Home
Unlabelled
majambo ya baba tau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mbowe ligeuza chama chake,ndo matatizo yote,baba mkwe wake mzee mtei amemzuia zito kugombea sasa umoja wa vijana wameshinda vijana wa zito,sasa dr slaa kahairisha uchaguzi,kazi kweli kweli.wbunge wa viti malum roho juu,maaana walipewa kindugu vyeo.zito kiboko,wamuachie chama awachemshe ccm.
ReplyDeletehapo ndo utaamini kuwa CUF ndio chama cha kweli cha upinzani,wamejipanga wakapangia,huwezi kusikia ujinga kama huo,jamaa wanaijua siasa,sio chdema,namuonea huruma sana rwakatare,ndhani lipo anatamani kulia.
ReplyDeletendhani wakatoliki wanatamani kulia,maana walikuwa wanaitisha CCM kwa waraka,wakijua kura wataipa chadema,sasa muislam zito anataka kukichukua chama,kazi kweli kweli,tatizo la chadema siasa za ukbila na udini mwingi,ndo maana zito anakumbana na vikwazo vya kila aina.lakini dogo kaza buti.wewe hun udini wala ukiabila.ndo unfaa
ReplyDeletewote wanafiki tu. hakuna cha kafu wala chandimu. kama hao kafu wako makini mbona sefu na mwenzake mapumba hawaachii ngazi wakati muafaka zanzibar unawashinda, bara hakuna wanachokifanya. Zito we nenda tu kaanzishe chama chako watu wa kigoma wapo wengi tu watajinga. siasa ya Tanzania ni wizi mtupu!!!
ReplyDeleteMaoni mengine yanachafua hari ya hewa. sasa wakatoliki wanatajwa ili iweje!! niujinga wa kukosa kufikili. kwani waliompa kura zitto kule kigoma wote ni waislam? tusisingizie vyama wakati wabaguzi ni nyinyi baadhi ya watoa maoni. kwani CUF ilifanya nini kwenye uchaguzi uliopita ama umesahau? kama umesahau kamuulize profesa Safari anajua zaidi yaliyomkuta.
ReplyDeleteHuyu zitto msinge mjua kama sio chadema hiyohiyo chini ya kamanda mbowe. Lazima tukubali kuwa mbowe kafanya kazi kubwa sana kukijenga chama. daima watu wenye akili umfurahia mtoto aliyezaliwa tayari ana wala awaifanyii berthday mimba na mtoto aliyeko tumboni, maana huo ni wendawazimu!! akizaliwa chura je?
mwee nilikua sijaelewa cartoon hahahaaaaa
ReplyDeletekhaaaa annon #1 ya ukweli ayo au???kumbe chama cha "baba mkwe?"tihtihtihtih...kaazi kwelikweli
zitto muislamu????asanteni
anyway chama litafika tu salama
kwa nia njema wadau