Home
Unlabelled
namna gani tena hapa......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Au hii ndi "keep left" ya mji mkuu wa kina nani hii? Lakini mjomba, ze fulanas, inakutoa sana yaani. Michu mdogo wangu naomba kutoa hoja, MH
ReplyDeleteHahahahaha hii pic ya zamani michuzi au Ya siku hizi umepiga mwenyewe? manake kama ni kipindi kile cha ZE FULANAZ ilipotea? Itabidi ufanye uchunguzi na Binti yako mdogo na jokes tu michuzi DUh ZE FULANAZ imeonekana mitaa ya wapi hapo Michuzi?.... Pazi.
ReplyDeleteDu jamaa gani huyu kakopi ze fulanaz...
ReplyDeleteHapa ni wapi? Napafananisha na Kabanga Ngara, au nimekosea.Nielezeni wajuaji
ReplyDeleteHuyu !Jamaa !akamatwe mara moja apelekwe kituoni kwa hiyo fulana inawezekana ndio ile inayo tafutwa na FFU
ReplyDeletekaka michuzi inabidi utafute ze fulanaz nyingine maana hii ishakuwa copied kama ulivyoshuhudia..hahahaha, hii safi sana..hopefully jamaa hataanzisha blog yake ili kutaka kukufunika..
ReplyDeletehilo jengo mbona upande wa kushoto lina onekana kama lime pindika. haliko straight baadae linaweza kuanguka. i hope engineer wa mji ameliona.
ReplyDeleteHii timing poa sana, maana jamaa hakuwa na habari kabisa kuwa mkuu ulikuwa unanyemelea kuchukua ushahidi. Au ndo mambo ya ku-zoom.
ReplyDeleteHii inanikumbusha picha zako nyingi za miaka ile ulipoanza kujulikana. Ulikuwa unapiga picha ambazo watu wengi tulishangazwa siyo tu picha bali "timing" ya matukio yenyewe. Pia wakati ule hukuwa na technojia kama uliyonayo sasa hivi. Kazi nzuri!
Mdau
Mdau Mbigiri, hapo ni maeneo ya kithutu jirani kabisa na mataa ya akiba, jamaa aliyekopi ze fulanazz anavuka bibi titi kueleka mnazi mmoja
ReplyDeletemdau deslam
Kama wanao unao nyumbani itabidi uwaulize kwa kina fulana yako imefikaje kwa jamaa huyo usijekuta jamaa aliwaazima, wanao wakampa.
ReplyDeleteFulana usiibadili kwani hiyo ndiyo ishakuwa utambulisho wako ni sawa sawa na blog yako kuwa na rangi ya Blue ukipita mahali ukiono mtu kafungua Blog yenye rangi hii unajua tuu ni Issa michuzi.
ReplyDeleteWe chakufanya ni kuwa ungeenda kwa huyo kaka umpe tuu fweza ununue hiyo t-shirt angalau uwenazo kama tatu nne sio mbaya.
Mbigiri,
ReplyDeleteanachosema mdau deslam ni kwamba upande wa kulia wa hiyo picha ni Masjid Al-Rawdha, ambao umepakana na soko la kisutu - kulia zaidi ambako michu hajapaonyesha.
Sasa michu hizo fulanaz mbona mshikaji wangu anazo tatu? nyekundu na nyeupe, blue na nyeupe, na nyingine ina michoro kama ile migorore yetu sisi wamasai.
Haya kwaheri - sipotesee mimi muda ati! Mimi naenda kuusa dawa.
jobless utawajua tu wao wanachangia kila wanachokiona alimuradi wapo mbele ya computer
ReplyDelete