
Tanzania tourism to reap nothing from World Cup, others to gain
By Apolinari Tairo,
By Apolinari Tairo,
eTN Staff Writer Aug 24, 2009
DAR ES SALAAM, Tanzania (eTN) - Failure by Tanzanian government authorities to design and strategize plans that would put this African tourist destination in Southern African World Cup tournament map had automatically created doubts whether this nation will benefit from Africa’s first and historic soccer event.
Tourist stakeholders in Tanzanian Indian Ocean coastal city of Dar es Salaam and the northern tourist hub of Arusha have been frustrated by the government’s failure to join other regional members in promoting the country during the 2010 FIFA World Cup.
For more


jamani kw awale tulio huku nje ya nchi kweli tunajionea wenyewe nchi nyingine za Afric azinavochangamkia hii world cup.
ReplyDeleteKun nchi kama Angola yaani kwa sasa ukiangalia TV kwa hapa Ujerumani, Uingereza na Sweeden yaani wamejiimarisha kweli kweli kwa matangazo ya kujitangaza kuhusu hio World Cup.
Inasikitisha sana kuona sisi Tanzania wala hakuna hatua yoyote imechukuliwa. Sijui bado wapo wanalijadili suala hili kwa MADOKEZO na mafaili tu huko maofisini?
Safi sana naona our government wameamua kufanya kweli kwa kuchagua vipao mbele! Sisi tupo busy na issue za spika Six na mapokezi ya Hashim Thabit nyie mnatuletea mambo ya world cup! Kwanza bora tusipate kitu maana hata kikipatikana wanakula wachache, unadhani mkulima wa kule Kalambanzite Sumbawanga atapata nini? Nchi yetu imekua ya kisiasa mno kwa hiyo tunacheza muziki kulingana na wapigaji wanavyotaka tucheze leo wametuwekea CD ya sita, juzi ilikua Hasheem kabla ya hapo Zombe, basi ni burudani tuu! Tanzania yenye kila neema inawezekana! Mungu wabariki mafisadi wazidi kutuibia!
ReplyDeleteMdau Brasil.
pole sana kaka MICHUZI.Riverpool 1-Aston Villa 3.ni hayo tu kaka MICHUZI.mdau U.K!!!
ReplyDeleteHaya sasa tunabaki kuwasema wenzetu wakenya ooh wanaroho mbaya, may be its not all bad with them when it comes to improving their economy through advertising wametuacha sana, we should learn from them.
ReplyDeleteSEEEEEMAAAAAAA BABA, MKUUU WA NANIHIIII.
ReplyDeleteLEO HATUPATI LIVE (HAI) TOKA ANFIELD WAZEEE WAUMBULIWA NDANI YA NYUMBA.....3-1 KILIMILIMI CHOTE NYWIIIIIIIIII. HAHAHAAAAAA...LOL
Nafikiri ipo ndani ya matarajio ya watanzania wengi,hili halitushangazi na tulilitegemea.
ReplyDeleteTanzania hatutanufaika chochote kutokana na kombe la dunia kuwa Afrika ya kusini, sio kwamba kivitendo vya kunufaika navyo havipo bali ni kuendeleza siasa zetu za mdomoni(porojo) zisizo na vitendo na kutofikiria mbele. Tanzania imepoteza dira, haijui iendako (imekuwa kama haina mwenyewe) na hatuna mipango ya kuhakikisha tunafanya chochote cha maana kwa maendeleo ya nchi yetu na kizazi kijacho.
Kwa mtazamo wangu,
1:Wizara husika kama ipo hai basi tujiulize kazi yake kubwa ni nini? binafsi naamini wizara zetu nyingi zimebaki majina tu, hazifanyi yale yaliyokusudiwa ( yaliyokusudiwa yanabaki kwenye maandishi tu).
2:Pia Mh Balozi wetu aliyepo Afrika ya Kusini anahusika moja kwa moja na suala hili,labda mheshimia Michuzi tukuombe uende vekesheni SOUTH mara moja na pia ukatulizie kwa mh Balozi kule kuwa Tanzania tutanufaiki vipi na Kombe lijalo la Dunia, sipendi kuwa Shehe Yaya hapa ila yawezekana habari hana.
3:Imefika wakati watanzania tukubali sasa,tumelaaniwa na maombi tu ndio yatayotukomboa, na kuanzia sasa tuombeane kuanzia kwenye familia yani kila umuonapo mtanzania mwenzako umuombee kimoyo moyo aingiwe na roho ya ubinadamu na uchu wakuiletea nchi yake maendeleo( iwe ni sala), tusiishie hapo tu ila tuende mbele zaidi kila umuonapo mbunge,waziri au rais akihutubua tuwaombee wakumbuke kuwa maendeleo ya nchi yataletwa sio kwa uzembe wao wa kufikiri bali kwa kufikiri zaidi ya uwezo wao.
Tukifanikisha hilo basi kwa hakika tutakapofika mwaka 2050, tutaanza kupata viongozi wakueletea maendeleo Tanzania.
Naomba kuwakilisha
Hiki ndio kipimo kizuri cha kuonyesha ni jinsi gani viongozi wetu walivyolala,hivi ni lini watakuwa na akili ya uvumbuzi kama viongozi wengine africa,au munaona raha Tanzania kusifika kuwa ndiyo nchi inayoongoza kwa kuombaomba misaada kutoka nje?na sisi raia tanzania ni lini tutakuwa na akili ya kusema tubadilishe uongozi ili tupate muongozo tofauti na damu mpya katika system?Au bado tuendelee kuwa na sifa ya dunia kuwa watanzania mdomo mwingi utendaji sifuri.Au tunasubiri mpaka malaika kutoka mbinguni na kutuambia wabongo amkeeeni???
ReplyDeleteHii inasikitisha sana , hasa ukiangalia tuna kila sababu na uwezo kufanya vitu ambavyo kwa namda moja ama nyingine inge iweka nchi yetu kwenye soko hasa kamaulivyo sema kwa kipindi hiki cha kujiandaa na hii world cup, ila kama wadau wengine walivyo sema hii ni aibu sijui hawa viongozi wetu wapo pale wanafanya nini? ila tukumbuke ndugu zangu kinacho sumbua pale kwenye nchi yetu ni ubinafsi tu wa viongozi wetu! ni mungu tu anajua tunaelekea wapi katika nchi hii. ILA HIYO NDIO KASI MPYA NA NGUVU MPYA!!!!!!!
ReplyDeleteWaambie ulaji huo kila mtu atapata vijisenti watatoka mkuku kuitangaza nchi.Tanzania ni nchi yenye viongozi walioweka maslahi yao mbele kuliko hata wananchi waliowachagua.Mfano mzuri ona mikataba mibovu inavyopenyezwa mradi tu kuna vijisenti watawekewa kwenye akaunti zao nje.Iko siku watu wataamka na itawashangaza wengi!!!
ReplyDeleteSouth Africa wameweka ovyo ovyo mirangi yao ya Taifa kwenye mpira wa world cup, pira limekuwa bayaaa...
ReplyDeleteContractor si ajabu wamempa Mchina kaona ngoja tuwakandike ma cheap rubber tuwawekee marangi yao, watapenda...
KWA KWELI NI HALI YA KUSIKITISHA SAANA NA TZYETU ISIYOKUWA NA MIPANGO. HUKU TUNAONA KWENYE CNN KILA SIKU NAONA MATANGAZO YA NCHI ZA KENYA NA ANGOLA KWA AJILI YA TOURISM.NA HII NI STRATEGY YAO KUKAMATA VICHWA VYA MWAKANI-WORLD CUP. KINGINE RWANDA WANAKUJA JUU MNO KWASASA, NA WATAPAA KWENYE MIGONGO YETU TUKIWA TUNAWASHANGALIA, MTAYAONA HAYO TUSUBIRI KIDOGO TU.
ReplyDeleteMIMI NADHANI KUKIWA NA MASHINDANO YA MAFISADI LAZIMA TUTASHINDA TU LAKINI ISHU NYINGINE HAMNA HAJA YA KUJISUMBUA KAMA INAVYOENDELEA KUJIDHIHIRISHA.
Hivi mlitaka serikali ifanye nini? Serikali ambacho imefanya ni kuandaa an enabling environment. Waliolala ni sekta binafsi. Wafanya biashara mko wapi?TTB na Tour operators where are u? Sawa utalii umeathirika kutokana na hali mbaya ya uchumi duniani. Lakini World Cup haiko leo iko 2010. Mnachukua hatua gani kuhakikisha mnanufaika nayo kitalii na kibiashara? Kihalisia we are part of South Africa kwa sababu ni masaa 3 tu kwa ndege katika ya DSM na Joihanesburg. Bado mmelala eti mnaingojea serikali?
ReplyDeleteSerikali?? Waziri husika yuko busy kujipanga apate ubunge jimbo la Ubungo. Hatulii wala hashikiki mwanamama ana wasiwasi kama mwakani atabakia. Kwanza nyie mnapokuwa world cup wao wako busy na wajumbe wapiga kura za maoni na kutafuta wagaganga wa tunguli. Nyie vipi?? Ama kweli mawaziri wasingekuwa wabunge.
ReplyDeleteMtapiga kelele sana lakini hakuna anayesikia. Wanasema kelele za mlango..............................................
ReplyDeleteAngalia watu tusivyo kuwa makini! TZ tourist board wapo wapi? Kuna viwanja kama sita hivi ambavyo tunaweza kuvinadi ili timu zije kufanya mazoezi ya mwishomwisho hapa TZ – Uhuru, National, Karume, Kaunda (wa Yanga), Gymkhana, IST Upanga and Msasani Peninsula. Hotel zipo Kempinski, Southern Sun, Holiday Inn, Movenpick, Sea Cliff, Golden Tulip, Coral Beach etc zote tosha kabisa.
ReplyDeleteSIDHANI KAMA KUNATATIZO, WATALII WAKIENDA KENYA SISI ITATUBIDI TULALAMIKEA KWA WAKENYA KUUTANGAZA MLIMA WETU AMBAO WENGI WETU TUTAKUFA BILA KUUPANDA WALA KUUONA!
ReplyDeleteKUNA WATU WANANYEMELEA JIMBO LANGU LA UCHAGUZI, NINAOMBA ULINZI.
kizuri chajiuza chenyewe kibaya chajitembeza,na sisi ni kizuri
ReplyDeletekingunge na makamba sidhani hata kama wana taarifa kama kuna worldcup mwakani mmoja anataka kulitokomeza kanisa mwengine spika hayo mambo yenu ya utalii hayo MTAJIJU.....
ReplyDeleteTatizo letu tumezoea mambo mawili, 'zimamoto' na 'kujisahau-watakuja tu'. Hatujui kuwa maswala kama haya hayafanywi dakika ya tisini. Ukweli ni kuwa hatukuona mbali na kuweka mikakati tangu wakati Afrika Kusini wamekubaliwa kuwa wenyeji wa kombe la dunia. Pili tunafikiri kwa vile Mlima Kilimanjaro na mbuga nyingi za wanyama na vivutio vingine vipo Tz basi watakuja tu, hatuhitaji kuwavutia ili waje. Tunatakiwa kutoka huko, hii ni karne ya 21 siyo ya 17. Inasikitisha sana!
ReplyDeleteKama sijasahau, mchangiaji maarufu wa blog hii ya jamii, Dr shayo ndani ya blog hii aliwahi kuandika nafasi ambayo tanzania imeshindwa kupata kwa kile kilichodaiwa kwa wahusika kushindwa kujichanganya wakati wa mikutano muhimu ya kugawana michezo ya majaribio. Wapo wachangiaji walichangia kuwa uzembe ni watu walio katika wizara ya michezo kushindwa kuyaona haya! ni aibu lakini it is too late
ReplyDeletePoleni kwa waliopuuzia mtazamo wake kuhusu faida za mashindan haya.
Yeah is so sad and painful to see our motherland is going "kombo" Naungana na mchangia hoja namba mbili kweli tanzania watu wanacheza muziki kutegemea CD iliyo kwenye chat....Nchi haina mwelekeo kabisa na ni kweli i wonder those people so called patriots ohoo mie napenda nchi yangu na ni patriot....if u ask her/him what are you doing to help this taifa iam sure the answer is ohoooo unajua(as usually -longo longo nying)...but for myself i feelso sad internally although iam not patriot but ilove and respect my original(motherland)and its pain to see 45 millions people we dont have any national identical(hatuna cha kujivunia mbele ya watu) badala yake ni kupiga gumzo na ku-mind simple things ohoo kesi ya zombe,ohoo Hasheem kaingia ,ohoo spika kafanya vile....
ReplyDeleteJamani can you imagine how happy and proud i was to see people who are speaking the same language with me (kiswahili) finished athletics world championship in third position hayo ndiyo mambo ya kujivunia na kutangaza nchi ndugu zangu tufungue macho karne ya 21 inakwenda hiyo tujifunze kuwa na wivu na tamaa ya maendeleo tuacheni tabia ya kuridhika na vitu vidogo vidogo.. siyo mtu kuchaguliwa kucheza NBA basi imekuwa ni shughuri ya kitaifa -party kila mahala mpaka ikulu ....jamani mbona sijawahi kuona watoto yatima, walemavu,mazeruzeru wakikaribishwa dinner state house au Kempesik those are Tanzanian who suppose to enjoy fruit of uhuru and mali asili tuliyo pewa na mungu.
Halafu kila mara utasikia ahaa tumewapiga kisigino watani wa jadi how????????? iam sure if Obama angelikuwa ana asilia ya kitanzania nafikiri watu wangesema Chicago ni kinondoni...tusipige majungu kuhusu kenya tuige mfano kwao(development competition)i dont know.. iam sure it will take long journey for us to create Tanzania as (brand-name) world wide like Kenya or other serious countries , kama tutaendelea na kushughurikia mambo ya kesi ya zombe..e.t.c
i believe hekima na umoja ndiyo ngao yetu.....
Mdau wa kamachumu
SISI SI WAJINGA?TUMELALA NA KUPUMBAZWA NA SIASA ZETU CHAFU!!ZA WIZI FITNA NA MAJUNGU
ReplyDeleteBUNGENI SITA NA WABUNGE WENGINE WANATUDANGANYA WANAPIGANIA UFISADI WOTE WEZI.
HAYA KAENI MKAO WA KUSUBIRIA WANALETA MISHAHARA YAO MIPYA.SASA HIVI PUNDE MTASIKIA WAMESHAJIONGEZEA MISHAHARA.
SASA KAMA MASLAHI YAO WANAYAPATA MNADHANI WATAUMIZA VICHWA ILI WATANZANIA WAHALI YA CHINI MAFUKARA NAO WANEEMEKE?
MKISHANEEMEKA MNADHANI MTAENDELEA KUWAONA MIUNGU WATU NA KUWADANGANYA KWA SHILINGI2?
Msisahau kuwa kuna wageni, hususan wa Sauzi Afrika, ambao wameanzisha safari za anga kutumia Boeng 737 from Dar to Jo'burg - a Boeing 777 will be put into service by December this year. Ever heard of Air Zara? Wanakwenda mpaka Comoro Isles, Zanzibar and Jo'burg. Crew is south afrikan. Muulize michuzi ndege zinavyojaa between Zenj and Jo'burg and back.
ReplyDeleteI see a potential that maybe tour operators and hoteliers, using the various embassies, start lobbying for national teams to come stay at their hotels, liaise with police department and owners of suitable fields/pitches and create a package attractive enough to entice qualified teams to do their last minute training here.
Yanga, changamkieni tender hii, pangeni na hoteli moja, polisi na mnadi uwanja wa Kaunda utumike kwa timu moja ifanye mazoezi na mchaji kiingilio kuingia kuona mazoezi - pesa kwenda mfuko wa klabu!