
Elizabeth
Age: 21
Country: Tanzania Age: 21
Hometown: Dar Es Salaam
Occupation: TV Presenter / Actress
Biography: Elizabeth has one sister, two brothers and she's a Miss Tanzania Top 10 finalist. She says the best part of her country to visit is Mount Kilimanjaro and the best thing about Tanzanians is their kind and positive nature.
Elizabeth is a big Man United and Chicago Bulls fan and rates sleeping late and waking up too early as her bad habits. She loves dancing, needle work, cooking, watching TV and traveling - she has also lived in Hungary.
------------------------------
The 12 female Housemates have finally entered the House and are clearly over the moon. They are already treating themselves to champagne and snacks and are talking loudly in excitement.
The guys, on the other hand, remain oblivious of their female Housemates' existence in the penthouse that is bordered by a wall. Behind the wall is an empty space that will help with controlling the sound from travelling into the main House.
Despite all these precautions the girls' screams have evidently alarmed Big Brother who has told them, more than 3 times, to keep their voices down.
For more
CLICK HERE
and
CLICK HERE
and
CLICK HERE
Michuzi ni Elizabeth Ghandi au Gupta? interview ya kwanza tu anaanza na "You say!" kazi kweli kweli, maybe she was nervous. On a positive note I like her bubbly personality and energy, ila attitude isizidi hapo ilipo.
ReplyDeleteANALIMANYA YAI HUYU KAMA MBUNGE JOHN MASHAKA AU KAMA ACTOR KANUMBA???ALL THE BEST DADA KAIPEPERUSHE BENDERA YETU YA TWIGA MNYONGE,TWIGA MZURI LKN NGOZI YAKE IMEFUBAA TWIGA ANA KIU NA NYASI PIA ZIMEKAUKA HUKO NYIKANI TWIGA ANAWINDWA NA MAJANGILI NA WANYAMA WA KALI AMA KWELI TWIGA HUYU TANZANIA MAISHA YAKE YAMEJAA MASHAKAMASHAKA.SIJUI KWANINI TWIGA HAJAITWA TANZANIA AU TANZANIA HAIJAITWA TWIGA HIVI VITU VIWILI NAVIONA KAMA NI KITU KIMOJA VILE HAMNA MNYAMA ANAEFANANA NA JINA TANZANIA KAMA TWIGA NA HAMNA NCHI INAYOFANANA NA MNYAMA TWIGA KAMA TANZANIA.WATANZANIA NI WAPOLE MITHILI YA TWIGA NA MABINT WAREMBO MFANO WA TWIGA HUPATIKANA TANZANIA.NADHANI ASILI YA TWIGA WOTE DUNIANI HAPA NI TANZANIA WANAPOTOKEA
ReplyDeleteNaomba msaada,sitaki kuchochea majadiliano.ni kuelewa mambo tuu
ReplyDeleteHivi,ni sawa au ni right approach aliyoitumia bibie Elizabert alipoingia na kulakiwa na wenzake?
nafikiri she entered ostentatiously.Pia knowingly,1st impression last,je ni sawa to radiate false tokens by showing kama anawajua other contestants for years and fast establishing rapport.ile ni hypocrisy na likely to have adverse effects na kuwa distastefully and get rejected and voted out of the house.
I don't critisize negatively,I would like to study pschological issues za watu wanaokutana na kuishi pamoja for a prize at the end.there are those who aren't being their personalities.Some might have game plan,some could clash on cultural issues,others could dominate proceedings unconciously,pia others are are just being showy.
wadau how does she mean by being risk taker.what risks?
wawakilishi wa tanzania katika BBA woote sio watanzania original hii ni kwa nini?? au wale original kiinglishi huwa akipandi vizuri mnaogopa wasije wakatukanumba?? Mwisho Mwampamba mama Mrusi, Richard baba Muholanzi haya huyu nae nusu Muhindi! jooob true true!!
ReplyDeletelakini bora iwe hivyo make wale original wote ni kanumba type ukiwapeleka kule hawakawii kutukanumba. huyo John Mashaka kiinglishi kinapanda lakini angalia nae Primary skuli kenya, sekondari skuli kenya, bachelor digrii marekani, masters marekani ataacha kupandisha ung'eng'e?? BBA hata mkipeleka JK kiinglishi cha kuongea fluently atakanumba tu!! kaka michu sijamaanisha kikwete namaanisha John Kalama the former of which is who i meant!!
Mkosa kazi, ATL, USA.
Mungu ibariki Michuzi Blog na watoa comment wake, huyu Mtoa Maoni: Anonymous Tarehe Mon Sep 14, 12:05:00 AM ameniacha hoi kuliko maelezo! Doh, thx for making my day!
ReplyDeleteJamani mwenzenu sikuyaelewa yale mauno stejini .(butty shaking). kwani yanahusu??
ReplyDeletealizidisha mashauzi na ndo nini kuwakumbatia contestant wenzake kama anawajua miaka kede kede?? Cjaipatia picha huyo bado..
manake kawa kama latoya kukata mauno wameona sifa... amenichefua!!
wale 100% pure from tze wanabaniwa na waandaji multichoice. nyepesi zilizopo yule mshikaji aliyecheza fake pastor nadhani anaitwa Adam, aliaply lkn kina Baraka wakawatosa. kuna listi ndefu ya bongo wanaopiga ngeli ya maana, but staili ya uteuzi pale multichoice ina longolongo flani, ushahidi tumeuona walipomteua Kanumba kama starmate na alivyofanza kule mjengoni.
ReplyDeletenyie twendeni tu...tutafika uko watakapo walioshika makali.
hivi huyo baraka unayemsema ni baraka shelukindo? naye umeshaskia vituko vyake alivyofanya marekani?
ReplyDeleteNaona ameingia kwa kishindo kama alivyoingia Latoya na akawa wa kwanza kutolewa. Anyway I wish her all the best and we are behind her all the way. Good luck.
ReplyDeleteElizabeth amehaidi kutotoa uroda mjengoni...lkn bado sijajua multichoice wanahitaji sifa zp ili upewe shavu. Its time tuwe na watu wenye mawzo mapya, it looks kina Shelukindo wanafikra za kikoloni, wanaamini damu mchanganyiko na kusoma mbele ndio sifa but nimesema kuna wadau kibwena wanapasua mayai na wana upeo wa kutosha. Game imegeuka kama Miss TZ na Unc Hasheem...game zina distort we need diligence doers.
ReplyDeletebaraka shelukindo kafanya viroja gani tena huko marekani vimwage tuvijadili humu mdau teh teh teh....DADA NUKTA77 NAJUA KUWA WEE NI KICHWA NA NDIO MAANA UMENISOMA NILIPOMFANANISHA TWIGA NA TANZANIA YETU.ANYWAY NI MUDA HATUJAANDIKIANA TENA EMAIL NITAKUANDIKIA EMAIL YAKO BADO NINAYO.
ReplyDeleteBaraka Shelukindo kafanya vituko gani huko marekani?
ReplyDeletecjui kama Baraka anaweza kufanya kitu kingine tukakihita kituko zaidi ya ile ya kuzaa na dada yake.
ReplyDeleteMtoto wa kwanza unaweza kusema ulikuwa umepiga mtungi..wa pili cjui utasemaje...Hiyo ni laana!
Mmezidi udaku. Ya Baraka yanawahusu nini?
ReplyDeleteJamani Tanga Binamu nyama ya hamu, hakuna kosa hapo kwa Barak. yatawashinda fuateni yenu. BRAKA BIG UP!!
ReplyDeleteBaraka Shelukindo kafanyeje tena, acheni kutumegea vitu nusu nusu bwana.
ReplyDeleteMTU MMOJA HAPO JUU AMETUMIA TERM KANUMBA KAMA VILE MTU YOYOTE ANAYEVUNJIA KIINGILISHI BASI
ReplyDeleteANA-KANUMBA, KWA KWELI NI MBUNIFU NA AMENIVUNJA MBAVU NIMECHEKA KARIBU NI-PASS OUT, NA UCHOVU WOTE WA BOX UMEKWISHA, AMENIKUMBUSHA MBALI SANA, MIMI MAIMUNA, AU KIHIYO, AMENIKUMBUSHA NYUMBANI. BUT ALL IN ALL WE MUST UNDERSTAND ONE THING AND THAT THING IS ACCENT, ACCENT IS NOT ENGLISH, IS HOW YOU TALK, INTONATION, FOR ME I DID NOT SEE WHERE KANUMBA KANUMBARED, IT WAS JUST NORMAL PLAIN PERFECT ENGLISH WITH TANZANIAN ACCENT IN IT, IF FOR INSTANCE YOU COME HERE IN THE UK EACH PART OF THE COUNTRY HAS ITS OWN ACCENT, MANCHESTER THEY HAVE MANCUNIAN ACCEPT, LIVERPOOL THEY HAVE LIVERPUDIAN ACCENT, IF YOU GO TO SCOTLAND THEY HAVE SCOTISH ACCENT, NORTHERN IRELAND AS WELL THEY HAVE THEIR OWN ACCENT IN SUCH A WAY THAT IF YOU ARE NEW IN THIS COUNTRY YOU CAN'T UNDERSTAND SOME PEOPLE THE WAY THEY TALK, NEWCASTLE TOO HAS ITS OWN ACCENT THEY CALL IT JODIE. SO WE HAVE TO DISTINGUISH BETWEEN KANUMBARING AND ACCENT. GIVE A BOY A BREAK, PLEASE.
Nadhani tumpe nafasi Elizabeth,kwani show ndio imeanza,ukweli aliingia kwa kishindo,japo cha latoya kilizidi na kiliudhi wenzie,but yeye wenzie walimfurahia,leo hii amekosa nomination,hakuna aliyependekeza kumevict, tofauti na wenzie ambao wamepata nominations zaidi ya moja.japokuwa mwisho wa yote biggie amewaweka mabinti wote up for eviction,Watanzania wenzangu tumpigieni kura Elizabeth ili asitoke jumapili, tuepushe historia kujirudia kama mwaka jana.
ReplyDeleteBinamu nyama ya hamu kwa waarabu na wahindi, sio Tanga.iacheni Tanga.
ReplyDelete