President Jakaya Mrisho Kikwete(Second left) Burkina Faso president Blaise Compaore(third Left), The Prime Minister of Albania Sali Berisha(Left) and the Inter Action President and CEO Samuel Worthington(fourth left) clap at the end of a panel discussion on the Importance of Country led development organised by the Millenium Challenge Corporation in collaboration with Inter Action at the UN Millenium Plaza in New York, this morning. President Kikwete is in New York for the UN General Assembly(photo by Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. NICE TALK, TALK, TALK.....THE LEADERS ARE GETTING RICHER AND RICHER SKIPPING TAXES, THE SUBJECTS ARE GETTING EVEN POORER HAVYIER TAXED, CLAP YOUR HANDS.

    ReplyDelete
  2. Wewe Anon hapo juu 09:12. U sound u r quite a pessimistic to state the least.

    Kikwete kaza buti. Achana na hao wanaokejeli. Stay focussed for hiyo ndiyo njia ya kutengeneza legacy baba. Hongera na tukopamoja Mkuu.

    ReplyDelete
  3. Hongera saana Rais wetu kwa kutuwakilisha vyema. Swali la Kizushi..... Katika picha ukiiangalia kwa makini inaonesha kama vile wanampigia makofi Mhe. Kikwete, lakini mbona naye anajipigia makofi?! Hivi iwezekana mtu akajipigia makofi pia!?

    Mdau,

    Misugusugu.

    ReplyDelete
  4. ndiyo inawezekana saaana tu kujipongeza kwa makofi wakati wenzako wanakupongeza huonagi kwenye besidei?? watu woote wanaimba na kupiga makofi jumlisha na mwenye shughuli

    ReplyDelete
  5. Waziri wa Afrika Mashariki alia na wingi wa bidhaa feki

    Na Dominic Nkolimwa

    23rd September 2009

    Waziri wa Afrika Mashariki, Bw. Diodorus Kamala.
    Waziri wa Afrika Mashariki, Bw. Diodorus Kamala, amesema Serikali haitakubali kuona viwanda vya ndani vikifa kutokana na soko kutekwa na bidhaa feki zilizozagaa kila mahala nchini.

    Ameyasema hayo wakati akikagua kiwanda kimoja cha kutengeneza vifaa vya umeme Jijini, ikiwa ni mwanzo wa ziara yake ya kujifunza bidhaa na aina ya viwanda vilivyopo nchini kwa ajili ya kutafuta soko katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    Amesema kuwa hivi sasa, soko lote la Afrika Mashariki limetawaliwa na bidhaa feki kutoka nchi za nje, jambo linalosababisha hasara kubwa kwa wananchi na kuathiri viwanda vya ndani kutokana na bidhaa hizo kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na bidhaa halisi.

    Aidha, akasema si bidhaa feki pekeetu zinazoweza kuua viwanda vya ndani, bali hata bidhaa zinazozalishwa kwa ruzuku, kwani zenyewe pia huuzwa kwa bei za chini.

    "Ni lazima tuendelee kudhibiti soko hili ili wajanja wachache wasiliharibu na kuua viwanda vya ndani," akasema.

    Akaongeza kuwa sasa ni wakati muafaka kwa wazalishaji wa ndani kuisaidia Serikali katika vita hiyo kwa kupendekeza njia bora ya kumaliza tatizo hilo.

    Akiendelea, akasema ofisi yake itakuwa wazi kutoa msaada wowote katika kuimaRisha soko la bidhaa za Tanzania katika soko la Jumuiya hiyo inayoundwa pia na nchi za Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na Tanzania.

    Kamala ameongeza kusema kuwa sasa Tanzania inafanya vizuri katika soko la Afrika Mashariki kwa bidhaa za viwandani, ukilinganisha na bidhaa zitokanazo na kilimo eneo ambalo imekuwa ikifanya vibaya katika soko hilo.

    "Muungano huu lazima uwe na tija kwa nchi yetu kwa Watanzania kuzalisha sana na kuuza katika soko hilo ambalo linahitaji sana bidhaa kutoka Tanzania kutokana na ubora wake," akasema Kamala.

    Akaongeza kuwa hivi sasa, soko zuri katika Jumuiya hiyo ni nchi za Burundi na Rwanda, kutokana ukweli kuwa gharama za kusafirisha bidhaa kwenda katika nchi hizo ni nafuu zaidi kulinganisha na sehemu nyinginezo.

    ReplyDelete
  6. KIKWETE BADO NAKUKUMBUSHIA SWALI LANGU LILE.

    ReplyDelete
  7. ...kwa taarifa tu...
    akitoka apo anaenda kwenye mnuso "maalumu" ila me chichemi chana ntachikwaaa

    ila jaman!!!kwa matendo yetu tutahukumiwa

    ReplyDelete
  8. OBAMA AKILA KIAPO NA MTAZAMO WAKE MPYA JUU YA AFRICA. ANASEMA HATA KAMA UKINYUNYUZIA KA UCHAGUZI NA KEENDELEA KUENDELEA KUWANYONYA WANAWA NCHI HUU SIO WAKATI WAKO.

    http://www.youtube.com/watch?v=4NrhfQaneNQ

    ReplyDelete
  9. wewe unasema legacy?what legacy kikwete anategeneza.nafaham kwamba ni kiongozi asiweza kukaa nchi mwake zaid ya mwezi.yeye ni kutembea tu.ni muda gani atapta kufikira mtazamo mpya wa nchi na tunakokwenda.wapi utapata mda wa kudigest ushauri,kama utapata.kuna mikutano mengi nasio kila mkutano ni muhimu kwa nchi kuliko vitu ambavy vinahitaji immediat attension. kabisa..nashaanga nchi za afrika zinakumbatia UN ni wanafiki tu.
    mimi ni mtanzani lakini raisi ninaye msifu ni Rais kagame na museveni.hawa wanajitahidi na maendeleo yao unayaona.
    wananchi wa watanzania ni wapole sana na wakarimu.hii huwa inanisikitisha na kunipa uchungu maana viongozi wetu wanatia kichefuchefu.na pia kututumia.
    sijui kuhusu tanzania kwa miaka ya mbele inarudi nyuma tu.
    ahsante michuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...