NEW MTI PESA SC ni timu mpya katika medani ya michezo yenye kukusanya vijana wenye vipaji wa sehemu za Ukonga na kwengineko. Ni timu inayokuja juu kwa kasi na juzi ilicheza na MONGOLANDEGE F.C, kugombea kombe la Mbunge wa ukonga ( MAHANGA CUP) uwanja wa FFU UKONGA na matokeo yalikuwa NEW MTI PESA 3- MONGOLANDEG 2. Kwa mujibu wa kiongozi wa timu, Anthony Ngido, chama hili linatarajia kucheza tena kesho jumanne tarehe 25/08/2009 na timu ya CHUO cha Magereza na kuahidi dozi nene kwa maafande hao.
MTI PESA wakipiga jalamba kabla ya gemu lao juzi
Tayari kuanza gemu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. uwanja unauona lakini!! humu ndiko wanakotoka akina Ronaldinoh!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...