

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ongera sasa mzee wetu mpinga ufisadi, Mungu akuzidishie maisha mema, marefu na yenye raha ndani ya ndoa
ReplyDeleteOyaa Makanga, msalimie mama naona bado yuko vile vile safi sana,i will see you when i come to Dar.
ReplyDeletedgambo-former bahari beach resident
congrats uncle and auntie from PVM(USA)
ReplyDeleteMheshimiwa,
ReplyDeleterekebisha ilo kosa la wakioba,noma...najua umeteleza.
Nawatakia heri kwa kutimiza miaka40 ya ndoa ni mingi sana,Mungu awazidishie,
ReplyDeleteJina ni Joseph Sinde Warioba na sio lilivyoandikwa,
-Pia mh. bila ubisha anaonyesha kuwa sio Fisadi,maana katika picha hakuna sura ya kifisadi kabisa,wote wanaonekana ni watu wa kawaida sana, Big up J.Sinde Warioba.
mdau wa Lusungo Ipinda Kyela.-Mbeya.
Nilikuwa nasikia ukiolewa Musoma lazima upigwe mpk jicho linyofoke, hapa nimemuangalia sana mama Warioba kwa miaka 40 yote hiyo hajapata chongo ina maana alikuwa. HONGERA SANA MAMA KWA MIAKA 40 YA NDOA.
ReplyDeletemichu swaumu kali? ni warioba sio wakioba
ReplyDeletemichu michu michuzi tafadhali hebu rudia tena kichwa cha habari hapo juu na usahihishe spelling za bwana wetu mheshimiwa sawa..ramadham kareem take care
ReplyDeletekutoka kwa muosha kinywa New york
Hebu mjaribu kutazama spelling mnapoandika kitu!tazama mlivyoandika jina la Warioba?
ReplyDeleteHONGERA KWA KUTUONYESHA MFANO, LAKINI SISI WANAUME WA SIKU HIZI HATUTULII KAMA PANYA BADALA YAKE TUNAKIMBIZANA USIKU NA MCHANA KUTAFUTA MASHIMO TUJIFICHE.
ReplyDeleteMzee warioba wala hana makuu kasherehe kake na familia aaaah poa kabisa, angalia sasa sherehe za viongozi wetu wa sasa yaani za kifahari kweli tofauti kabisa na hali ya mtanzania wa manzese. lakini hii ya warioba inafanana kabisa na hali za watanzania wakawaida unaweza kabisa kufikiria huyu labda ni jamaa wa manzese kumbe ni mtu ambaye alishawahi kuwa jaji na vile vile waziri mkuu...... very simple.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu awajalie na awazidishie yalioyo kheri katika maisha yenu, Mama naona yupo bomba kabisa.
ReplyDeleteHONGERA SANA MZEE WARIOBA, NI MFANO WA KUIGWA KWETU SISI WATU WA MUSOMA TUNAOSEMEKANA KWAMBA BILA KUPIGWA NA MUME NO LOVE. LAKINI HAYO NI MAMBO YA ZAMANI KWA SASA HAYAPO. PONGEZI NYINGINE ZIMFIKIE BOSS WANGU WA ZAMANI, BALOZI MSTAAFU OPANGA KAMA SIKOSEI NDO ALIKUWA MSIMAMIZI WA NDOA YA MHE. WARIOBA.
ReplyDeleteMdau - Beijing
Nampongeza saana Jaji Sinde na First lady wake................Kaka Michu waona hiyo keki unalishwa kwanza na first lady au first ladies sio na kadamnasi na mwenye haki anafichwa...Ujima kaka huo.
ReplyDeleteNa hizi holidays kila siku peke yako je wewe vipiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mzawa
Hongera Mzee Warioba, Gotta Irie nakuona na mamaa, mfano mzuri huo, swali kwa Mzee How did they make it work all these years?
ReplyDeletehongera mheshimiwa waziri mkuu mstafu jaji joseph sinde warioba kwa kutimiza miaka 40 ya ndoa,wewe unakaribia mzee wangu pia ambaye ametimiza miaka 47 ya ndoa!
ReplyDeletejamani nina swali la kizushi,hivi inatokeaje kwamba viongozi wote waliopo na waliowahi kuwa madarakani karibia wote wameoa uchagani?kuna siri gani ya watoto wa kichaga?hebu nipeni wadau!hehehehe! kwa sababu sio kwamba ni vipusa sana,hiyo haitoshi maana sio wote vipusa!! lazima kuna ujanja fulani wanao zaidi,tuelezane jamani!
Congratulations auntie and uncle...may God continue to bless your union and your family!
ReplyDeleteWay to go hongereni na mzidi kupendana
ReplyDeleteJoseph na Evelyn...HONGERA!
ReplyDeleteNawaona O na Vero pamoja na D (Twin)!
Salamu kutoka kwa Mtu ni Afya...siku hizi Born Again Pagan!
(CHEKENI)!