Home
Unlabelled
toleo jipya la bang! lipo mitaani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani mi naomba nitoke nje ya kijitopic kidogo. Ni kwamba mimi ninampenda sana huyu dada aliyebeba hiko kijigazeti. kwakweli nampenda sana huyu dada jokate yani huwa nikiona picha yake kwenye magazeti mtandoni au hapa michuzi huwa mwili unasisimka sana, kama hapa nimemuona nikasikia nimesizi kabisa YANI NI KAMA JINSI MBWA ANAVYOKUWAGA KWA CHATU. ndo kila napofikiria kuoa huwa namfikiria huyu dada. tatizo niko nje na sijui jinsi ya kuwasiliana naye. nimejaribu kuomba namba yake kutoka kwa mwandishi fulani wa globo publishers akaniyeyusha. jamani naomba mwenye kuweza kuniunganisha na huyu dada hata kwa email yake au sim namba nitatoa zawadi nono. kwa kweli niko serious sana katika hili. naomba kama kuna ambaye yuko tayari aniambie hapa kwenye hii post ili tubadilishane mawasiliano tuwasiliane kwa siri. nitashukuru sasa na ninaahidi zawadi.
ReplyDeleteMdau, PhD candidate, Southampton Uni.
Michuzi, hapa link ya ku-comment umeweka ya nini km comments zote unabana? Si ungeitupilia mbali hii link ya comment tukajua moja kwa moja kwamba hazitakiwi?
ReplyDeletenimependa cover page ntaenda nunua haraka mno......
ReplyDeletehaka katoto hivi kanasoma au ndo kuuza sura tu kila wakati
ReplyDeleteJoketi wewe, joketi wewe jamani mmmhhh we acha tu. Hako kasura mmh mbona sikukujua mapema pale St Anthony's?? kama ningejua yanakuwa haya; ngoja niache tu mdau hapo juu asije akarusha ngumi.
ReplyDeleteShabiki wako namba 1 Maryland.