kwa ngoma mbali mbali kali na nzito toka Tanzania ili uburudishe na ukonge roho yako kwa idadi ya miziki zaidi ya 1000+
Kama ni kijana, Umri wa Kati, mzee na upo Tanzania au nje ya Tanzania MK Music Galaxy ni chaguo lenu wote, Kuna miziki kama Bongo Flava, Bongo Dance, Taarab, Zilipendwa na Nyimbo za Injili.
Karibu kusikiliza ngoma kali za Tanzania na uburudike roho yako. MK Music Galaxy hatufuti Miziki ili kuongeza mingine, MK Music Galaxy tunaongeza Miziki kila siku na kuutangaza Mziki huu wa Kitanzania.
Karibu kusikiliza ngoma kali za Tanzania na uburudike roho yako. MK Music Galaxy hatufuti Miziki ili kuongeza mingine, MK Music Galaxy tunaongeza Miziki kila siku na kuutangaza Mziki huu wa Kitanzania.
Kwa wanamziki chipukizi (underground) na wale wakongwe mnaweza kutuma kazi zenu hapa na kuweza kujitangaza na kuutangaza Mziki huu wa Tanzania.
Kwa test bonyeza hapa kula song hizi Kali. Au Tembelea MKMG kusikiliza miziki zaidi ya 1000
Ukipata habari hii mtumie Rafiki Yako.
Sambaza habari hii, Tangaza Mziki wa Tanzania.
Daima tupo Pamoja!
MK Music Galaxy
Daima tupo Pamoja!
MK Music Galaxy
Exploring The Tanzanian Music.
Nimesikia mara kadhaa juu ya hii site but never reaaly botherrd to check it out.
ReplyDeleteLeo nimepata muda wa kuiangalia-- Fagilia! Imetulia!
Being human - siridhiki - if only I could make my play list, save it and then listen to it.....
Nyau
woah! babkubwa kwa saaaanaaaaaaa tu, luvd all the music great entertainment.
ReplyDeletemzee wa pwani.
nimesikiliza nyimbo zote hizo sita,nyimbo namba sita is so beautiful,imenigusa sana,rest of the songs zimenizidishia stress tu kichwani mwangu!
ReplyDelete...and that's why human behaviour is so complex. every human behaviour and emotions are different. we wont be same, some likes reggae, some like tombolo, some like Gospel.
ReplyDeleteMwishimwa Bro Michuzi hapa kwenye hii post ni nzuri nnashukuru sana umenikumbusha sana uswahilini,kwani nnakumbuka wakati MCHIRIKU AU MNANDA ulipokuwa wapigwa basi na nyumba zetu za kupanga si wajua tane milango ni huku na huku !! kila mpangaji nakaa kwenye mlango wa chumba chake kwani siku ya MCHIRIKU Vibaka kibao ukigeuza shingo tu basi ujue USHAIBIWA !!
ReplyDeleteMiye nnaomba wimbo na TATU UNAITWAJE ILI NIWEZEKUUSIKILIZA KWENYE MKGOUP WEBSITE.
Au niweze kuudownload niwenasikiliza nikiwa KAZINI. Ahsante sana kwani nnapata mburudiko wa MOYO.
Hillary.
Michuzi WIMBO WA TATU HUO MCHIRIKU AU MNANDA unaitwaje ?? au nina kaupiga ili iwe rahisi miye kuutafuta ua kuupata
ReplyDeleteAhsante.
Hillary
mwimbo wa tatu hapo juu upo ktk upande wa Bongo Dance (http://www.mkmusicgalaxy.com/galaxy.html) ambapo ni mziki no: 1 kwakweli nami umenikumbusha mbali kishenzi. aahhaha enzi hizo za mchiriku na vanga.
ReplyDeleteahsante sana Mtalaam kwa kunipa au kwakunifaamish.Ashsante sana.
ReplyDeleteWasalaaam Hillary