Kaka Michuzi,
Amini usiamini hiyo pikipiki na namba za usajili za UJ bado inadunda Kigoma. Nilikuwa huko juzi na kufanikiwa kuipata. Niliambiwa pia kuna magari kadhaa ya mamwinyi wa kule yana namba za zamani za usajili - UJ, KG, TZ. Hii imekaaje!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Naitaka hiyo pikipiki, nifanyeje?

    ReplyDelete
  2. UJamaa umetupita jamani...hilo bonge la pikipiki si lihifadhiwe kwenye jumba la makumbusho...kule butiama!!!

    ReplyDelete
  3. Chaajabu kipi hapo? Kwamba hawajafanya usajili mpya au pikipiki ni ya zamani sana?

    ReplyDelete
  4. NYIE WATU WA KIGOMA MNAONGOZA KWA KUCHOMEANA NDIO HAKUNA MAENDELEO HUKO!!
    MUACHE APETE WEE KINAKUUMA NINI AU UNAPOTEZA NINI??. WATU SASA HIVI WAKO BIZE NA EPA WEWE UNAONGELEA PIKIPIKI NA MAGARI BINFSI.

    ReplyDelete
  5. Zenji wakijitenga na Kigoma nao wajitenge kwasababu kule sio Tanzania yaani kama ni mtoto basi wa kufikia(wa kambo)sio kama ilivyo kama Tanga vile au morogoro,mbeya,dodoma,mwanza na Dar ofcourse

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...