Home
Unlabelled
mwanza si maghorofa tu, hata mandhari ni mswano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dar inashindwa nini kuifanya coco beach kuwa safi namna hii? wadau nisaidieni, navyoona hko mbeleni hatua zisipochukuliwa hii miji mingine itaizidi dar simaanishi kuizidi kwa ukubwa bali kwa uzuri na usafi maana mji unaweza kuwa mkubwa na haupendezi na mwingine ukawa mdogo lakini unapendeza simaanishi kwamba mwanza ni wasafi sana ila wako mbali ukilinganisha na miji mingine huko tz
ReplyDeleteUmeenda Kili Michu? Nenda Marangu na Machame kinukamori ukaone...........
ReplyDeleteI love nature and I hate deceit..
ReplyDeleteI HAPPEN TO KNOW THAT THE CITY OF MWANZA HAS SISTERLY FRIENDSHIP WITH THE CITY OF TAMPERE, FINLAND. NOW SEEING THE GARDENS IN MWANZA REMINDS ME OF EXTREMLY BEAUTIFUL GARDENS IN TAMPERE AND FINLAND GENERALLY. IS THERE CONNECTION?
ReplyDeleteMDAU
asante sana anko nanhii kwa kutuletea jiji letu la mwanza, sasa inaonyesha jinsi gani tulivyokua siriazi na maendeleo ya miji yetu, anko nanhii usiache kulweka taswira ya soko la mwaroni na maeneo ya uwanja wa ccm kirumba maana ni miongoni mwa vitega uchumi na vivutio vya hili jiji, mdau toka london.
ReplyDeleteMichu mbona hujawapa watu habari za four by four?
ReplyDeleteAnko Michu, huyo mwanadada katika hiyo bustani ya garden ndiye aliyetia chachu na kuinogesha hiyo mandhari inayoonekana. Anastahili kuwa mwenyeji wako hapo jijini katika muda wote wa vekesheni yako. Samahani kama nimekaribia kusema ukweli. Mwanza Tambarareeeeeeeeeeeee.
ReplyDeleteuna mume wewe ama ? maana kama vipi tutume maaaaaaaaaari mtoto veri nachurol
ReplyDeleteKwa hapa Tanzania, Mwanza mnajitahidi na mwastahili pongezi!! Keep it up.
ReplyDeleteJamani yaaani huyu aunt hamjamuona!? kapendeza kama nini vile. Bongo tuna totoz bwana! Mwanza nitarudi lini?! Mandhari zinavutia, totoz wanapendeza, black beauty!! tupewe nini tena?! Dar kalagabaho!!
ReplyDeleteMdau wa Juu,
Nawakilisha
Kwa kweli ukitaka kuona miji yenye standard hapa Tanzania ni Moshi, Arusha na Mwanza. Iliyobakiwa(likiwepo jiji la Dar es Salaam) ni bure kabisa. Ungeondoa huu mzunguko mzuri wa hela hapa Dar sidhanim kama kuna angebakia hapo. I hate Dar es Salaam but I have to stay here to make the ends meet
ReplyDeleteWasukuma msilinge
ReplyDeleteHakuna msukuma mzuri kama huyo.
Namjua huyo binti.
Sio mtanzania.
Mwanza madem wote wabovu
Watani msirushe ngumi lakini kwakuwa nimesema ukweli
Mi huyo demu tu jamaniii, dah asalaaleh? Ngoja tumeze uchungu tu. Ntafika mwanza nimtafute hiyu binti japo kwa macho tu.
ReplyDeletemichuzi mimi nimempenda huyo dada na mazingira yanayo mzunguka!! jamani ntapata contacts ?
ReplyDeleteHivi lake Victoria ni salama kuogelea? nasikia kuna viboko kibao.
ReplyDeleteNaomba msaada
DAH! Imenikumbusha mbali saana...wapi Mwanza sec, Lake sec, Bwiru, Ngaza, Nyegezi, sengerema sec na wengineo.. Mwanza wapi Tivoli, Liberty, Pamba roof,Mza hotel, Kabibi hotel, Majani beach, Blue cafe, Kuleana, CCM kirumba, Lake hotel, na zingine. Nakumbuka RJ Kapera, Matano, Martin wa benz, Power mwanza, Pamba s.C.,Toto, Dula double chest, Suza ..Nani alicheza gwaride na halaiki miaka mitatu ya CCM pale uwanja wa CCM kirumba???
ReplyDeletesukumaland we are the most beatifuly ,intelligent,sema jingine umetuzimia tuu kaka,wasichana wa Dar wote wobovu kazi kwenda kwa waalimu,hawana shukurani, wakisaidiwa wanachofikiria ni hongo na rushwa, katika passport zao haziko katika order zimebadilishwa majina wananuka, hawajui kupika, wamebaki kusumishana tu,kupigana na kutukania wazazi wa watu
ReplyDeleteMsukuma mzuri ntampa dola 10,000 zawadi.
ReplyDeleteWatu wabovu-Mafuga ng'ombe.
Afu wanakula sana.
Siwezi kuoa mzukuma hata bure. Na dada yangu akiolewa na msukuma nalia. Yani noma mzukuma
Akili, umbo, sura kama mijing'mbe.
Watani mpo?
huyo mdada sio msukuma
ReplyDeletenamjua
katoka nchi jirani
Msukuma hawezi kuwa mzuri hivyo
Wewe mdau wa Friday 21 August sasa 06:05 unadiriki kusema hovyo kama huna kichwa. Wasukuma ndo walivyowazuri..Muone Iluminata Wize..unadhani ni msomari huyo..? Kwa taarifa yako ni msukuma huyo..
ReplyDeletena hata huyo ni msukuma wengi wasukuma wazuri..we sema tu hujawaona. Wengi wazuri tena sana. Sijui kama Bwana nahihii akikupeleka ukaongea kisukuma na huo binti utalimpa hizo hela.
Fikiri kwanza kabla ya kuropoka. si msomi aliye elimika bali ni Kihiyo aliyelipia dola 10,000 kupata cheti..
nawakilisha mdau ieleweka kila kabila kuna watu wazuri sana na wabaya sana..
Nakanusha-Msukuma hawezi kuwa mzuri.Labda achanganye damu. Mnasura ngumu kama wanaigeria.
ReplyDelete