Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza na mke wa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Korea, Mama Hong Ja katika chakula cha Jioni alichandaliwa Mheshimiwa Pinda na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Korea, Han Seung Soo kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Seoul

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. samahani naomba kuuliza , hivi hapo wanatumia lugha gani kuwasiliana?

    ReplyDelete
  2. wanatumia kimatumbi

    ReplyDelete
  3. Mama kweli natural na anaonekana ameenda kikazi siyo matenge na viremba mavazi ya kinyumbani hasa kwenye ngoma na kitchen party.
    Maoni tu.

    ReplyDelete
  4. wanatumia lugha ya viziwi(Sign Lang)

    ReplyDelete
  5. why wanaweka kanga begani? Hapo wanatumia sign language maana Mama Tunu english iz not richabo kama Michuzi.

    ReplyDelete
  6. amevaa nii huyo Mama Pinda? najaribu kuelewa

    ReplyDelete
  7. jamani nina swali...hivi ni lazima hawa wake wa waheshimiwa kuwa na vitambaa/mabegani??wat is the use of those things?maana sielewi naona ni mzigo and sometimes haviendani kabisa na nguo wanazo vaa na kama ni culture yetu sina uhakika na hilo for me thoz vitambaa are a big no

    ReplyDelete
  8. Yes mama nanii mwaga sera unajua hao wakorea wapo juu sana wanaweza wakaja kurebisha mambo fulan fulan hapa nyumbani.

    ReplyDelete
  9. Acha dharau kijana..mama pinda ngeli imo...sio Maimuna huyo b4 that alikuwa na cheo kikubwa tu usalama wa taifa na hakukipata kupitia mgongo wa mtu ni mwanamke wa shoka huyo...ila balaa sasa ni huyo mkorea..

    ReplyDelete
  10. Kweli kabisa wakorea not reachable kabisa atakuwa hamsikii kabisa ndio maana anatumia mikono zaidi kuelezea.Msiwadharau watanzania jamani kuna watu huku duniani Kiingereza sio dili kabisa na wako juu ile mbaya kiuchumi ukijua kiingereza sana halafu?

    ReplyDelete
  11. Mweshimiwa waziri mkuu hana mpango wa kuongea na watanzania waishio hapa korea?? Naona viongozi wa TALIKO (Chama cha watz waishio korea) wamefanya kila njia lakini......au huenda hawajui kuwa kuna watz wanaoishi hapa..!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...