HI bro michuzi.
mimi ni muislam nimeoa na nina mtoto mmoja. katika miezi ya kawaida yaani sio ramadhani,mke wangu huwa na wivu kupindukia. yaani mpaka kero. inafika mahala mpaka namtuliza kwa makofi.
swali langu sasa, mbona mwezi huu wa ramadhani hana wivu na mimi?inafika mahala naumiss wivu wake niliouzoea.
AU hii ramadhani inamjenga vp mpaka hana wivu nami.na je wale wenzangu inakua kama ivi ndani ya mwezi huu wa ramadhani wife hana wivu?
plizzz naomba msaada wadau.
wako: kada wa libeneke ya jamii
wote ramadhan karim
He we mwanamume ujisikie aibu kabisa kumpiga mkeo makofi!!! Umeshindwa kuongea nae vizuri kama watu wazima? You should be ashamed of yourself!!!!!!!!!!!! Wakati unaapa mbele ya padri/shehe" for better or worse" ulikuwa unafikiria nini? SHAME ON YOU! gO AND APOLOGISE TO YOUR WIFE IMMEDIATELY, NA USIRUDIE TENA KUMPIGA MWENZIO MAKOFI! NYOOOOOOOOO!!!!!!!!! yOUR HANDS SHOULD ONLY BE USED TO LOVE HER, ADORE HER AND WORSHIP HER NOT TO BEAT HER!!!!!
ReplyDeleteHIYO YA KUMTWANGA MKE WAKO MAKOFI NI NO NO NO NO NO! kwani amekuwa mtoto? tena eti unajisifu. mie ningeshakuitia polisi siku nyiiingi. watu kama nyie mnaowa-abuse wanawake ndo tunataka tuwatungie sheria kali. ba swali lako silijibu, ila ungekuwa karibu ningekurushia mangumi...
ReplyDeleteHuyu nae sasa unampiga makofi ya nini wakati wivu unaupenda? usipige mwanamke bwana we vipi. Ni hivi siku hizi kanipata mimi namtuliza ndio maana hana time na wewe
ReplyDeletewakati wa mfungo kila kitu ni KUFULI including WIVU. Na hii inaonyesha ulivyo MLABAJI ULIYE KUBUHU wakati wa kawaida ndo maana mkeo hukufanyia UNJAGU.... Ukome sasa .. FAZA
ReplyDeleteUNIVERSAL VIRUE UNIVERSITY ( CHU KIKUU TASWIRA ULIMWENGUNI)
ReplyDeleteIDARA YA UHALISI WA MAISHA ILISHMALIZA HILI TATIZO MAELEZO NI KAMA IFUATAVYO. HAMNA MWANAMKE HATA MMOJA ANAPENDA KUHASI NDOA YAKE. WAKINAMAMA NDIO WENYE UPENDO WAJUU KUHUSU FAMILIA NA KAMWE MUNGU ALIWAAPA UWEZO WA KUWA NA UVUMILIVU USIO WA KAWAIDA. TABIA YA MWANAMKE KUENDA NJE YA NDOA NI HISIA SIZIZO KWELI ZINASABABISWA NA WIVU WA KITAHAIRA WA WANAUME. HII HUWA INALETA HASIRA KWA KINA MAMA MAANA WANASHUTUMIWA VITU AMBAVYO HAWJAFANYA. MAANA YAKE WAFANYE AU WASIFANYE INAONEKANA WAMESHAFANYA. SASA KWA HASIRA NDIO MAANA WANAWKE WaNENDA NJE YA NDOA. CHANZO NDIO HICHO. UNABAHATI SANA KWAMBA UMEPATA NONDO AMBA ZO DUNIA HAIJAWAHI KUSIKIA. WANAUME SISI NI MAUMBWA HATUJALI NA TUMELAANIWA .
PROF DR ING REV.......AT(ALL TITTLLES) ACADEMI TUMAINI GEOFREY TEMU
RAMADHAN KARIM MY FOOT, TENA UNGEJUWA KARIBU NINGEKUTUNDIKA MANGUMI NA SWAUMU YOTE INGEKUISHA. UTAMPIGAJE MWANAMKE, TENA ETI UNAJISIFU, NYIE NDO MNAOTAKIWA KUOZEA SEGEREA. YAANI MIE MUME WANGU SIKU AKINIPIGA KOFI NI TUTAPIGANAAA, HEEE!!!! SWALI LAKO LILIKUWA LINASEMAJE VILE?
ReplyDeleteHakika umenifurahisha kupita kila kiasi.Swaumu ilikuwa kali sana leo na tumefungua swaumu saa mbili urobo za usiku, nilikuwa taaban lakini umenipa tonic kali Nimecheka mpaka mbavu sasa zaniuma, yaani wewe umezoea zogo la wivu na sasa you are missing it.
ReplyDeleteManshallah
Wakatabahu
Una matatizo kweli. Yaani huna hata aibu kutuambia unampiga mkeo? amekuwa mtoto mdogo? na sasa unalalamika kuwa hana wivu na una-miss wivu wake. labda tukutandike makofi na wewe sababu ya ujinga wako. i believe there are two sides to every story. mkeo wivu wake is not coming out of nowhere. you must be doing something behind her back to make her jealous and now maybe she's doing something behind yours. good for her. you're a terrible husband anyways.
ReplyDeletesio wewe tu bali hata mimi mke wangu ana wivu kupindukia yaani nikiondoka kwenda kazini anakodi Taxi ananifuatilia saa nyingine, nilisha mfuma mara kwa mara, akifuatilia gari langu kwa nyuma. ila kwa sasa nimemzoea nimeamua kumwacha alivyo, anifuatilie kwani niko huru najiamini.
ReplyDeletekwani ni mke wangu.
sasa kuna kitu kimoja nataka nikwambie kitu kimoja watu wengi wanatafuta ulichonacho nacho wanatamani kupendwa lakini hawapati matokeo wanapata mwanamke anaenda nje ya ndoa,asiye na wivu pia.
usilalamike huna bahati mtunze akupendaye ambaye pia ni mwaminifu nawe utaenjoy, vile vile mwelimishe wivu usivuke mpaka asije fanya vitu vya ajabu.
kitu kingine cha nyongeza ukitafuta ambaye hana wivu ujue pengine akupendi au anampenda mwingine na kuwa na wivu na mwingine.
vile vile inawezekana unampa mambo vizuri, hapendi kuyakosa au kunyang'anywa na wengine, ni hayo tu.
hivi karne hii kuna wanaume ambao bado wanapiga wanawake?mwanaume yoyote mwenye tabiA hiyo lazima ni COWARD,WEAK,PUNK!!!!!!you should be ashamed of ur self to be proud of that kind of behavior.NDIMI JANAUME KAMILI IN GREAT STATE OF MD.
ReplyDeleteMichuzi...post za maana unaminya za kijinga kama ya huyo mpiga mke unatundika. GROW UP!
ReplyDeletewewe ulipompiga makofi na wivu ulihama sasa utaipata fresh idiot
ReplyDeleteHAKIKA UNAENDA KINYUME KABISA NA DINI YA KIISLAMU!!
ReplyDeleteUISLAMU UNAFUNDISHA WAJIBU WA MKE NI KUMUONEA WIVU MUMEWE NA WAJIBU WA MUME NI KUMUONEA WIVU MKEO.
SASA UKIWA UNAMPIGA MKEO KWA KUKUONEA WIVU UNAPINGA HAKI YAKE YA MSINGI YA KUPENDA KWA DHATI NA KUFANYA IBADA,PIA UNAPINGANA NA UISLAMU ULIOWAKOMBOA WANAWAKE NA KUANZISHA HAKI ZAO.
WEWE UTAKUA UMEZOEA VINGUCHIRO AMBAVYO VINAFATA MASLAHI NA SIO MAPENZI NA MAHABA HATA UKIFANYA KITU HAVINA WIVU.
MUOMBE MKEO MSAMAHA
Wananchi acheni hasira
ReplyDeleteThe guy seems to be joking
he aint serious kabisa
But man-U ar so fun
I lafd and lafd and lafd
Powa
Michuzu hizi ndio za kuweka watu tuchane mbavu
Busara ikizidi tutakuwa machizi
tunahitaji kukata kiu hasa baada ya maboksi
Naamini mwezi ukiisha boxing kama kawa
Msemaje wengine hapa?Si mke au mtoto anayestahili kupigwa.Eti mtoto ndio anastahili kupigwa makofi?Mtoto kamwe hafundishwi. kwa kupigwa,na Tanzania inabidi kupitisha sheria ya kukataza kuwapiga watoto kutoka majumbani hadi mashuleni,kama nchi zilizoendelea na zingine zenye kipato cha kati zilivyopitisha.
ReplyDeletewewe sio muislam bali ni mmoja kati ya watu wanaotumiwa kuandika maneno maovu juu ya uislamu katika mtandao hakuna lijali yeyote katika uislam anayejisifia kupiga mwanamke katika njia yyte lie wacha unafiki
ReplyDeleteThe Audacity of this man, eti namtuliza kwa kumchapa makofi kwenye karne ya 21? Nyie ndio mnaotupa wanaume wengine majina mabaya.
ReplyDeleteMichuzi I am appalled by allowing such a post, kama blog ya jamii ulitakiwa ukemee icho kitendo kwa nguvu zote. Na huyo mdau aliyesema kuwa "unamchapa makofi kwani mtoto" unataka kusema kuwa watoto ndio wanatakiwa kuchapwa makofi?
anakuamini kuwa wewe ni muislam mzuri uwezi kufanya maovu mwezi huu,lakini subiri mwezi huishe ataanza tena,
ReplyDeletewaosha vinywa msimlaumu uyu jamaa pengine mkurya yy na uyo mkewe.ukiuwamulia ugomvi wao wanakugeuzia ww kibao.uyo mkeo mcha mungu ndio maana hana wasiwasi na wewe anajua nini unakifanya ndani ya mwezi huu ndio maana ameubwaga moyo ndani ya mwezi huu tu.
ReplyDeleteJamani eeh, wakati mwingine tuangalie mzizi wa tatizo badala ya dhihirisho la tatizo. Jamaa anapiga mke kwa sababu ndivyo alivyofunzwa na maandiko.
ReplyDeleteWaislam wanajua vizuri Quran takatifu, surah ya an-Nisa, aya ya 34 (4:34), inafundisha hivyo:
"MEN HAVE AUTHORITY OVER WOMEN BECAUSE GOD HAS MADE THE ONE SUPERIOR TO THE OTHER, AND BECAUSE THEY SPEND THEIR WEALTH TO MAINTAIN THEM. GOOD WOMEN ARE OBEDIENT. THEY GUARD THEIR UNSEEN PARTS BECAUSE GOD HAS GUARDED THEM.
AS FOR THOSE FROM WHOM YOU FEAR DISOBEDIENCE, ADMONISH THEM AND SEND THEM TO BEDS APART AND BEAT THEM. THEN IF THEY OBEY YOU, TAKE NO FURTHER ACTION AGAINST THEM. SURELY GOD IS HIGH, SUPREME."
_____________________________
Quran inasema wake zenu wakileta kokolo wapigeni. Hilo ndio chimbuko la tatizo.
Siku tutakapoanza kukubali kwamba misahafu yetu tuliyorithi kutoka kwa watu wa kale ambao walikuwa hawakubahatika kuwa na elimu kama sisi hapo ndio tutakapoanza kupata suluhu ya haya matatizo ya kijinsia.
ambu tulieni wana dau!...huyu kijana ameuliza. Mimi nitamjibu. Ramadhan huyo mkewako anajuwa kuwa wewe ni muislamu na muislamu hato fanya vitendo ambavyo mke wako havitaki, a.k.a kumtokea mwanamke mwengine. Jengine, siovibaya kumpa kipigo kidogo as long as humuumizi! take care
ReplyDeleteMh..! Hivi unaanzaje kumpiga mkeo hayo makofi? Halafu umeandika kama ni kitu cha kujisifia kabisa.
ReplyDeleteKama ni utani sawa. Lakini kama unampiga mkeo si vema kwani mkeo ni mwenzi wako na sio gunia la masumbwi. Nawasihi wanaume wenzangu tusiwapige wenzi wetu kwani haileti maana kabisa.
ReplyDeleteRAMADHAN KARIM MY FOOT, TENA UNGEJUWA KARIBU NINGEKUTUNDIKA MANGUMI NA SWAUMU YOTE INGEKUISHA. UTAMPIGAJE MWANAMKE, TENA ETI UNAJISIFU, NYIE NDO MNAOTAKIWA KUOZEA SEGEREA. YAANI MIE MUME WANGU SIKU AKINIPIGA KOFI NI TUTAPIGANAAA, HEEE!!!! SWALI LAKO LILIKUWA LINASEMAJE VILE?
ReplyDeleteI'M LOVING YOU...WEWE ULIYESEMA HAYA.
HAAA HAAA.ILA WAJUA.KUWA MWANAUME NDUGU...MKE HUPIGWA KWA UPANDE WA KANGA NA SI MAKOFI UPO HAPO??HAA HAAA.HAYA KAMALIZIE SWAUMU YAKO KAMA BADO IPO...HALAFU UNAHALALISHA VIPI KUMPIGA MWENZIO??KICHWANI SALAMA KWELI WEYE?
"DOMESTIC VIOLENCE" Bad for a brother like you who seems to have basic education.
ReplyDeleteAbusers like you, should be fought badly by making women understand domestic violence and its forms. Kwa upande mwingine inaonyesha jinsi watu walivyo ignorant on the issue.
DAMN! shukuru upo bongo ambako kupiga mwanamkea ni jambo la kawaida kwa mfumo dume unaotawala. ungekuwa kwenye nchi ambazo such issues zinachukuliwa seriously. They trace you down and it is enogh evidence, hata kama huyo unaemlisha makonde hatotoa ushahidi.
Mimi nadhani huyu jamaa anamiss kumpiga huyo mkewe. Maana No Wivu, No Beatings. Wewe mshikaji umetokea mkoa wa Mara nini? Na unabahati simjui huyo mkeo ningemtafuta nimpe kadi, chokleti, maua, maneno matamu na nimtafune!! Kama unamke mzuri mthamini bwana kabla watoto wa dogi hawajakupokonya. Ohoooo!!!
ReplyDeleteMdau, Boston, US.
Huu ni mwezi mtukufu na kwa kweli wengi wenye kuijua dini na kujua umuhimu wa mwezi huu hua wanauheshimu na kuacha maasi yote waliyokua wakiyafanya miezi ya kawaida.
ReplyDeleteHivyo basi asilimia kubwa ya wanawake hua na amani na uaminifu mkubwa kwa waume zao.
Mwezi wa Ramadhan huyo mkeo anakuwa hana wivu sababu kama ilivyo Ramadhan inaheshimika sana, ktk Ramadhan hata wale wazinifu huwa wanastop ili kuuheshimu mwezi huu muhimu kwetu sisi Waislamu. Mwezi huu ni wa toba tena toba iliyojaa hasa, kuacha kuzini kabisa, kuacha kula, kuacha kusema uongo nk. Hivyo mkeo hana wasi kabisa anajua kuwa huwezi kuzini mwezi huu.
ReplyDeleteSiku za kawaida zisizo mwezi wa Swaum lazima awe na wivu na mali yake bwana Unafikiri mchezo kuchukuliwa??? Mbona mimi ninakuwaga na wivu na Michuzi sasa hivi nimemuacha tuu sababu najua ni Ramadhan.
Kweli jamani msimlaumu, kuna wivu mwingine unakera nyie mliompinga hamjawahi kukutana nao. Hata wakati mwingine ukiwa unaongea na mama yako au mambo ya kazi mwanamke anahisi unaongea na demu wako. Duh nyie yasikieni tuu kwa wenzenu usiombee.
ReplyDeleteMwezi mtukufu huu no kuzini kabisaaa kwahiyo moyo wa mke wako uko kwatuuu hana wasi.
kwanza NAKUPONGEZA NI SWALI ZURI SANA NA SIO LA KIZUSHI. NA MAJIBU HAYA NAKUPA YAKUELIMISHE WEWE NA WENGINE KWANGU MUNGU ANILIPE KWA KIJANA WANGU KUPUNGUZA MICHEZO NA AIPENDE SHULE NA KUIMUDU INSHALLAH. Ni kweli wivu aqnao ingawa pia inawezekana ni kufanya masghara katika mapenzi. naamini hata kofi analopigwa ni dogo tu la kumdhibiti. sasa tuko kwenye saumu ya mwenyezimungu ambaye hatakiwi kufanyiwa mashara na inaelekea hilo mkeo analijua. hivyo mshukuru mungu kwa kumpata mtu anayelinda swaum yako. Fahamu kuwa mtu akifungua kwa makusudi(kuingiliana mchana wa ramadhan)siku moja anatakiwa alipe siku 60 mfululizo, na ukikatisha unaanza upya. Je mwanamke atawezaje wakati hapo katikati lazima atakatisha kwa kuwa kwenye hedhi? hii isingewezekana. HIVYO MWANAMKE ANAKUWA AMESHAFUNGUA KABLA YA TENDO HILO HIVYO YEYE ATALIPA SIKU MOJA. ile hali ya mwanamke kuwa tayari kukubali tendo hilo yeye keshafungua, ndio maana hataki mzaha analinda swaumu zenu,wallah allam(mwenyezimungu anajua zaidi)
ReplyDeleteNa (Saumu) maana yake katika Sheria ya Kiislamu
ni (kujizuiya na vitu makhsusi vinavyofunguza kwa wakati maalum na
shuruti maalum, kwa niya ya kumtii Mwenyezi Mungu na kufanya
Ibada).
Na kufaridhishwa kwa Funga (Saumu) kumethibitika kutokana na Kauli ya
Mola na Suna za Mtume Wake. Kasema Mwenyezi Mungu katika Suratil
Baqarah Aya ya (183 na 184):
(183)-“Enyi Mlioamini! Mmelazimishwa kufunga (Saumu) kama
walivyolazimishwa waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha Mwenyezi
Mungu.”
(184)- “Siku chache tu (kufunga huko). Na atakayekuwa mgonjwa
katika nyinyi au katika safari (akafunga baadhi ya siku), basi (atimize)
hisabu katika siku nyengine. Na wale wasioweza, watowe fidia kwa
kumlisha masikini. Na atakayefanya wema kwa radhi ya nafsi yake,
basi ni bora kwake. Na (huku) kufunga ni bora kwenu. Ikiwa mnajua
(haya sasa basi fungeni).”
Aaaaah babu wee mkeo asipokuonea wivu akuonee nani mwingine? hebu wacha zako usimpige mwanake wa watu bila makosa. Ndio mapenzi hayo, asipo kuonea wivu utasema akupendi.
ReplyDeleteJua kwamba mwezi huu hakuonei wivu sababu anajua wazi mwezi huu ni wa mfungo hivyo huwezi kuwa na kidumu pembeni.
MWANAUME ANAEPGA MWNKE NI GAIDI KWA KWELI, I DO H8 THEM.
ReplyDeleteSS SIKIZA MANI HUYO MWANANKE KWENYE MWEZ M2KUFU,,, LABDA UTAJIHESHIM MWENYEWE ACJE JIZOLEA DHAMBI BURE NA KUHARIB SWAUMU YAKE NA YAKO.
LAZIMA UMIC HUO WIVU NDUGU YANGU COZ KUNA W2 HAWAUPAT TOKA KWA WENZA WAO KABISA.
binafsi, mi naona Mwanume anayempiga mke anonyesha ameshindwa kutumia njia nyingine nzuri zaidi kutafuta suluhu,hivyo anatumia kupiga kama defence mechanism,huo ni udhaifu mkubwa sana. Nawaasa wanaume na watu wote kwa ujumla kutotumia kipigo kama njia ya kupata suluhu.
ReplyDeleteheeee kumbe wakati mwingine wanaume mna akili ivi???
ReplyDeletemaajabu leo izi comments za wanaume wanaposema kumpiga mwanamke ni udhaifu,ushenzy,kushindwa nk...au izi comments ni wanawake nn
heee mbona muendelee ivoivo!!
afu uyu mtoa mada swine kabisa