Habari ya Tanzania, Mzee vipi?
Tumefungwa leo hapa Sudan
Tanzania Under 17 score 0
and
Sudan Under 17 Score 3
Kiwango cha hali ya juu,
hayo ndo matokeo
Mdau Massudi Msemo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hii inatufundisha kuwa hata timu ya wakubwa ya Maximo ukiondoa fedha nyingi zinazotumika matokeo yatakuwa sawa na hii ya watoto. Kwa kifupi kiwango cha soka TZ bado!!!!

    ReplyDelete
  2. Team W D L Pts
    Tottenham 2 0 0 6
    Chelsea 2 0 0 6
    Arsenal 1 0 0 3
    Liverpool 1 0 1 3
    West Ham United 1 0 0 3
    Manchester City 1 0 0 3
    Wigan Athletic FC 1 0 1 3
    Fulham 1 0 0 3
    Birmingham City 1 0 1 3
    Manchester United 1 0 1 3

    Full League Table »

    ReplyDelete
  3. Kwa kuongezea kwenye maoni ya mdau wa kwanza, ina maana inabidi wadau tuiongezee nguvu timu ya vijana na vijana wazidi kukaza buti ili kiwango kiwe juu. Tukumbuke lakini kinachocheza mpira sio pesa, ni matokeo ya maandalizi.

    ReplyDelete
  4. Nasikia matokeo yalibadilika katka kipindi cha michezo usiku na ushindi kupewa TZ, Sababu ni hao wa Sudan kuchezesha wakongwe yaani over 17yrs.


    By Fire,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...