Waziri wa Fedha na Uchumi Mh.Mustafa Mkulo amemteua Bwana Pius Aloysius Maneno kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu kuanzia tarehe 22 mwezi wa nane mwaka 2009.
Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara ya Fedha na Uchumi Ingiaedi Mduma imesema kuwa uteuzi huo ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 cha sheria namba 33 ya mwaka 1972 na kurekebishwa na sheria namba 2 ya mwaka 1995 iliyoanzisha NBAA.
Hapo awali Bwana Pius alikuwa Meneja wa Corporate Service na alikuwa anakaimu nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani ni Pius ninae mjua mimi?? Yule yule wa pale kijiweni mjini..alienisaidia pale center for for' rel ..aise dunia hii kila kitu kina wezekana..!

    ReplyDelete
  2. congratulations Mr. Pius Maneno, Long time coming.
    Neema Mayenga(mama majuva's daughter)

    ReplyDelete
  3. Hongera Maneno,let remember your old school SANGU SEC- the very talented school,hope you remember Mwl.Makandi,Mwakyulu?? and others.
    mdau,
    Lusungo Kyela Mbeya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...