Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi kombe la ushindi wa mchezo wa mpira wa miguu Kapteni wa timu ya kituo cha Elimu Michezo na Mazoezi (EMIMA) kituo cha Makuburi wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya amani. Kabla ya maadhimisho ya siku hiyo kulikuwa na mashindano amani ya mpira wa miguu yaliyozikutanisha timu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yamefanyika leo katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam huku ujumbe wa mwaka huu ukiwa ni silaha ziwekwe chini ili kuleta amani Duniani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...