Home
Unlabelled
EX-UDSM Students RE-UNION BASH COMING FRIDAY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi nilisoma Chuo Kikuu cha Dar, 1973-78. Nimekerwa na utovu wa nidhamu katika lugha iliyotumika katika tangazo hili. Kama kweli tumesoma, tuonyeshe mfano bora.
ReplyDeleteNilisoma hapo na nikafuzwa wakati ule wanamtandao walipomtukana Rais matusi ya nguoni. Kwa sasa nipo mtaani nabangaiza, je naweza/nastahili kushiriki?????
ReplyDeleteHapa kinachofanyika ni biashara tu ya kukusanya hele za viingilio. Hakuna chochote cha maana. Tafuteni biashara za maana si kukusanya tu viingilio vya minuso. Biashara hizo waachieni watu ambao hawajasoma UDSM wafanye. Wasome gani nyinyi?
ReplyDeleteSasa kwa nini mnawaita X? Watu na mashahada yao kweli waitwe x!!! that's low
ReplyDeleteSisi wasomi tumezoea kualikwa kwenye forums na workshops mbalimbali zenye kuleta tija kwa taifa hili lenye matatizo kedekede..Tene hayo hufanyika bure kabisa! Wasomi pia wanapotaka kuburudika wanajua pa kwenda....umechemsha!
ReplyDeletekaka uliesoma chuo mwaka 73-78 nadhani utakubaliana na mimi kuwa lugha hiyo katika matangazo inaruhusiwa sana tu yote ni katika kuboresha na kurembesha tangazo,so sioni kosa walilolifanya hapo, hata mimi nimesoma hapo hapo nitakuwepo siku hiyo nikawaone marafiki zangu wa mwaka jana nimepoteana nao sana tu.
ReplyDeletehapa umechemsha kwani UDSM wamepita wanafunzi wengi......sasa hapa ungeongelea reunion za faculties sio wote waliopita UDSM....
ReplyDeletemi nafikiri jamaa wako sawa sawa kabisa coz si rahisi kwa watu waliomaliza kukutana,ni kitu kizuri sana kwa kweli i give u guys a full suport u knw something like this is very interesting, i wiill definitely be there so vp zito kabwe nae atakuwepo si amepita hapo?
ReplyDeleteebwana jaka thats fantastic....u guys have all my support....mi ntakuwa pale.......
ReplyDeleteaisee hiyo ni lugha ya matangazo tu inaelekea ulisoma engnring u dont know about marketing comm and socialization. ila usijali taratibu tu utaja elewa.
ReplyDelete