Home
Unlabelled
raha ya madawa ya kichina
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Lol hii ni hatari kubwa..sipati picha kwa wanaume ..maumbile yao yatakuwa vpi eheh
ReplyDeleteDu! Wachina wako juu kiivyo?
ReplyDeleteNAULIZA HIVI NA WACHINA NA WENYEWE WANATUMIA HAYA MADAWA YA KUONGEZA NANII AU WENYEWE MH! BUSINESS MBELE.
ReplyDeleteSitaki kuamini haya ninayoyaona, kama amechorwa vileee.... au laa basi atakuwa JINI. Hivi tunaenda wapi?
ReplyDeletelakini moja, mbili, tatu tutazunguka butcher mbali mbali za malumalu, za cement lakini nyama ni ile ile, ikipikwa kwa mchuzi au ikikaangwa, na utamu ni ule ule.
ReplyDeleteIli mradi imepitishwa na TBS kwa viwango bora vya nanii thanks.
Nawakilisha.
huu ugonjwa wadada tuache jamani!! turidhike na tulivyoumbwa haya ni matokeo ya kufru kwa Mola wetu
ReplyDeletekah!
ReplyDeletebut guys that is 2 much!anyway kapenda kuwa hivyo!
ReplyDeleteheheheheeeeeeeeeeeeeee! wataka shepu weye haya sasa hiyo..........
ReplyDeletesi mzigo huo... wachina wenyewe wameridhika na kuanguka chooni nyie mwajidunga sindano, subiri yaanze kudondoka manyama hayo... tehetehe umepata shepu au kawa kama katuni...
Huo ni mwanzo tu, ategemee mabalaa mengine zaidi ya hilo. kwanza najua hapo tayari anakaraha za kutosha ndani ya nafsi na kama sikosei hayo ma hips fake yatakuwa yameshatia ganzi sehemu yote yalipo. Mbaya zaidi vidume wa kibongo nao sikuhizi wanahusudu vimodo siyo dhoruba kama hizo ambazo wengi huwa wanapenda kuzifunua tu kujua zimekaaje kisha zinapotezewa!
ReplyDeleteHamna taabu ni mwanachama wa CHAWATA, akiwezeshwa ataweza!
ReplyDeleteDuu naona juu mwafrika chini mzungu kweli kazi ipo angalieni kwato zake za rangi gani ndio mtaona faida yake.
ReplyDeleteZitafutwe dawa za namna hii na ijaribiwe kwenye Ng'ombe ili watu waweze kupata nyama nyingi zaidi! that would make more sense ama?
ReplyDeleteumefunga michuziiiii
ReplyDeleteYEAH, madada zetu wanapenda iyo vitu lkn hawajui km ina madhara sana badae, majuz niliskia kuna mke wa waziri flan kijana alitumia za kuongezea ukubwa wa makalio!! yaliyomkuta.... tako 1 likawa kubwa kuliko lingine noma pia serikali naskia wameshaliona hilo tatizo wamelivalia njugu 'nimesoma blog ya makavulive bt am nt sure'
ReplyDeleteMh, jamani sitaki kuamini...hii ni picha ya ukweli au manuva ya computer cjui photo nini kama kawa? MI naona hii imetengenezwa..ingawa wapo mahipsi yaliongezeka ila not to this extent unless ni ugonjwa sasa du!
ReplyDeleteHapo amezidi mpaka kinyaa, imagine akivua nguo utafikiri ng'ombe amelala
ReplyDeletewachina ni mabingwa wa kutengeneza bidhaa feki hapa duniani na ndio wanatajirika kwa hilo
ReplyDeleteKi-top chake kimeandikwa: "I love DICKIES". Kweli dunia imekwisha....
ReplyDeleteEwe Michuzi
ReplyDeleteWanifurahisha mno
Kwanza umepiga photoshop cloning brush na hata ramadhani huiogopi?
All the same i had a good laugh
Wakatabahu
Wooow!!!!!!!
ReplyDeleteExtra ordinary sitting facility
hii picha nimesha wahi kuiona kwenye ze utamu na mawowowo blogs michuzi ulikuwa unatafuta nini huko mwezi huu mtukufu
ReplyDeleteDuh! wanasesere wa siku hizi bwana!!! utadhania mtu wa kiukweliukweli!
ReplyDeleteMimi sidhani kama hii picha ni ya kweli watu wametumia utaalamu wao hapo halafu tuna singizia dawa za kichina.Halafu watu wote mnaamini.Msije mkanyesha madawa kufikiria yanafanya kazi.
ReplyDeleteMmmmh!:-)
ReplyDeleteMbona anapendeza, Wachina kazi nzuri, natamani wanawake wote wangekuwa na namna hii!!!!
ReplyDeletembona kwa madiba mishepu hii mingi tu tena yakuzaliwa nature sio dawa za mchina wala nini
ReplyDeleteKina Dada msivunjwe moyo na maneno ya watu wengine kama mnahisi kuwa na makalio kiasi hicho basi fanya hivyo ufurahishe nafsi yako hakuna mwengine wa kufurahisha nafsi yako isipokuwa wewe mwenywe
ReplyDeleteby Taufiki.
JAMANI MSIAMINI HII NI MAMBO YA "PHOTOSHOP" HAYA. UKITAKA KUJUA ANGALIA MSITARI MWEUPE NYUMA YA HUYU DADA UNAONEKANA UMEPINDA KUMUELEKEA HALAFU UPANDE WA PILI UMEPINDA MBALI NAE.!!!
ReplyDeleteblaza
hii si kweli na wala si photoshop. huyu dada amejaladia, hiyo jeans ndani ina sponge na mtu anapovaa ndo anaonekana hivyo!
ReplyDeleteniliona dubai suruali ya kitambaa kama hiyo lakini siyo jeans na mpaka chupi zenye matako ya sponge zipo, mtu ukivaa hiyo chupi ukavaa na nguo yako inakaa vizuri tu na si ya kutisha kama hiyo, kwa wale kina abanchichi kina wastiri na si vibaya si unataka upendeze na hakina hatari maana kisponge hakianguki na wala hakikai vibaya. maana naskia kuna wanawake wanajijaladia sku hizi mashughulini, basi bora mkatafuta hizo chupi!
Kaka,kaka mjeuze basi huyo nyuma tumuone vizuri kila konaaa... Usibane kaka.
ReplyDeletePhotoshop ya nguvu, waoshwa vinywa, naona saumu kali hamuwezi kufikiri tena. Macho juu, Balozi unapenda sana kutupiga kamba.
ReplyDeletebobeshera abanrundi abanyarwanda nabaganda wallahi eeehhhh????????!!!!
ReplyDeleteaaaah come on michuzi we know that kweli hizi vitu zina madhara makubwa sana lakini please do=nt try to fool us with a fake picture dude!!!!1 that sucks kweli lakini kuna dada mmoja nlikuwa namtokea alikuwa na hizo mavitufake ziko kama sponji vile!!!!
ReplyDelete