ray na noella wakitabasamu wakati wa mnuso wao viwanja vya karimjee baada ya kumeremeta katika kanisa la mtakatifu petro jijini dar wikiendi ilopita
mmoja wa wanakamati akimwaga mayenu wakati wa mnuso
ray na noella katika mwendo wa bata baada ya kumeremeta
keki ya mnuso ikikatwa
mambo yalikuwa tikke siku hiyo





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Hommie umeoa ?Hii laana sasa na mimi inabidi nioe!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Maharusi wamependeza sana, sasa kaka michuzi kuna marafiki zetu wameoana huko dar mwezi wa july mwishoni tunaomba ututumie picha zao tuone walivyopendeza, ni harusi ya zena majaar na rashid tenga, tafadhali kaka.

    ReplyDelete
  3. Hongereni mmetoka kiukweli. MIMI BADO NIPO NIPO SANA.

    ReplyDelete
  4. Ohh ongambile...mwaihuka

    ReplyDelete
  5. Najua Michu utabana hii comment kwa kuwa unaogopa kupoteza tenda ila ukweli lazima niseme. Nisiposemea hapa kwenye blogu ya jamii ntasemea wapi?

    1. Maharusi wamependeza sana na ninawatakia kila la kheri katika maisha yao endelevu ya ndoa. Ni mfano wa kuigwa kwa kweli kuwa na mwenza halali ni jambo jema mbele ya mungu. Hongereni sana kwa kuonyesha njia

    2. Kuna hii tabia imezuka mimi siipendi, tena siipendi sana. Tabia ya kufanya experiment kwanza.

    3. Yaani nimeshuhudia harusi nyingi sana kukiwa na tatizo hili siongeli hii maana michu najua atazifuta effort zangu za dk saba katika kusema kama mwana blogu. sijui kama ni la makusudi ama la bahati mbaya

    £. Tatizo hilo ni la watu kuongeza kasi ya kufunga pingu pindi wanapokaa kwa muda mrefu kama mume na mke, mpaka pale linapotokea tatizo la " tummy growth-D" kwa mwenza ndipo ndoa inafungwa.

    Sasa mimi swali langu ni moja kwa nini hatufungi ndoa mpaka tufanye experiments kuona ndoa zinalipa au la?. Hebu tufunge ndoa katika misingi ya upendo na mungu atusaidie katika kuboresha maisha siyo mpaka mambo flani ndiyo mchakato unaharakishwa. Mfabo mzuri tumeuona kwa Ray na Noella. Hongereni tena kwa kuonesha njia iliyonyoofu

    ReplyDelete
  6. kama ni rafiki zako si uwaombe mwenyewe picha ya nini upitie kwa michuz???

    ReplyDelete
  7. Duh Ray umeoa? hope sasa utafanya vitu legally...maana ulivyokuwa Roswell rd ulikuwa mwizi sana. Hopeful hutamwibia huyo dada na wahaya wenzako

    ReplyDelete
  8. TAIFA STARS 2 AMAVUBI 1

    ReplyDelete
  9. mmependeza na hongereni sanaaaaa mungu aibariki ndoa yenu

    ReplyDelete
  10. Jamani mmependeza MNO, Mnastahili kupewa hongera kwa maana Duh! mmetoka ile mbaya. Gauni ya Bi. harusi imenivutia sana, amejua kuchagua haswa ukizingatia anaonekana kama ameshiba sana. Lovely, Enjoy ur new life baby girl.

    ReplyDelete
  11. Ray... Congratulations to you bro! That is a big step in one's life. Hongereni sana na Mungu awaongoze katika maisha yenu mapya.
    A-Town-Ng'ambo!

    ReplyDelete
  12. congrats zenu, hizi sura si ngeni kwangu je wadau huyu bi harusi ni noela wa upanga pale karibu na makao makuu ya jeshi?

    ReplyDelete
  13. Hongereni sana kwa hawa atakayesema anagubu tena si dogo kwani hakika maharusi wamependeza na wote wazuri (Wanavutia)....Maashallah!

    Mungu awajaalia maisha mema nyenye upendo wapate watoto wema na wazuri kama wao.

    ReplyDelete
  14. Hii harusi ilikuwa funika. Hongereni sana maharusi na nawatakia maisha mema.

    ReplyDelete
  15. You all look very nice together. Wishing u all the best in life.

    ReplyDelete
  16. Napunga upepo kwanza....bado nipo nipo.
    Mdau kafanabo

    ReplyDelete
  17. we bwana harusi ni handsome sanna jicho kaka mmmmh chichemi bibi arusi ni biutifuli kweli na umejua kuchagua hii kaka nzuri ati ni mali yako mshike mtunze sawa kama mboni ya jicho lako hakika mnameremetaaaaaa
    mdau canada

    ReplyDelete
  18. Bongo kuna mtindo wa muda mrefu wa kuoa wakati bibi harusi tayari ameongezeka mwili.

    Sijui inatoka wapi hasa?

    Je viongozi wa dini vitabu vya dini vinasemaje?


    Je Kanisani na miskitini kuna mfumo wa ndoa za mkeka? Ndio maana watu wakiona tu mambo tayari wanakimbia kutangaza ndoa.

    Kwa nini bibi harusi asijifungue kwanza halafu ndio wafanya harusi?

    Michu weka hii wanajamii wajadili tafadhali

    ReplyDelete
  19. Mie naona wanaobebeshwa mimba wanaenda sio wka mapenzi/ upendo bali tumbo kwani mtu alikupenda ukwia na tumbo jamani? wamezidisha hawa wanaume kama unampenda mtu mpende akwia bado amerembeka bila kitambiwanawaharibu mabuharusi siku ya ndoa wamechokaaa akuu acheni. Hata kama mkiwa na vijitambi labda miezi 3 huwezi jua sio mlima hata mbele ya madhabahu aibu basi tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...