KUTOKA SHOTO NI DJ BULA (jamani bulaaaaaa...!), DJ 2SHORT, MALKIA SOPHIA KESSY, ANTONIO NUGAZ AKA SWAHIBA PAMOJA NA MAESTRO WA MICHEZO X TRA.
Baaada ya Mwaka mmoja wa kuendesha blog inayohusu masuala mbalimbali ya wanamuziki na muziki wa kiafrica nimefanikiwa kujifunza mambo mengi sana ingawa ni kazi ngumu kwelikweli lakini namshukuru Mungu ananipa moyo wa Ku deal na watu mbalimbali.
Leo hii naomba kuitambulisha kwa Mara nyingine tena na kwa wale wasioifahamu naomba kuitambulisha blog yangu ya Bambataa, kwa wale wasioifahamu na wale ambao wanaoifahamu naomba sana tuendelee kushirikiana na kuendelea kuutanga Muziki wa Kiafrika ndani na nje ya mipaka yetu.
Kama unapenda kujua lolote kuhusu muziki au una lolote kuhusu muziki wa Africa unataka kunishirikisha ili tujalidi na wengine nao wafaidi basi nifikishie nami nitayafanyia kazi.
akini pia Tembelea
kutana nami Malikia wako nikuenzi kiafrica kupitia clouds Fm the people station kuanzia saa moja mpaka saa tatu usiku kila siku jumatatu mpaka ijumaa asanteni na karibuni sana.
Naam! Nafasi ya kubambatuliwa hiyo.
ReplyDelete