HEBU BOFYA HAPO CHINI UONE JINSI ADEBAYOR ALIVYOWATUNGUA WASHIKA BUNDUKI. HUYU JAMAA MTANGAZAJI ANANIKUMBUSHA KELELE ZA CHARLES HILARY PALE RTD WALLAHI TENA!
Lakini cha muhimu sana nimefurahia matokeo ya mechi.
Man City 3 Arsenal 1
I HATE ARSENAL !!
Pia Bwawa la Maini hongereni.
Naona ndio mmeanZa ligi
Mdau Mohammed Hemed.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Nyoooooooooooo,kipi hasa kilichokufanya uichukie Arsenal kwa matokeo hayo ya kufungwa na MANC?au ndio Adebayor anakwenda kama baba yako wa kambo nini?
    Mdau wa aMsTeRdAm NeThErLaNd

    ReplyDelete
  2. Michuzi huu mtindo wa kupokea post zisizokuwa na habari sahihi unaboa sasa.......Huyu Hemed wa wapi??? eti Man city 3 arsenal 1...!!!!!!!acheni kukurupuka,Matokeo sahihi Man city 4 arsenal 2.....

    Mpiga chabo mzoefu Michuzi Blogu

    ReplyDelete
  3. kaka mimi mdau mkubwa wa the gunners kipi hasa ambacho unaichukia timu hiyo nafikiri ni utoto.

    ReplyDelete
  4. Huyo jamaa ni limbukeni! huna hata share moja kwenye hiyo man city na timu nyingine yoyote eti u hate arsenal! Utakaa hivo hivo, Gunner itaendelea kuwepo. Yaani kwa garama ya gunners na kwa boli wanalogonga hata uwe wazimu utawapenda tu, wewe utakuwa na upungufu wa kitu kichwani kwako si bure, wabongo bwana!

    ReplyDelete
  5. Kwanza hata matokeo huyajui vizuri unakimbia kukurupuka tu, kwenda zako kule!

    ReplyDelete
  6. mdau wa kwanza punguza jazba..kila m2 ana haki ya kupenda ama kutopenda timu fulani na hata kuichukia.
    binafsi,being a Reds fan huwa sometimes nachukia Man Utd,Arsenal ama Chelsea wakishinda.lakini overall hiyo ndo raha ya ushabiki.sometimes unakuwa roho juu kwa chuki binafsi bila sababu za msingi na sometimes relaxed.
    kwa game za jana,nimefurahi Man Utd walivyowapiga Spurs kutokana na yule muosha kinywa Harry Redknapp na pia nimechukia Chelsea kuwapiga Stoke ktk lala salama.
    it is what it is,thou'.

    "LIVERPOOL MILELE"

    ReplyDelete
  7. Naona Mdau huyu aliona 3/4(robo tatu) ya mechi, maana full time results ManCity 4 Arsenal 2.

    Chelsea 2 Stoke City 1
    ManUTD 3 Tottenham Hotspurs 1

    Msimamo wa ligi:
    1. Chelsea
    2. ManUTD
    3. Tottenham Hotsspurs

    ReplyDelete
  8. KAMA SHABIKI JAMAA ANA HAKI YA USHABIKI WAKE! HATA MIMI NAICHUKIA ARSENAL.KILA MWAKA TUNAKUZA TALENTS.TUMECHOKA NA HIZO TALENTS AMBAZO HAZIKUI.
    ADEBAYOOOOOOOOOOOOOOOOOO! NAUHAKIKA ALIKOSEA KUTYPE KWASABABU ALIKUWA AMEZIDIWA NA FURAHA.KAMA ALIVYOSEMA ADEBAYO."SOME TIMES EMOTIONS CAN TAKE GREAT PART OF OUR LIVES".NA HII NDIO IMETOKEA KWA HUYU JAMAA BADALA YA KUTYPE 4 AKA BOFYA 3.

    ReplyDelete
  9. Hii timu ni ya wapumbavu! ameondoka Ashley cole washabiki chuki,Viela kataka kwenda Spurs wakaanza kelele.Alipondoka Henry hawakupiga kelele kwasababu alikuwa UNDERPAID(slave wage)kwa muda mrefu ndio maana hawakupiga kelele.Ade chuki tena!Fabrigas huu ni mwaka wa mwisho kwasababu anataka ku win titles!!!
    MUACHE UBAHILI KWENYE TRANSFER!
    LIVERPOOL JUU!

    ReplyDelete
  10. huyo adebayor bonge lamshamba halafu sio proffessinaol kamuumiza mwenzie van persel bila sababukama aliondoka arsenal kwa sababu hakuwa commited thats why fan walikuwa wanambuukwa sabayatamaazake alikuwa hajulikani kabla yakuja arsenal,manaco alikuwa anachazea reserve

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...