Hi Kaka Michuzi,
Nakukaribisha wewe na wadau wako mnitembelee kwenye blogu yangu SWAHILI TIME ili muone picha chache za Caribbean Carnival iliyofanyika kwetu Cambridge, MA, leo jumapili.
Nakukaribisha wewe na wadau wako mnitembelee kwenye blogu yangu SWAHILI TIME ili muone picha chache za Caribbean Carnival iliyofanyika kwetu Cambridge, MA, leo jumapili.
Kwa kawaida inafanyika mwezi Agosti, lakini walichelewa mwaka huu na kuifanya leo. Tunaaga summer (kipindi cha joto) nayo. Inaanzia Putnam Ave, na kupita River St. karibu napokaa.
Karibuni
Mdau Da'Chemi
nimechungulia kule mambo safi sana lakini mbona we uliwategea wenzio!!!wenzako wamesaula lakini we umevaa kama unaenda UKWENI,next time tupe kitu na box kama ulishiriki onyesha ,kama ulikuwa mpiga picha tu sema!!!hii mijeans yako kwenye matamasha ya wa2 ya nini? ni bora ulipeperusha bendera ya Jamaika.
ReplyDeleteChemi umekua sasa, nakukumbuka toka miaka ya Chuo Kikuu ulipokuwa kadogodogo!!!
ReplyDelete