Home
Unlabelled
pima macho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Umejuaje kama huwa vinazunguka....kapime!!!
ReplyDeleteje kama vina ruka ruka tu nifanyeje!
ReplyDeletehavizunguki ng'oo ila ni full pink
ReplyDeletemiss michudhi
mimi naona vinatetemeka, je nifanyeje?
ReplyDeleteUki click ka alama + miduara inazunguka
ReplyDeleteMimi vimezunguka, je ina maana macho yangu mabovu? na mbona sijawahi kuwa na tatizo la macho hata kidogo?
ReplyDeleteViduara havizunguki, lakini kama ukiangalia vizuri hilo duara zima upande wa juu kulia kuna nafasi moja iliyoachwa wazi, kwa maana kiduara kimoja cha pinki hakipo. Sasa basi hiyo nafasi iliyo wazi huama kwa haraka sana kutoka kiduara kimoja hadi kingine na kama hujaangalia vizuri utaona kama duara linazunguka..... NAAMINI NI MAZIMA SANA!!!!!
ReplyDeletembona nimevaa miwani na bado vinazunguka? ina maana miwani yangu ni mbovu ama macho yangu ndio mabovu....
ReplyDeleteWote mmepita wima wadau ni hivi...
ReplyDeleteUkishabofya kimsalaba..angalia hicho kimsalaba tu (kwa ku-focus) baada ya muda viduara vyote vyote vya pink hupotea na kimduara cha kijani hubaki kinazunguka is kind of amazing coz ukiacha kufocus tu viduara vyote vya pink vinarudi.hilo la kupima macho naona jamaa kachemka.
Daktari wa macho
DUWARA HALIZUNGUKI ILA HIZO TAA ZINA WAKA KWA MPANGILIO WA MZUNGUKO.KAMA MACHO YANGU NI MABOVU NIFAHAMISHE MAANA JUZI NILI BUSHANA NA DAKTARI HAPA MPAKA WENZAKE WAKAMWAMBIA MACHO YANGU NOMA.[dazd@windowslive.com].
ReplyDeleteMiye naona viduara vya pinki vinazunguka, halafu mara kinabaki kiduara kimoja cha kijani ndio kinazunguka...hapo inaashiria nini Braza? Nile michicha tu ntapona au na miye nahitaji mawani??
ReplyDelete..viduaraaa..vinaduarika..mmh, sijui mduara huuu, wa viduara..
ReplyDeleteJamani mwenzenu naona kiduara kimoja tu cha kijani!
ReplyDeletejamani me naona kama kuna ki2 kinazunguka kwenye ivyo viduara.mmh aya am on ma way 2 hospito
ReplyDeleteHiyo nafasi iliyobakia ni ya kiduara nimekitoa makusudi ili niweze kuvihesabu hivyo viduara. Ilikuwa kila nikihesabu simalizi nazunguka tu. Kumbe viko viduara vya pink 10. Am genious!
ReplyDeleteHamna cha ajabu hayo ni mambo ya illution
ReplyDeleteukitaka kuona zaidi ingia kwenye google na andika illution utapatamifano mingi tu.
mimi sijaona hata kitufe kimoja naona msalaba tu, au uzee unakaribia
ReplyDelete