Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. Abbas Kandoro akizindua filamu ya ‘Confusion in Rock City’ akiwa na Ruge Mutahaba, mtunzi wa sinema hiyo katika hoteli ya Nyumbani ndani ya NSSF Plaza Mwanza
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Afande Jamal Rwambo, Kemmy Mutahaba, mratibu wa filamu hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Abbas Kandoro na Ruge Mutahaba wakipongezana baada ya sinema hiyo kuzinduliwa rasmi.

Waziri wa Nishati na Madini Mh. William Ngeleja (pili shoto) akiwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa ATCL William Haji (shoto) na washiriki wa filamu ya Confusion in Rock City. ATCL walikuwa wadhamini wakuu kwenye utayarishaji na uzinduzi wa sinema hiyo ambayo iko madukani nchi nzima.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kumbe ATCL wanaweza hata kudhamini filamu??!!

    ReplyDelete
  2. ebwana kamanda amekula suti ya hatari sana nimemkubali utadhani siyo yeye anayetuhabarisha kuhusu mijambazi ..hahah mpe big up kamanda jamal mwambie imetulia hiyo

    ReplyDelete
  3. Popobawa!Viongozi wa Bongo hao, Ngeleje shingo inaanza kupotea hiyo,namkumbuka kipindi akiwa Wakili kama namuona,awamu nyingine ikiisha na haijalishi kama atakuwa waziri au mbunge shingo haitakuwepotena.

    ReplyDelete
  4. sisi wa huku uk tutaipataje filamu hiyo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...