inaelelea mdudu wa vekesheni anazidi kungáta wadau mmoja baada ya mwingine. safari hii ni jide na mai hazbendi wake keptein gadna g. habash ambao hapo wanakula festiklasi kuelekea vekesheni sauzi. tatizo bibie mpenzi wa chelsea na mzee mzima ni bwawa la maini damu. hapo sasa.
taswira zaidi ya vekesheni hii nenda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 40 mpaka sasa

  1. AAAH okeyyy.Poa
    MBIJE,ANDENDEKISYE

    ReplyDelete
  2. KWA HARAKA HARAKA MAMBO YAFUATAYO YANAJITOKEZA
    1. JIDE ANALIPENDA SANA TAIFA LAKE
    2. GADNA ANAIPENDA SANA CHAMA KUBWA LIVERPOOL
    3.NI MUHIMU KUFANYA KAZI KWA BIDII KISHA KWENDA KUTANUA SIO KILA SIKU UKO KAZINI TUUU
    4. UKIPATA MKWANJA SIO KUUBANIA NA KUPANDA KAJAMBA NANI KILA SIKU
    5.GADNA HAFANYI MAZOEZI-MINYAMA UZEMBE KIBAO

    OTHERWISE TUNAWATAKIENI KILA LA KHERI ILA NA MIMI MWEZI JUNE MWAKANI LAZMA NITIE TIMU KWA MZEE MZIMA MADIBA KUCHEKI WELD KAP!
    ITS ME "MZEE WA KUFULIA"

    ReplyDelete
  3. SO WHAT. KAMA ABROMOVICHI AMETUA BONGO NA WATU WANGEPENDA SANA WAJUE HABARI ZAKE YEYE KAFANYA KOMFIDENSHO. SASA HAWA NDUGU ZANGU AMBAO BINAFSI SIONI UMUHIMU WA KUJUA WAPO WAPI, WAO NDO WANATAKA IFAHAMIKE WAPO WAPI. KWELI BONGO TAMBARALE.

    MDAU INDIA

    ReplyDelete
  4. Jamani mimi sisemi kwa ubaya, lakini tahadharini sana wana bloggers kuweka habari zenu na maisha yenu nje - sio kila mtu mmuungwana - Mafirauni wataamua kuja kufagia nyumba wakati nyie mnakuka kuku kwa mrija vakesheni. Labda muweke picha na habari wakati mkiwa mmesharudi ili kutunza security ya vyenu majumbani - HABA BONGO BWANA!!!

    ReplyDelete
  5. lady jdee tabia ya kujichubua sio nzuri naona uso umeanza kuwa wa kitwangapepeta,unaanza kutuuzi your fans

    ReplyDelete
  6. mama ampiga bao baba...

    safiii sana kwa raha zenu

    ila g.habash unaonekana mtu wa vurgu weye..kibaunsa baunsa tu

    mdau apo juu ebu nihabarishe jinsi gani nipate ticket japo niingie sauzi kipindi cha world cup...hotels zimekaaje uko?uharifu

    ReplyDelete
  7. Hongera, wanahitaji a break! lakini bendera ya taifa na vekesheni wapi kwa wapi!! basi watu wote wanaokwenda matembezi nchi nyengine inabidi waweke bendera ya taifa shingoni, incase ndege ikizama wajulikane raia wangapi wametoka tanzania ehehehe
    nana

    ReplyDelete
  8. kama kawa mzee wa kushoboka a.k.a
    mpambe a.k.a mnafki namba one
    a.k.a mzee wa fiksi na mzee wa
    kushobokea watu fulani fulani
    huyu si mwingine bali ni michuzi
    na hii commnent bana basi
    kama kawaida yako

    ReplyDelete
  9. Kweli sisi WaTz wote tulio vacation tukituma picha hapa michuzi blog itawezekana? Si itakuwa vurugu? Vacation yako ni jambo private

    ReplyDelete
  10. Wewe mdau unayeitwa NANA...Hivi ndege utembea majini ama hewani? Maana naona umesema "kila mtu abebe bendera ya taifa incase ndege ikazama"...mmh binafsi sikukuelewa ndio maana nimeuliza...

    Mdau
    Ashkmatit

    ReplyDelete
  11. Hongera binti Machozi na ma husband wako.Vikesheni kwa sana.Asante mzee wa Libeneke, nami niko safarini kuja bongo kwa vekesheni!Ila wazee wa eapoti ya uwanja wa ndege halahala mzigo wangu utoke salama bila kusachiwa!

    ReplyDelete
  12. HAIHUSU HAPA SI MAHALA PAKE VEKESHENI YENU NDO DUNIA NZIMA ITAMBUE? HAYA TULETEENI TASWIRAZ

    ReplyDelete
  13. Unajuwa kuna vitu viwili kwenye hii picha vinakosekana (1) elimu na (2)(exposure)watu born n raised in Bongo what do expect wakitoka nje?.
    Ni hayo tu michuzi usiniminye be fear kaka.
    mdau DC

    ReplyDelete
  14. Dada lady JD kuna vitu vinaitwa social network kama hi5, facebook na twita hapo unaweza kuweka picha zako private na siyo kila kitu uweke kwenye blog yako eti kwa sababu ni yako ndo maana michuzi anaweka mara nyingi akiwa na wadau mbali mbali na siyo unapiga picha unashangaa mpaka escator ya kwenye mall inaonekana bongo hivyo vitu hamna nini?

    ReplyDelete
  15. Bi Kidude in waiting all features from internal to external.

    "Muhogo wa jang'ombe eeee utaulamba mwiko oooo, usitukane wakungaaaa na uzazi ungalipoo!!!!!!"

    Mi ndiyo bi kidude, kungwi wa kila kitu.

    ReplyDelete
  16. KITENDAWILI..... KUKU MGENI.....

    ReplyDelete
  17. mdau Dc unachemka eti fear. unakaa us hata kingereza tabu ni fair

    ReplyDelete
  18. jamani wabongo tuache wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, sasa hapo mnalalamika nini....jide we umepeza best wewe ni maarufu lazima tujue habari zako mbona wanakufuatili kama una mimba , na mengine mengi loohh1 yani hapa nimesoma hizi comments nimegundua wabongo tunaoneana wive sana jama kha aaaaaa hasa hao walioko ulaya ndio kabisaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  19. we sijui unajiiita mdau wa DC kweli na kukuaa kote US unamaanisha nini ukisema fear??.nyie ndo walewale...standard 7 mmezamia marekani mnajiona mmewin na wakati hapo dC hamna la maana mnalofanya
    Pili anayetake Lady Jay dee afanye vacation private anachuki binafsi.Lady Jay dee ni celebrity mbona macelebrity wa ulaya mkipewa updates zao mnakimbilia kununua magazeti.
    Tatu we unayedai Jide anajikoroga.mimi namtetea ni mambo ya poda tu.Jide bado yuko natural
    Misupuu nakutagia ramadhani ya kheri

    ReplyDelete
  20. Mdau wa DC unaongelea kuhusu kukosekana kwa elimu sasa kuandika hilo neno "FEAR" hapo; je hio inaashiria elimu kwa upande wako au ni swala la kupenda tu kuwachambua watu wengine kwa kuwa unaishi nje ya TZ?

    ReplyDelete
  21. At least ume panda firdt class na kupiga picha kupost online, ila kuna wale wana panda economy class na kujaza picha online kuonyesha wamepanda ndege.

    Ila ushamba wa kupiga picha Mall na kwenye suppermarket siwezi kuku samehe kwa hilo , jamani wewe dada utadhani huja wahi safiri , sas andio nini kutuonyesha Mall na supermarket eti una shop na kununua kuku? huko kwenye blog yako..... loh!

    ReplyDelete
  22. Nyie wapambe wa JD Naona mnakomalia mis-spell yangu hapo juu about "FEAR", Number One i'm savvy individual of English that you can ever deal with, is just an error and i did cause i was rushing to get my child some cup-cakes and did not proof read my stuff however that word is pretty close to word "FAIR"anyway.
    Well,I suggest you stick to the point i raised earlier about (1)Elimu (2)Exposure - kwa kupiga picha unapanda escalator/ngazi za umeme, wow i can't remember doing a such ushamba even the first day i got here(long time before internet huko bongo ambazo zimefanya dunia kijiji).Otherwise don't use that error as an scapegoat ending up incriminating me.
    Mwisho kabisa kiingereza kwangu nilala nakiongea, ninaamka nakiongea but at the end of the day i'm proud of my kiswahili and always love my country but not so much love for my government, so hapa kwa michuzi tunafurahisha baraza tu na siyo nyie huko bongo unaongea kiingereza siku ya kuomba visa tu.
    -Mdau DC (Georgetown Baby)

    ReplyDelete
  23. dahh WAOSHA VINYWA MMENIFURAHISHA SANA NA COMMENT ZENU,MBONA MICHUZI AKIENDA VACATION HAMUONGEI?AU KUSAFIRI ASAFIRI MPEMBA TU,AKISAFIRI MZARAMO KAENDA NGOMANI.

    ReplyDelete
  24. business class kwenda south ni cheap tuu unaongeza vishilingi kadhaa enyi wadau pandeni business class mnapoenda mashariki ya mbali or maulaya utaijua habari yake business class kwenda south ni sawa tuu na economy kuja huku majuu tena naona cheap zaidi kwenda kwa madiba
    miss michuzi

    ReplyDelete
  25. mi sioni kama kuna ubaya kupata mambo yanayojiri huko aliko kwani jide ni mtu maarufu sana ndio mana anaona sio vibaya kushea pamoja mambo fulani huko aliko.

    hivi mbona tuna roho za kwanini hivyo? ila angefanya wa ulaya hayo ndio mngemuona wa maana lol sio poa hivyo,.

    tuache wivu jamani hivyo ni vitu vya kawaida jamani lol.

    hongereni sana JIDE NA GADNA,

    Ila CAPTAIN tunakumiss katika kipindi chako cha JAHAZI japo kipo lakini ww ndio CAPTAIN.

    ReplyDelete
  26. Jide na Captain,
    Binafsi I really admire u. kweli watu wana wivu, but worry not coz they will just come around. Mi nimesoma sekondari ukisema kwetu kuna video(japo ilikuwa ya fomaika) watu wanasema we muongo.
    Enjoy ur vacation guyz.

    ReplyDelete
  27. Maamaaa jitanue na shem ..watanzania wana ongea sana sana kidole kimoja kwako vinne vimejikunja kuelekea kwao..!!! Badala wawaze positive kwao kazi kusema ya wenzao blog ni ya michuzi ana uhuru wa kuweka chochote anachotaka so long as hakimvunjiii status ya blog yake..Ol da best Michuzi.

    Jide salimi wote mwaya...tatizo wabongo wamezoea upedejeee kwa sana tanua kwa urefu wa kamba yako..ambrovich amewakata kilimilimi wabongo ,dege lake 100 bilion nakshinakshi kibao dhabahu eehh si kichina hapaa,halafu people 6 kamili unanipata!!! Hajachukua mkopo NMB,AZANIA,BARCLAY yennuu wala standard ....zake hizo only for vekesheni tanzania kupanda milima kilimanjarooooo wachaga tupo juuuu mtajiju waleeeeeeeeeeeeeeeeeeee,na ze blues ya kwake i love chelsea....Unalo hilo

    We una million zako 10 nyodo kibao..na gari lako mtumba la Toyota...tulia weweeee onea wivu watu kama hawa uendeleeee!!!

    We unajishau naenda likizo ...unaishia kwenda kimara au mbagala kwa mjombaa..nyooooo!!! mabomu hayoooo yanakutoa nduki

    OOhhhh mara kabeba bendera mara ooh picha za kununua kuku,bahati hiyo tu unayo ya kupata hata mpiga picha kukuambia nikupige picha???? Nyooo Celebriiiiii huyoooo .....

    Wengine kurekebisha spelling...ni jinsi gani ur capacity is limited,go beyond

    ReplyDelete
  28. Hapa si kwamba tunamwonea wivu JD na Gadna nooooo, tunajaribu kutumia uhuru wetu wa ki katiba yaani freedom of speech.Mimi JD hana cha kunifanya nimwonee wivu, kipato cha machozi band cha mwezi mzima ninakipata nikipaga boxi masaa manne tu. so mwacheni aendelee kupaka poda nyingi mpaka ageuke mdoli watoto wetu wachezee.
    -Mdau DC

    ReplyDelete
  29. hongereni sana. nimeonya nyumba yenu pale Kimara Temboni. bonge ya house. Hayo ndo maendeleo

    ReplyDelete
  30. mdau wa sept 04,05:17:00
    unapiga boksi wapi unakopata kipato cha mwezi mzima cha machozi band kwa masaa manne?au umeamua baraza lifurahi tu hapa?

    ReplyDelete
  31. Mdau wa DC aminia babake!!! umewapa vidonge vyao. mi nlikuwa nashangaa washamba wanakomalia neno fear wakati vichwani mwao wanajua kabisa ulikuwa unamaanisha nini na ilikuwa wazi kabisa kuwa ile ilikuwa misspelling inayotokea mara nyingi mtu unapoandika kwa keyboard ya computer. kwanza ile inaonyesha kuwa speed yako ya ku-type iko juu. umewaweza na umewashushua vilevile. ha ha ha ha umenchekesha kweli!! ni kweli kabisa wabongo kule wanaongea english siku wakienda kuomba visa tu!!! manake hata chuo kikuu bongo wanalonga kiswahili wapi na wapi. we uko mamtoni english is obvious you talk it you eat it you walk it you sleep it so wenye wasiwasi na gego lako washambaaaa!!! big up mwana. nami pia nilimponda lady jd aache ushamba picha zoote alizopiga anaziweka bloguni kah!!! hata chakula walichokula kwenye ndege nacho kakipiga picha kaitundika bloguni kah ama kweli hujatembea hujajanjaluka!!! halafu si blogu alishaitangaza tayari sasa mpaka awashtue watu michuzi blog eti waende kwenye blog yake wakashangae picha za afrika kusini kwenye supemarket eti tumshangae yeye jinsi anavyoshangaa spinach na kabichi kuuzwa supermarket lol!!, wamezoea bongo spinachi hadi uende kaliakoo au masaki ukakute zimeanikwa kwenye kigunia ha ha ha!1 tembea uone.
    Mdau, Lafayatte, NY

    ReplyDelete
  32. hii ndo michuzi blog yetu bwana ya tangu enzi na enzi. ukileta zako za kuleta unapigwa jepu juu kwa juu ohoo. ukiweka post hapa uwe umejiandaa kwelikweli manake watu wako kila pembe ya dunia vinywa wazi mwaaaaa ka' mamba mwenye njaa vile wanasubiri utie post kichwakichwa wakuchinjilie mbali!!! na ukizubaa mara michuzi nae mtoto wa mjini hajatulia anakuchinjilia mbali. ka ishu haijatulia pia anakupa kubwa tu, chinjilia baharini kudadadadeki tupilia kapuni potelea dalesalama!!
    ahsante
    mdau wa lafayyete a.k.a mswahili wa NY.

    ReplyDelete
  33. Takwimu zinaonesha wabeba box wengi wana roho za KOROSHO,watu babkubwa wenyewe 2menyuti tu tunakula chabo.Ukitumwa na mzungu usije kulipiza hasira zako hapa kwa hawa ndugu zetu wala vumbi it's not FAIR unaniskia mdau wa DC?

    Mpiga chabo mzoefu Michuzi Blogu

    ReplyDelete
  34. Afazali sasa hivi wabongo wanajua vacation. Nikienda bongo huwa nashangaa sana watu walivyo na mahela lakini hata mtaa wa pili hawaujui.Hela wanalimbikiza sijui wamsavia nani aje atanue nazo...enjoy your money.


    Ila kingine we need to work on that ni ile mimama yenye hela inasafiri yenyewe AKA kufanya shopping au mibaba yenyewe inasafiri na kuwaacha watoto na mkewe nyumbani AKA safari za kikazi

    Mnatakiwa mkienda vacation mwenye na familia zenu bwana

    ReplyDelete
  35. WOTE WAWILI NAWAFAHAMU VIZURI, KUPIGA PICHA KATIKA NDEGE NI HALALI KWAO, VIGEZO NI VINGI SIWEZI KUORODHESHA HAPA ILA KWA UFUPI VINABEBWA NA UZITO WA VICHWA VYAO. MTU MFUPI HUTAFUTA UHALALI WA KUWA MREFU KWA KUINAMA KATIKA MLANGO. NA MASKINI HUTAFUTA UFAHARI WA MTU MWINGINE NA MSHAMBA HUONYESHA USHAMBA WAKE NA UELEWA MDOGO. TUONYESHENI BASI NA MNAPOLALA NA MNAPOSALIMIANA NA MNAODHANI NI WATU MAARUFU. HII NDIO TAAABU YA WAJINGA MNATULAZIMISHA TUSOME MAMBO YENU BINAFSI. LKN KWA UPEO WENU HONGERENI NDO MMEMALIZA HAPO.

    ReplyDelete
  36. Wenyewe wanajifanya bonne and clyde a.k.a beyonce and jay-z kumbe ni pwagu na pwaguzi hovyoooo.

    ReplyDelete
  37. ndiyo mdau wa DC ujumbe umewafikia vilivyo wametulia tulii mbona watu wanakosea kiswazz kila siku watu kimya subiri ubofoe kiinglish watu wanacharuka kuwa wooote wamesoma akademia hadi st kayumba msondo nao wanajidai wanakijua kweli hasa mdau mmoja akielekeza na wao wana copy wanajifanya ati na wao wamo jamani mbavu zangu zinauma kwa kucheka blog hii idumu
    mdau canada

    ReplyDelete
  38. pole dada judith wambura aka lady jaydee. manake vinywa vya waosha vinywa umevioga haswa. ni vema umeifahamu vizuri michuzi blog siku nyingine uwe unaishia hukohuko kwenye blog yako, au ukipost hapa michuzi upost kwa heshima zoote manake humu wajanja wengi watakuchambua wewe hadi ujute ni kwanini ulipost. pole mwaya utajuuuta kuifahamu michuzi usiwe unaamsha waliolala kupitia hapa utakuja pewa talaka bure mwishowe. michuzi wajanja na wajuaji wengiiii ukiingia ingia kwa stepu usiingie kichwakichwa macho juu.
    kaka michuzi leo toto afrika inachinjwa na simba usikose kuleta majamboz la sivyo na wewe tunakutolea uvivu kama tulivyomtolea jaydee wako.
    ahsante

    ReplyDelete
  39. kongea lugha ya kingereza sio kuelimika! waweza kua umezaliwa ktk nchi ambayo lugha kuu inayotumika ni kingereza kwa hiyo hata usiposoma, kingereza lazima utakijua tu,hakuna haja ya kutoa mifano mingi kuhusu hili,nadhani ingependeza kwa wadau hasa watanzania wangetoa maoni kwa lugha ya kiswahili,tuipende na tujivunielugha yetu ndugu zangu.

    ReplyDelete
  40. asanten kuifanya asubui yangu iwe njema...mbavu zangu uwiii

    mdau DC me hoi apa duh eti adi cup-cakes hahahahaaaa,aya uyo wa ushamba urefu na ufupi,aya na wee mdau wa pwagu na pwaguzi,mara michuzi anashobokea watu hahaaaaa
    mara kiinglish eti msongo kanumba jaman kanumba tena kaingieje umu?

    ivi nyie mnajua kiinglish au kujishaua tu??

    hii blogu idumu milele

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...