Habari toka Mlimani zinasema
Profesa Issa Shivji leo atazindua kitabu cha
mwanazuoni mwenzie Profesa Ngugi wa Thion'go
katika ukumbi wa Nkrumah Hall Chuo Kikuu cha
University of Dar saa kumi na moja jioni.
Hii ni mojawapo ya shamrashamra za wiki ya
kujisomea vitabu inayoendela Mlimani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...