Home
Unlabelled
obama kama john f. kennedy?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
saffiii sana wenye roho za kwa nini mtajijuuu haihuuu...
ReplyDeletemdau canada
HII PICHA YA KUSTAGE!!!!!!!!!!lol!!!!!!!!!!HAWAWEZI KUWA SAWA HATA SIKU MOJA!!!!!!!
ReplyDeleteCan be a doctored image........!
ReplyDeleteKama wanashabihana basi Obama naye atapigwa risasi si muda mrefu.
ReplyDeleteFananisheni mpaka mmalize ila Sio sawa Wazungu wanapenda kumfananisha J F KEnnedy na Obama ila Ukweli Je Watu Weusi Kipindi cha Kennedy alipendwa na Asilimia kubwa ya Watu Weusi? Obama tunajuwa Asilimia Kubwa ya Watu weupe wanamfagilia. Kennedy ndio sababu ya Malcolm X kutokutajwa sana Marekani sababu alimsema Sana Kennedy katika kuwachia madawa ya kulevya yaingie ovyo harlem watu weusi waharibike kuliko Elimu. James.
ReplyDeleteWao ndio wana/walikuwa na watoto wadogo, acheni hizo....
ReplyDeleteYEES Mr President!!!Swaafi sana You are indeed a family man. Ride on brother!!!
ReplyDeleteTatizo kubwa inalekea watu wengi hawaangalii news ama wako mtandaoni wanahangaika na Za Utamu. Mnaosema hii picha imekua staged mmeangalia news jana ama leo? Hii picha imekua released jana na mpiga picha wa Obama so its not a staged picture as you guys claim.
ReplyDeleteanon wa Tarehe Thu Sep 03, 06:39:00 PM, hivi unaelewa maana ya staged picture? iwe imetolewa na muandishi wa Obama au cnn yote ni sawa kwamba hawa jamaa walipozi na kupanga kabla ya hiyo picha sio zile picha ambazo automatic upigwa bila ya mhusika kutambua... Kwa ufupi ni kama maigizo vile au copy cat fulani hivi...aahaa hope umeipata picha.
ReplyDeleteKenge yani ndio nilikua na waza mara picha kama Kennedy mara kutumia safari na bibble kama Lincoln , jamani huyu na jaitabiria kuwa wacked? maana wote hao Idols wake ni waliuwawa.
ReplyDeleteCha ajabu nini toka lini picha proffesional ikapigwa kwa bahati mbaya na isiwe staged? kwanza kingine cha ajabu ni nini kwani Whitehoyse na hiyo Office si ni jengo moja hilo hilo , hapo ni home kwao mtoto mdogo kucheza officeni ni kawaida na huyu Obama anataka mamabo fulani kufananisha na Kennedy kuleta watoto officeni.
I wonder nani siku moja ata imba "Happy Birthday Mr President" ? kama Ms Norma Jeane Mortenson a.k.k Marilyn Manroe ... Beyonce ???? mmmmh nadhani itabidi awe a Hootichie zaidi,Trinna? sijajua nani....
mh!! mmeanza mautumbo yenu kujifanya wajuaji tu nyambafu!
ReplyDeleteiwe staged au vinginevyo,kikubwa nikwamba jamaa anaipenda familia yake, nanimfano mzuri wa kuigwa, big up Obama
ReplyDeletelooh!!!! hii sasa tuumachi, obama hata akijinyea kuna watu watasema "yes,... safi sana... you know!.. president lazima ujinyee so as to look like odinari pipoz sometaimz"
ReplyDeletePUMBAF
KEKO KIBOKO SOFA ZAO MPAKA IKULU YA MAREKANI,KWELI MNATISHA
ReplyDeleteMwisho mtasema Obama ni Mtume sasa, maana kila kitu cha Obama ni sawa dah! hivi eti kuipenda fammilia yake, kwani watu wangapi wanazipenda fammila zao? nadhani Watanzania wengi walikuwa hawajui kufuatilai masiha na utamaduni wa kizungu mbaka aobama alipo anza kugombea ndio wakamfuatilia maisha yake wakidhani ni yeye pekekee ndio ana upendo na fammilia yake!
ReplyDeleteWE MATANGALU NI MBUMBU NDO MANA ULIFELI FORM FOUR MAZIRO YANAKUSUMBUA HADI HUMU UNAENDELEZA UJINGA
ReplyDeleteMimi sijafika form IV, nimeishia darasa la tano nikachukua mtemba kwenda ughaibuni tehetehe
ReplyDelete