julius Yona (kulia) akimsindikiza na konde mpinzani wake, Musen Gaspa, wakati wa pambano lao la raudi tatu katika michuano ya Taifa inayoendelea kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. samahanini sana wapenzi wenzangu wa michezo(ngumi)

    baada ya kuiangalia hii picha hapa nimekuwa na hisia tofauti.

    sioni kama kweli hapa kulikuwa na ngumi zenye kiwango cha kitaifa.

    vipi wapiganaji wanapigana hadi mmoja kuweza kuangushwa chini bila ya kuwepo na hisia miongoni mwa watizamaji waliolizunguka jukwaa?

    Kwa kadri ninavyowatizama wapenzi wote wanaoangalia pambano hili wapo katika mikao inayoonyesha kutokuwa na msisimko wowote wa hili pambano.

    maana wote au wengi wao wanaonekana kukunja mikono yao vifuani..kitendo kinachodhihirisha kukosekana msisimko hapa.
    Iwapo mtazamo wangu upo makosani.naoma radhi.

    ReplyDelete
  2. Mdau Sedouf uliyoandika ni kweli kabisa mimi nilikuwepo na nikaamua kuondoka baada ya kuona kiwango ni cha chini sana, wanacheza kama hawana mafunzo yoyote. Niliongea na mabondia wa zamani wa ngumi za ridhaa waliokuwepo kama Isangula mkubwa na mdogo, Koba, Kingu, Mwang'ata na wengine, wote walisikitishwa na kiwango duni sio kwa mpambano huu tu bali mashindano yote kwa ujumla na hii inaashiria kuwa mchezo huu unazikwa rasmi!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...