baada ya kukamilika awamu ya kwanza (shoto) PPF Plaza inaendelea na ujenzi ambapo upande huu wa kulia kutakuwa na hoteli kubwa ya kitalii ya nyota tano. Rock City inaendelea kuwa mswano kwani kutakuwa na hoteli mbili zenye hadhi ya kimataifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hii itakuwa ya kwanza, hakuna hoteli nyingine mwanza yenye hadhi ya nyota tano. Nyingine zote ni kama "big guest house"

    ReplyDelete
  2. Utaalamu wa kujenga kwenda juu, juu, juu, wa kwenda chini hauhitaji nguvu zako, siku hiyo utajengewa au sio. Tumshukuru Mungu kwa yote haya kwani ni neema, na baraka zake!

    ReplyDelete
  3. Michuzi pole na kazi nasikia Askofu wa katoliki Mwanza amefariki

    ReplyDelete
  4. anony wa kwanza hapo juu acha ushamba wako mwanza kuna hotel ambazo si kiwango cha nyota tano lakini huwezi ziita big guest house
    hotel kama mwanza hotel, tilapia hotel, ryans bay, nyumbani hotels, nenda kwenye website zao uone

    ReplyDelete
  5. Anony wa kwanza sio kosa lako, umezaliwa Rukwa dar umekuja chuo, hujatembea sehemu nyingine zaidi.

    ReplyDelete
  6. Nyie PPF ebu sasa fikirieni na sisi wadau (wachangiaji wa mfuko) kutukopesha hizo pesa. Sio kuwekeza kwenye majengo tu, bila ya kutuuliza wahusika, nyie vipi? Sisi wadau tunafadikia vipi na hiyo mi 5 star hotel? Miradi ya nyumba nafuu mikoa mingine vipi?
    Mnakera bwana!

    ReplyDelete
  7. Big up PPF ninawakubali kwa kujenga majengo yalioenda shule.Hili jengo limebadilisha kabisa taswira ya jiji la Mwanza.

    ReplyDelete
  8. naona ma-bugando yanaongezeka mwanza!

    ReplyDelete
  9. poa safi sana
    japo tupate kwa kupumzika,tatizo hotels mwanza karibia zooote ziko centre kelele za watu na magari nk nk,ilhali kuna beach kuuubwa sana hazitumiki

    fikirieni kujenga beach jaman

    ReplyDelete
  10. ukibishana na mjinga balaah kwelikweli na kazikubwa waliochanga pesa ni wengine waojikuna na majipu namapunye ni wengine if you have gone real to school why don't you start your own project instead of gossip and be street mongers

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...