





Kaka Michuzi,
Ramadhan Kareem,
As promised earlier this year, I would like to give you and everyone a brief feedback on the charitable visit carried out by Mtwara Volunteering Crew (MVC) in Mtwara, southern Tanzania.
Before going to Mtwara in August this year,
MVC organised several fundraising events here in the UK including;
-Mount Snowdon ascent·
-Mount Snowdon ascent·
-Bike ride from London to Brighton·
- Karibuni Poster Exhibition,
celebrating the images and crafts of Tanzania
The funds raised were distributed as follows
when we were in Mtwara;
· -As a contribution to the cost of water connection in Naulongo Village in Mtwara
· -As a contribution to the cost of water connection in Naulongo Village in Mtwara
- Paid in full for the Women Empowerment seminar (VICOBA) for 234 women
- Paid in full for the Women Empowerment seminar (VICOBA) for 234 women (including meals, notebooks and transport to and from the seminar)·
- Paid in full for the Women Empowerment seminar (VICOBA) for 234 women (including meals, notebooks and transport to and from the seminar)·
- Raha Leo Orphanage Centre:
Paid in full tuition fees for the 18 primary and secondary schools students. Also contributed textbooks and drawing materials to the Centre.·
-Textbooks for Shangani and Mikindani Secondary School.·
-Financial contribution to Mtwara Women Living with HIV/AIDS (MWOLIHA)· -Magomeni Catholic Church Youth Group
I would like to take this opportunity on behalf of Mtwara Volunteering Crew, to thank our host, the MP for Mtwara Urban Hon. Mohammed Sinani, the people of Mtwara and everyone who contributed to this great cause. Last but not least, thank you Kaka Michuzi for giving us exposure to your esteemed viewers.
For more information:
or visit our blog:
Amin nimekuzimia!!
ReplyDeletevipi nkamwone baba yako?
nilitaka kujua ntampata wapi baba yako nije kutoa posa, lakini nimeiona e-mail yako tutawasiliana hapa wanga wengi!
God bless you guys
ReplyDeleteNO EVERY LITTLE THINGS NEED TO BE DONATED IN DAR ES SALAAM'S ORPHANAGES.
GOOD EXAMPLE
Kaka Amin naona mambo yako yametulia kama Chelski yako karibu Bongo
ReplyDeletehiyo logo ya t-shirt zao(compas) kwa tunaofahamu moja kwa moja hiyo org siyo nzuri na inaendana na hiyo charity work wanayoifanya
ReplyDeletenampongeza sana huyu kijana aliyeratibu hizi shughuli za maendeleo Mtwara.
ReplyDeletehongera sana sana sana.
Ahsanteni!
ReplyDeleteTunajitahidi na mungu akipenda tutafanya mambo makubwa zaidi ya haya. Na kwa sasa kikundi kimeshasajiliwa Spain, kwa hio tutaweza kupewa misaada mikubwa zaidi na kampuni mbali mbali.
Kaka Michuzi asante sana, tunaomba uendelee hivyo hivyo na Mwenyezi Mungu atakuzidishia.
Amin
Poleni sana na hongereni kwa kazi ngumu mnayoifanya ya kulea yatima. Lakini kwa maoni yangu ningependa kuona kuona mnakuwa creative kidogo kama nia kwqlei ni kusaidia yatima, kwa mfano badala ya kulea watoto ktk mazingira ya orphanage centers, mngeangalia namna ya kuintergrate hao watoto kwenye normal family life kwa mfano kwa kuwatafutia na kuisupport familia inayoweza kuisha na watoto hao.
ReplyDeleteKukaa kwenye center ni vizuri hasa hasa kwa kubana matumizi lakini nafikiri kuna long term effect kisaikolojia na kijamii kwa watoto hao, kwam mfano watoto hao wanakuwa hawana normal social skills ambazo watoto wengine wanazipata ktk mazingira ya kawaida ya kifamilia.
Maoni naomba yasichukuliwa vibaya, wengi wa watu wanaoendesha orhanages wana nia nzuri ya kusaida watoto na ninawasapoti kwa asilimia zote isipokuwa nalitaka kuonesha mbadala unaoweza kuwasaidia zaidi watoto yatima in the long run pale tu inapowezekana kutumia mbadala huo, pale isipowezekana hizo orphanage centers ni muafaka vile vile.
Asanteni sana kwa maoni yenu mazuri na tutayafanyia kazi.
ReplyDeleteNingependa tu kufafanua kwa Anony Mon Sep 14, 03:43:00, kwamba hio logo tumetoa kule kule Mtwara na kinyago cha mpingo kilichochongwa na wamakonde na ndio maana tumeitengeneza ile iwe logo yetu. Yaani representing Mtwara.
Na vile vile Kaka Trio Sep 14, 05:44:00PM, hawa watoto wote wanakaa majumbani kwa jamaa zao na ambao hawana jamaa wanalelewa na wasamaria wema. Hii center ni sehemu ya kukutana, kucheza, kufundishwa mambo ya dini na maadili na kujisomea. Hata kama mtu anataka kusaidia watoto hawa inakua rahisi kukiwezesha kile kituo badala ya kumtafuta mtoto mmoja mmoja na kumsaidia. Wasiliana nami kama ungependelea maelezo zaidi.
Asanteni
Amin
Amin,
ReplyDeleteunaonaje kituo chenu mkakiita tu kituo cha malezi ya watoto. neno yatima kwa kweli mimi halinipendezeshi. naona kama likitumiwa ni kama kuwapiga "muhuri" hawa watoto.
naomba kuongeza kwamba kazi yenu ni nzuri na tunayoyasema hapa ni kujaribu tu kuifanya iwe nzuri zaidi na zaidi.
MUNGU AWAPE NGUVU YA KUWATUMIKIA NA KUWASAIDIA WENZENU ZAIDI NA ZAIDI.