Kaka mambo vipi, mrushe huyu jamaa amekamatwa akiiba simu aina ya BlackBerry 8310 katika duka la moja Mayfair Plaza jijini Dar mchana huu. Kasema anaitwa Joseph Mbuya Mkazi wa Mikocheni A. Hapa akiwa chini ya ulizi mkali kuepusha wadau wenye hasira kali wasimfanyizie…!
Mdau DH

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. mbona hana manundu huyo?

    ReplyDelete
  2. Huo ulinzi mkali uko wapi, mbona hiyo picha haiendani na uzito wa maandishi yako? Haioneshi kama kulikuwa pilika pilika yoyote zaidi ya huyo mdau kuwa kama anapiga story na hao walinzi wa security group.

    ReplyDelete
  3. ebana nilisahau kama bado kuna yale mambo ya kibaka auwawe bongo...ila fisadi afagiliwe

    ReplyDelete
  4. hay wkina mbuya mpo we NAILEJILEJI kamuokoe ndugu yako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...