Mara tu baada ya shughuli ya kumuaga rasmi kwa kutumikia idara ya mahakama kwa miaka 35, Jaji Mstaafu Mh. Stella Longway aliongea na wanahabari juu ya haya na yale

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mama Longway, kwanza nakupongeza kwa mchango wako katika mambo ya judiciary bongo. katika mchongo wako bado kuna doa ambalo linahitaji maelezo ya kina, hasa kesi za uhujumu uchumi na jinsi zilivyoendeshwa kipindi cha Mwalimu Nyerere. Wengi wenu kama mahakimu au majaji mliongozwa na woga na kushidwa kulina muhimili wa sheria. Haki ya mtuhumiwa ni kuona sheria inafuata mkondo wake bila ya kuingiliwa na serikali lakini hilo halikuwepo katika utendaji wenu wa kazi. Nadhani wakati huu ukiwa unajiaandaa na maisha ya kustaafu ni vyema ukilielezea hili jambo kwa kina kwani haya ni baadhi ya mapungufu ya mahakama zetu kwani hayajaanza leo au jana.

    ReplyDelete
  2. Mama Stella,
    Nijuavyo mimi kuhusu jina lako kuwa uliamua kulibadili kidogo ili lionekane la kizungu kutoka " LONGWE" na kuwa "Longway". Hongera sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...