Mganga Mkuu wa Mifugo Mkoa wa Ruvuma DR.Anselm Tarimo(kushoto) na Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba wakikata utepe wakati wa uzinduzi wa mradi wa Ng'ombe wa maziwa wa kikundi cha Vicoba cha Songea baada ya Vodacom Foundation kukabidhi mradi huo wenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni shilingi Milioni 20.
Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba (kulia)akipewa maelekezo kuhusiana na ng'ombe wa maziwa wa Kikundi cha Vicoba cha Songea kutoka kwa Meneja wa Vodacom Fondation Yessaya Mwakifulefule wakati wa uzinduzi wa mradi huo uliofadhiliwa na Vodacom Foundatio uliogharimu kiasi cha zaidi ya shilingi Milioni 20.


Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akimlisha Ng'ombe wa maziwa mara baada ya kukabidhi rasmi mradi wa Ng’ombe hao unaomilikiwa na kikundi cha VIKOBA cha Songea,mradi huo umegharimu kiasi cha zaidi ya shilingi Milioni 20.
Wapiga gitaa wa bendi ya kinjeketile ya Songea kutoka( kushoto)Joseph Mapunda(shauri ya pesa) na Hamis Mussa wakionyesha umahiri wao wa kupiga gitaa wakati wa makabidhiano rasmi wa mradi wa Ng'ombe wa maziwa wa kikundi cha VICOBA cha Songea uliofadhiliwa na Vodacom Foundation wenye thamani ya shilingi Milioni 20





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. mh, sijawahi kumwona Mwamvita kwa nyuma, kumbe ana "ka-ush**zi" kanajitahidi flani hivi, eti enhe!?

    hivi ameolewa huyu binti?

    ReplyDelete
  2. Huyu mtoto wa Makamba ni balaa,
    Mithupu mbona kila umuwekapo hapa anazidi kunidatisha jamani .Nipe ukweli alisha tolewa mahali?? Mimi niko tayali kwa chochote mzee atakachoniomba,.nipe habali za huyu dada mithupu.Samahani usinifiche mheshimiwa.

    ReplyDelete
  3. Ramadhan inanukia, mtandio on its way up.

    ReplyDelete
  4. Mwendo wake mzuri sana na anajua sana kuuza sura kwenye michuzi blog ila sasa ndio asijitusu au kuthubutu kuingia kwenye siasa sasa maana naona mwenendo wake kama ndio anataka kuishia huko ataumia ni bora aendelee zake kula bata Vodacom

    Hongera sana Mwamvita na Vodacom kwa kuisaidia Jamii

    ReplyDelete
  5. Dada mwenyewe mbona anaonekana mjamzito huyu. Michu vipi ni kweli mjamzito? kwa sababu wewe unamuona live unaweza kujua vizuri zaidi.

    Halafu kama mtu unataka kuwasiliana na dada piga simu vodacom utampata.

    ReplyDelete
  6. Hakuna cha ramadhani wala nini hapo, tumbo hilo linachomoza kwa mbali. Nyinyi subirini tu mkiuliza kwa Michu je ameolewa kila siku

    ReplyDelete
  7. Kaolewa na Mzungu huyu nyie mlie tu. Na kwa mbali watu wamepiga chini anavimba juu..

    ReplyDelete
  8. MHE. RAJAB YUSUFF MAKAMBA HATIMAYE ANATARAJIA KUPATA MJUKUU HONGERA MHESHIMIWA - MDAKU, PICHA YA NDEGE - KIBAHA

    ReplyDelete
  9. Anony (s)
    Wed Aug 19, 12:04:00 AM
    Wed Aug 19, 02:24:00 AM

    hata mimi nilikuwa niulize huyu dada jamani ni mjauzito! au mamcho yetu?

    ReplyDelete
  10. MWAKIFULEFULE USISAHAU KUPITA BOX 2 HASA BWENI LAKO LA UHURU NA ULOKONI UKAWASAIDIE KUWAPA MISAADA KIDOGO WAMAMA WA MAENEO YA KAMGWELE KULE
    PIA USISAHAU KUPITA NA TAMSALA,SI UNAKUMBUKA ENZI ZA AKINA WHITNESS,HAHAHAHAHAHAHAHAHA
    TUMETOKA MBALI

    ReplyDelete
  11. hongera mwamvita kwa kuisaidia jamii... kwa nyinyi mnaoulizia kila leo kaolewa?? ndiyo kaolewa na mzungu tena ilikuwa booooonge la arusi ana watoto wawili kama ni mjazito tena inshallah watakuwa kids watatu tafuteni masingo wengine punguzeni ukware wenu hapa alah!
    canada

    ReplyDelete
  12. DU KWA MRADI WANGOMBE DA MWANVITA KAFIKA MANAKE MDINGI MAHITA NDO MRADI WAKE MKUBWA TOKA ENZI ZILE KULE TANGA KIOMONI MWENYEWE ANAJUA NAONA MIJITU KIBAO INAMTAMANI DADAANGU HAPA NENDENI LUSHOTO WAPO KIBAO KAMA HAO YEYE KESHA PATA WAKE MMECHELEWA BAIII WENU MGOSI NO1

    ReplyDelete
  13. kaolewa tena na mzungu ila sijui ni wa taifa gani wanapendana sana,si mnajua mzungu akipenda

    ReplyDelete
  14. mzungu kashika pembe kama za hao ngombe aliotoa zawadi.x bf

    ReplyDelete
  15. MWAMVITA JAMANI UMESUKA TATU KICHWA HAHAAHHA UMEPENDEZA SANA. HONGERENI SANA VODACOM IWE SIASA ISIWE SIASA UJANJA KUWAHI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...