MMILIKI WA KLABU YA LIGI KUU ENGLAND ROMAN ABRAMOVICH (PICHANI) ANATARAJIWA KUTUA BONGO LEO KWA VEKESHENI BINAFSI AMBAPO ATATEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA KATIKA KANDA YA UTALII YA KASKAZINI.
HABARI TOKA A-TAUN ZIMETHIBITISHA HILO NA KUSEMA BILIONEA HUYO WA KIRUSI ANAKUJA NA NDEGE YAKE BINAFSI NA ATAKAA BONGO KWA SIKU KADHAAL. INASEMEKEKANA HII SI MARA YAKE YA KWANZA KUTUA BONGO.
HABARI ZAIDI IKIWEZEKANA NA TASWIRA ZINAFUATILIWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. Sasa kaka michu si utuambie anakuja kufanya nini, anakaa muda gani na anafikia wapi? nataka nionane naye nijadiliane naye kuhusu masuala fulani muhimu ya kitaifa(siendi kuomba hela)

    ReplyDelete
  2. Kina Mangunga mna taarifa na hili? Ushushu wa kiuchumi ni kitu muhimu sana. Unaweza kukuta na serikali nzima haina taarifa. Kichwa kama hiki kimoja ni sawasawa na watalii uchwara 1,000! Amkeni nyie viongozi.

    ReplyDelete
  3. Karibu bwana abramo. Pia kama inawezekana upate mazungumzo na wamiliki wa vilabu uwape wasomo. Itasaidia kama changamoto ya kuendeleza soka letu

    ReplyDelete
  4. Klabu hiyo kubwa ya ligi kuu ya Uingereza ni Chelsea FC.

    Mpaka sasa Chelsea inaonyesha kuwa watakuwa mabingwa wa msimu wa 2009/2010 kutokana na mfumo wao wa 'diamond' kisoka.

    ManUTD kuondokewa na Ronaldo kumeshaanza kuonyesha madhara kwa klabu hiyo ya jiji la Manchester. Pamoja na kumsajili Michael Owen, kocha wa taifa wa England hajaona Kuwa Owen ana kiwango cha kuchezea timu ya England angalau kwa kipindi hiki.

    Kuhusu Liverpool msimu huu wa 2009/ 2010 nyavu zao zimeshatikiswa mara kadhaa na imeshaleta hofu kubwa kwa washabiki wao.

    Arsenal bado wanadai timu ni 'yosso' hivyo inajifunza, ndio maana walilambwa 2-1 na ManUTD kutokana na kutohimili mikiki ya 'viatu' na kukwatuliwa bila kuambulia adhabu.

    ManCity inaonekana itairithi Liverpool ktk 'gege la wakubwa wanne' ktk ligi hiyo. Hasa kutokana na timu kuanza kupachika mabao kupitia kwa Emmanuel Abedayo. Tevez bado hajaanza kufanya vitu vyake na akianza basi Bwawa la Maini wataachia bodi la "genge la wanne wakubwa'' wa ligi ya Uingereza.
    Mdau
    Kijiweni

    ReplyDelete
  5. Karibu Tanzania.

    Natumai wewe sio mmoja wa wale wanaokuja kupiga risasi wanyama wetu for fun.

    ReplyDelete
  6. WADAU SITUMWAMBIE TU HUYU BWANA KUWA NA SISI TUNA KIPAJI CHETU HAPA HASHEEM THABIT TAALA AKATUANZISHIA TIMU YA BASKETBALL BONGO NA SISI TUKAJITAMJA...
    ni mtazamo tu msinigombeze kama hamjaukubali.

    ReplyDelete
  7. Eee Bwana Mithupu
    Ukikutana nae huko Kariakoo au Jangwani usisahau kumwambia next time aje na timu yake ili wabongo waone wenyewe kandanda moto moto
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  8. I dont see why this is breaking news...ni mwizi mkubwa huyu!! You should ask anyone who know his history and how he got rich

    ReplyDelete
  9. Nasikia anakuja kutafuta wachezaji toka Simba na Yanga...Mwimo?

    ReplyDelete
  10. It doesn't make no sense, mimi nilidhani anakuja kumuuza drogba yanga kumbe anakuja na mamsapu wake kula bata, mwacheni ajilifariji maana amejeruhiwa na financial crisis kinyama.

    ReplyDelete
  11. Naam. Mkiambiwa bongo Tambarare mwaona Uongo, ona Mbillionea huyo haja kula Maraha!! Bongo tambarare tatizo Watu wake walio wengi ambao wanategemea miujiza/ujanjaujanja/ubabaishaji katika kupata maendeleeo.

    ReplyDelete
  12. kule grumeti na ile mbuga ndogo jina lake limenitoka ndio wanako enjoy hawa matajiri wanapiga mnyama dawa ya usingizi then wanapiga nae picha then they took the picture back to their home and hang it there , this just make them happy,kule kuna kautawala kake na bendera, sorry misupu usibanie hii.

    ReplyDelete
  13. unajua juzi roman alilalamika kuhusu spending vs return ya hawa waarabu , then uefa (kina platini) wameonesha kummunga mkono, sasa wale waarabu wa man city wamemwita kule mbugani wa talk bzness!!

    ReplyDelete
  14. kaka michu mimi nashauri jk akaongee nae ndio opportunity za ma bzness hizo au wadau mnasemaje?

    ReplyDelete
  15. Hongera dr shayo. Juhudi zako tunaziona. Kumbe zile safari za kutinga kwa huyu bwana zilikuwa ni sehemu ya maandalizi ya yeye kujua zaidi mambo ya bongo?

    ReplyDelete
  16. HABARI ZA UHAKIKA ZILIZOINGIA PUNDE NI KWAMBA HUYU BWANA ANAKUJA KUTAFUTA MGANGA WA TIMU, ILI AISAIDIE CHELSEA ITOE UBINGWA MWAKA HUU, HIVYO BASI NDUGU ZANGU PELEKENI CV ZENU MPATE ULAJI.

    ReplyDelete
  17. Habari za kuaminika ni kwamba anakuja kufanya mazungumzo na yanga kujaribu kumpata MRISHO NGASA na yanga watampata MALOUDA plus some cash.deal hii imeunganishwa na ZOLA......

    ReplyDelete
  18. Wabongo kwa polojo tumo yaani hakuna comments yenye mantiki hapo juu ....watu ni michapo tu na majungu ..ohooo katua kutafuta mganga ? mbona nyie amuwatumii hao waganga kuingia fanaili za kombe la dunia....???? ohooo jamaa mwezi hizo habari ulizipata wapi? msiongee vitu bila kuwa na udhibitisho...in General Abromovich is really nice man ,simple like that ndiye bilionea pekee wa kirusi asiye na makuu kasaidia sana watu mpaka leo anasidia..ni mtu wa watu anayependa maendeleo siyo mbinafsi, jamaa kapoteza wazazi akiwa mtoto mdogo sana, ka-fight sana kwenye 90 ameanzia kuuza jeans za uturuki(Moscow)sokoni kama kariakoo vile (Cherikzheski linoki) kapanda panda ,kapata mtaji kanua hisa hivyo hivyo mpaka akanunua Sibnefti ndiyo watu wakaanza kumjua...leo watu wengine wanamwita mwizi bongo bwana kweli hamna dogo...watu hajuhi kitu lakini ushabiki hayo maneno kesho yako kijiweni utasikia yule jamaa mie nina story zake bwana kumbe kasoma kwa michunzi blog....
    any way thus the way we are...
    Mdau wa Kamachumu.

    ReplyDelete
  19. Mimi nawaonya tu mnaobwabwaja hapa including michuzi, jamaa ni former KGB (cia ya kirusi) anauwezo wa kurushia virusi kwenye blog yetu ya jamii so please be mindful for what you're yaping about him.

    ReplyDelete
  20. Abramovich climbs kili tomorrow 8 days Shira Route West Kilimanjaro via Western Breach Wall, after that he goes back to London.

    He arrived last night at around 8pm, so im very surprised the photographs of the aeroplane were taken during the day!

    He slept at Rivertrees just outside maji ya chai in Arusha, and early this morning boarded a helicopter to Simba Farm where he spends the night before his Kili-trek tomorrow morning. wanna know more stay tuned.

    He will be back in London for the Tuesday, 15 September 2009
    Uefa Champions League
    Chelsea v FC Porto at Stanford Bridge.

    ReplyDelete
  21. haya watu wa sekta ya utalii msilale,choteni pesa hizo.Na TTB nayo ijaribu kujitangaza,world cup hiyo tusipoangalia tutambulia patupu.Angalieni mfano wa watani wetu wa jadi kila kukicha watalii wanabanana.Inasikitisha saa sijui ubovu huko wapi,maana kama ni lugha siku hizi wabongo tunajitahidi haswaaa...
    Haya wananchi tushikamane kuitangaza nchi yetu.
    Mungu awabariki.

    ReplyDelete
  22. anon 3:17 hata kama mwizi mkubwa ni tajiri tuu akikutokea walao uwe rafiki yake wa karibu ndugu mwili wako lazima uvaibrate na hutakataa kabisaa zaidi ya kumpamba maneno ya mkosajiiiiiii hayamksoseshi fweza kufaidi mbona bongo mafisadi kibaoo wanatetemekewa na kuchezewa ngoma? nyooo ije iwe huyu?? si bora kanunua timu inaingiza mapato hukooo hawa mafisadi wetu wananunuga nini zaidi ya kupeleka vijicenti vyao kwenye akaunti za nje? acha pumba zako hapa ndio sasa ni mwizi nenda kamkamate mwizi huyuhuyu anaheshimika saana tuuuuuu kama ho mafisadi sugu hapo bongo
    miss michuzi

    ReplyDelete
  23. heee vipi iyo sura??????

    haki ya nani vile sijui uyu nae aja kubeba nini yalabi tobaa?mkataba gani tena wa kuuza nc..i

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...