Sheria Ngowi (kati) ni mbunifu pekee wa Kibongo kufanya show katika jiji la Bangalore usiku wa tar 15/8/2009. Kwa mujibu wa mdau Adam Mzee shoo hii ilibamba sana pia kulikuwa na live perfomance kutoka kwa msanii T nash.
Mdau Adam Mzee (shoto) akila pozi na mamodo wa kiume waliofanya shoo hiyo
vitu vya kike na kiume vya sheria na mavazi
sheria hakika anatisha. cheki dizaini zake
mamodo wakiwa katika dizaini za sheria na mavazi






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Bro Michu,

    Chukua staili ya konoz hapo juu. Unaona Mbongo anavyojua kuweka mkono huyo. Utafikiri jamaa anatoka Zenji.

    Tunakusubiri tuone kama utaiga staili hiyo ya konoz!

    Mdau
    USA

    ReplyDelete
  2. Huyo Dada Cheupe si mchezo. Huyo mshkaji ni kitu chake au ni pozi la picha tu :)

    ReplyDelete
  3. wabongo wa bangalore si wameshaozeshana....tunawajua tu......ni kitu chake hichooo nahisi....

    ReplyDelete
  4. ooooh konozzz ilooo

    safi sana

    ReplyDelete
  5. ebwanaee kazi ipo,namuona jamaa wa Makongo enzi hizo alijulikana ka MJEDA aka ROBOCOP, ametoka kinoma,naye kawa modo duh hongera zake,ebwana (E.T)ntafute kwa (paimmo550@gmail.com)

    Potz.

    ReplyDelete
  6. Hiyo picha ya "vitu vya kike na kiume vya sheria na mavazi" Angalia hilo Konozz Michuzi jifunze hapo. Mshikaji amebamba kinomaz.

    ReplyDelete
  7. Nimependa ya 4, manake mikonozzz umefika pahala pake.

    Nikimuwekea bosi hiyo style nitabakia kuwa na kibarua kweli?

    ReplyDelete
  8. Hongera sana Mr Sheria,naomba unde hivyo hivyo na zaidi.
    Kila la heri.
    Mdau,Italy.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...