Mimi Naitwa salum salum kutoka Boston,
Nilikuwa Nakwambia hivi hizi habari alizozileta Luka zina utatanishi kidogoKwanza mpira hatukucheza dakika 70, Isipokuwa tumecheza 80 ,Ni kweli tulichelewa kuanza mechi lakini Amerikwesti gemu nyengine Baada ya Skukuu, Lakini sisi tunasema kama anataka hata Ramadhani basi sisi tupo tayari.
Na yeye ameomba one game,kwa sababu anajuwa atatufunga,Lakini sisi tunataka aombe mbili kwa sababu hiyo aliyomba tutamfungaVile vile ametowa sababu referee hakuwa mzuri sasa sisi tunasema aje referee wake pamoja na linesman wakeTunamjuulisha kuwa sisi ni spirit of America
salum salum
salum salum
We bwana Salum kua mkweri. Hii ni fact, game ilianza 4;35pm mapumziko yalikuwa 5:20 to 5:35pm. Nampira umemalizwa 5:58pm. Hizo si less than dkk 70.
ReplyDeleteMpenzi Bongo united stars.
nakuunga mkono kaka Salum asiyekubali kufungwa si mshindani. kama wanataka kuoga magoli warudi tena na tena, washangiliaji tupo na wachezaji mpo.
ReplyDeletemichuzi najua na hii pia utaibania ila to be honesty I START TO HATE YOU I REALLY HATE YOU....HIZI habari za mipira ya hawa jamaa ZINATUBOAAAAAAAAAAAAAAA.hawa jamaa ni attention seeker tu hawana cha soka wala cha ushuzi waache wabebe boksi lao tu huko daily ni wao tu bana
ReplyDeleteThis is healthy we anon wa hapo juu... unamaisha gani hata healthy competition hutaki kuzisikia?
ReplyDeleteHUYU MTOA MAONI WA SAA TATU DAKIKA 55 ASUBUHI NDO MMOJA WA WALE WABONGO WENYE MARADHI YA DIASPOROPHOBIA, YA KUCHUKIA WABONGO WAISHIO NJE YA NCHI.
ReplyDeleteMBONA KAMA YEYE ANACHUKIZWA NA HAYA YA KUTANGAZWA MAGEMU YA FUTIBOLI YA WABONGO NJE YA NCHI, na KUSEMA KUWA JAMAA WANATAFUTA ATTENSHENI, MBONA YEYE HAFANYI YAKE TUKAMWONA?
ASITULETEE ROHO YA KOROSHO HAPA!
KAMA YEYE HAPENDI KUZIONA HABARI HIZI, BASI ASIZISOME, HAKUNA ANAESOMA KILA HABARI KATIKA BLOGU. ACHAGUE ANAZOZIPENDA.
MAMBO YA USHAMBA NA ROHO MBAYA NA KIJICHO YAMEPITWA NA WAKATI.
KATIKA ULIMWENGU HUU KILA MMOJA HUJIPATIA RIZIKI KUTOKA KWA MUNGU KWA ANAVYOJAALIWA. MWENGINE ATABEBA BOKSI, YULE ATALIMA, YULE ATAUZA MAJI BARIDI, YULE ATAPIGA DEBE, YULE ATAVAA TAI OFISINI, YULE ATAKUWA MAMA LISHE, NA KADHALIKA. MUUNGWANA HABEZI NJIA INAYOMPATIA MWENGINE TONGE YAKE YA KILA SIKU.
MTU KAMA HUYU AKISHAZAA WATOTO WAKE ATAWAAMBIA NINI JUU YA UKWELI KUHUSU MAISHA??
AU KWA KUWA KUNA WATU WANAWAPONDA WABEBA BOKSI BASI NA YEYE ANAONA AIGE TU KIKASUKU??
MSHAMBA WA MAISHA HUYU
Mndengereko, Ukerewe
weee anony unaelia na Misupu kwa chuki hebu punguza jazba.hao wanacheza soka la bonanza na kujiliwaza kwa kukutana na marafiki ama familia za kibongo za miji mingine.
ReplyDeletesasa kama wewe unachukia basi ni busara kama utaacha kuzisoma hizo posti zao.kuna mengi ya kuchukiza humu lakini wewe fumba macho na endelea na maisha yako kwa kusoma posti zinazokukonga roho.