President Barack Obama and First Lady Michelle Obama pose for a photo during a reception at the Metropolitan Museum in New York with H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania, Wednesday, Sept. 23, 2009. (Official White House Photo by Lawrence Jackson)
President Barack Obama and First Lady Michelle Obama pose for a photo during a reception at the Metropolitan Museum in New York with H.E. Asha-Rose Mtengeti Migiro, Deputy Secretary-General of the United Nations, Wednesday, Sept. 23, 2009. (Official White House Photo by Lawrence Jackson)

Mheshimiwa pozi bado linamzungua.
ReplyDeletejamani JK hata ka-smile jamani! mbona home you are all smiles, imekuwaje hapo tena?
ReplyDeleteWabongo hatujui ku-relax kwenye picha. Hata tabasam laini hamna. Duh!!!
ReplyDeleteHuyo ni rais wa bongo kama walivyo marais wengine,hayo mambo ya H.E Jakaya Mrisho ni utumwa tu na kuendekeza uswahili.Mbona Obama haitwi hivyo? Zamani Rais Moi wa Kenya alikuwa anaitwa hivyo lakini wenzetu wakaacha maana ni ujinga mtupu,hamna cha mtukufu hapa!!Alaa
ReplyDeleteInabidi wizara ya elimu ianzishe somo la kutufundisha namna ya ku-pose kwenye picha. Utafikiria kuna kasauti kalitoka pembeni ka ---MGUUUU SAWWAAA-- then mtu akakakamaa.
ReplyDeleteIt is not a joke!!!
Ha ha ha
Mhhhhh Rais wetu kila kukicha anashinda ulaya hii hatari au waosha vichwa wezangu mnasemaje???
ReplyDeletekazi njema kaka MICHUZI.
Mdau-UKEREWE.
NAPENDA MIGUU YA MRS.OBAMA
ReplyDeletePrezidaa wetu Mjeshi,tatizo mmekariri vijana.
ReplyDeleteJamani acheni nongwa mh jk kazoea picha za vikundi pale mbele ya bango la bibi na bwana ikulu.
ReplyDeleteHizo pozi Maro hebu fanya kazi yako bwana.Michuzi hebu mpe mama yetu heshima yake..huo H.E.tunajua anao hebu Mpe cheo chake Cha Dr.acha kumbania.
ReplyDeleteWatanzania kwa nini ni wafupi?Je kama angekuwa Mwinyi au Mkapa.Kuna aina ya vyakula au ni hali ya hewa ndiyo inayotufanya tusirefuke?
ReplyDeletemama Asha ameokoa jahazi amependeza na amepozi kama mtu mwenye confidence hata Michelle amependa, but raisi, mh, wasiwasi umemjaa,utafikiri katoka kusutwa!
ReplyDeletebila kukosea mrs Obama anapiga chuma
ReplyDeleteSasa sijui Mama Salma aliambiwa asitokee kwenye picha maanake angeiharibu. Maanake hizi picha ni za "Official White House Photo's" hapo Fredy Maro na Mama Salma waliambiwa wao wakapate kiti moto wakati mzee ana kazi muhimu. Au ndio Mama Migiro ndio stand in wa Mama Salma?
ReplyDeleteMmmmmh! Ina maana Asha-Rose ni mfupi kiasi hicho?
ReplyDeleteMguu wa michelle umekauka,mnasemaje wabeba box?
ReplyDeleteMhashimiwa JK yupo wapi mama SALMA?
ReplyDeletembona kwetu kanada haji? afu kwa sie ambao tumepata kumwona obama na kupiga picha nae tuko "MORE RELAXED" zaidi ya raisi wetu hivi ni uoga au? na wewe michuzi picha yako iko wapi na obama? jamaa ni mcheshi sana ni rahisi kupiga nae gumzo kama ukipata kumwona. hawa ndio watu nilitoa machozi saa nimemwona manake nilifurahi mno. nililia pia nilivyomwona baba wa taifa "Mtukufu Nyerere - R.I.P"
ReplyDeletehata mie nimeshangaa kutokumwona mama salma, labda vitenge vimemwishia manake si unamwona mama obama alivyovaa? naona wangetoa pesa kidogo za kuwavisha raisi na mkewe na kuwawekea permanent "STYLIST" ingekuwa fiti manake hata kama nchi ni maskini lakini uongo tungeonekana.
ReplyDeleteMh Raisi, uanze kununua suti za vifungo viwili badala ya vitatu kwani hiyo suti uliyovaa inaonekana kama umevaa koti la mvua. Kama anataka kusaidiwa aseme.
ReplyDeletePicha hizi lazima jamaa zetu wa jirani hapo mitaa ya juu watamaindi. Ingekuwa ni kiongozi wao, mbona tungekoma.
ReplyDeleteHongera Mheshimiwa, ukitabasamu nongwa, ukiuchuna nongwa. Lipi jema.