNENE KAMA HUYU!!!NA HUKO NYUMAA MAMAMA WEEEEE!!!NA HUKO MBELEEE TOBAAAAAA

    ReplyDelete
  6. the so called pedejee is so stupid,ana minyoo mingi kupitiliza yeye anaona sifa

    ReplyDelete
  7. Mheshimiwa mkuu wa mkoa inaonekana wewe na Inspecta hamuheshimiwi kabisa,kitendo cha kutupiwa taka mkiwa hapo hapo kinaonyesha hakuna heshima hapo,au umbo la huyo KIBAKULI limekuzingua hata usione huyo chupa ya maji chini ya miguu yako?

    ReplyDelete
  8. Michu,

    Hii picha umeikata mahala pengine, na bila hata kuweka "source". Mimi nilishaiona tena picha hii sehemu nyingine (nafikiri Michu Jr.). Si ungesema tu, umeipata huko? Angalia mdogo wako asikufunge kwa kuiba copyright zake.

    Michu mdogo wangu nawasilisha, MH

    ReplyDelete
  9. Wacha Pedejee(P.D.G) wa Mulumba!Si mchezo tunaomba namba yake ya simu tuwe tunapanda Taxi yake!!Suruali mu-tumbo wacha we...!

    ReplyDelete
  10. Pedejee ana matatizo makubwa sana,atafute ushauri nasaha!!!!

    ReplyDelete
  11. Lakini jamaa akienda kukata GOGO (aka kunya), lazima atoke na mavi chooni. Hawezi kujisafisha vizuri huyu maana mikono yake haiwezi kufika kwenye kipengele muhimu chake....Mkanda...Mkende...Mkindi, Mkondo ...Mkungu wa Ndizi.

    ReplyDelete
  12. Hiyo taxi ya pedeshee sipandi hata bure, ushuzi tu sawa na ngwala.Nini kujitakia kifo.Mbele na nyuma ni wapi?

    ReplyDelete
  13. hakuna lolote huo ni ugonjwa.atafute ushauri wa kiafya-umbo zaidi ya kitimoto-mdudu.

    ReplyDelete
  14. siamini hahahahaaaaa tih tih tih

    leo nimeongeza urefu wa maisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...