Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Haina USHIRIKINA wala nini..
    ni USHIRIKISHWA kwenye ulaji + 10%.
    Full UFISADI.

    ReplyDelete
  2. UTAMU WA ASILIMIA KUMI NA UBINAFSISHAJI UMEZAA KICHEKO INTERNET CAFE HUKO MOSHI SASA INABIDI WAKIITE KILIO IMTERNET CAFE.

    ReplyDelete
  3. hahahahaaaaa,KP noma!!!

    ReplyDelete
  4. Nakumbuka watu waliwapigia sana kelele hawa wahindi ila kwa sababu walishalamba Rushwa kwa ajili ya kujenga maapartments wakakaidi na kuendelea na ubinafishaji! nakumbuka nasani mpangala alichora katuni inayoonyesha mhindi ana brifikesi kubwa na watu wanashangilia lakini ilivyofunguliwa kulikuwa na mifupa ya samaki,ng'ombe na uchafu mwingine. kinachotakiwa ni kuwakamata wote waliohisika na kuwafungulia mashitaka ya kuhijumu uchumi bila kujali rais au waziri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...