wadau gadna g. habash na mai waifu wake lady jay dee a.k.a manka wanamaliziamalizia vekesheni yao sauzi kwa kutembelea rasi ya tumaini jema, huku wakituma salamu kwamba libeneke la machozi band linaanza upya siku ya iddi mosi pale pale pa siku zote - thai village. haya na mengi mengineyo unaweza kuyapata zaidi na zaidi ukimtembelea lady jay dee mtaani kwake...



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Asante kaka Mithupu, pamoja sana na hongera bwawa la maini mko juu. Manka

    ReplyDelete
  2. huko ndo mwisho wa ulimwengu cape point hapo ndo zinaukutana bahari ya wadosi na atlantic every week i go fish these place naishi jirani scarbrough juu ya simontown

    ReplyDelete
  3. Furaha ya ndoa.....?

    ReplyDelete
  4. furaha ya ndoa ni maelewano , mengine ni majaliwa ya mungu. kula holiday mwana.. kumbe nimekuwa tejaaaaa, teja la mapenziiii, kumbe nimebwia ungaaaaa ohhhh sijiweziiiiii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...