Assalam Alaykum,
Ndugu waislamu tunapenda kuwakumbusha kuwa tutaanza kufuturu pamoja jumammosi na jumapili hii pamoja na weekend zote za mwezi wa ramadhani.

Tunaombwa tuudhurie na tuwajulishe wengine wote:
SAT. 08/22/09 – Argyle Local Park
SUN.08/23/09 – Argyle Local Park
SAT. 08/29/09 – Sligo Avenue Neighborhood Park
SUN. 08/30/09 – Argyle Local Park
SAT. 09/05/09 – Sligo Avenue Neighborhood Park
SUN. 09/06/09 – Argyle Local Park
SAT. 09/12/09 – Argyle Local Park
SUN. 09/13/09 – Argyle Local Park
SAT. 09/19/09 – Argyle Local Park

TAMCO EID DAY: SAT. 09/26/09 – Indian Springs-Terrace Local Park
ADDRESSES:Argyle Local Park:
1030 Forest Glen Road,
Silver Spring,
MD 20901

Sligo Avenue Neighborhood Park:
500 Sligo Avenue,
Silver Spring,
MD 20910

Indian Springs-Terrace Local Park:
9717 Lawndale Drive,
Silver Spring,
MD 20901

If you experience problems locating the address,
please contact TAMCO Leadership.
Wenu
Iddi Sandaly

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nawapongezeni sana kwa moyo wenu wa upendo kwa watoto hawa walio bila uangalizi (disadvantaged) pili inashangaza kwenye jambo la maana kama hili hamna watu wanaotoa pongezi zaidi ya kuangalia Mashaka amevaa nini? hii inashangaza jinsi watu wanavyokosa hulka ya kuona upendo wa hali ya juu wa hawa watu!

    Pngezi nyingi toka kwangu mmenipa msisimuko wa kufikiri nianze kujibana nami nisaidie kwenye hii org. yenu!

    ReplyDelete
  2. tunaomba namba zenu za simu sheikh Iddy Sandali.jambo jema mnalofanya la kufuturu pamoja.

    ReplyDelete
  3. Neno moja, msisahau kutoa michango!!!!!!!!!!!!!!!!!!Tafadhali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...