familia ya bi harusi mtarajiwa rose (wa tatu shoto)
wakila pozi nyumbani kwao kimara mwisho
jijini dar kabla ya kuelekea kwenye hafla
bi harusi mtarajiwa na wapambe wake
rose (kulia mbele) na bw. harusi mtarajiwa Jeff
(nyuma kulia) wakiwasili msimbazi centre kwenye
kituo cha kulelea watoto yatima kutoa zawadi kabla ya kuelekea kwenye
mnuso wao wa send off usiku huu
uliofanyika ukumbi wa adam hapo hapo msimbazi.
rose na jeff watameremeta ramis baadaye
mwezi huu jijini nairobi anakotoka bw harusi mtarajiwa
watarajiwa na wapambe wao wakiingia kutoa
zawadi kituo cha kulelea yatima msimbazi centre
watarajiwa jeff na rose wakiwapa keki watoto
kituo cha watoto yatima msimbazi centre
kwa vile watoto wengine walikuwa wanajiandaa kulala
ilibidi keki yao wachukuliwe na sista mlezi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. TEACHER, DENMARKSeptember 06, 2009

    NIJAMBO NZURI MLILOLIFANYA KUKUMBUKA WATOTO YATIMA MUNGU AWABARIKI AWAZIDISHIE MUISHI KWA AMANI NA UPENDO

    ReplyDelete
  2. I am so impressed by your generousity, mwili wangu unasisimka. Mungu akubarikini. Hongera na tunakutakieni maisha marefu na ya starehe.

    ReplyDelete
  3. Nimeipenda hii staili ya Kuwakumbuka wasio na uwezo kabla ya kufunga ndoa basi na iwe kweli jamani!

    ReplyDelete
  4. Mkuu michuzi, hivi process za ku adopt mtoto huko bongo zinakuwa je? i would like to help one or two of those kids and i reside in N.America.
    i'm not jocking about this thing please let me know how may i help them.

    ReplyDelete
  5. Wewe anon sept 06 09:32 acha utani hivi kweli kwenye ukoo wenu umekosa mtoto wa ku-adopt au kijijini kwenu? Usilete kichefuchefu hapa tafadhali.

    ReplyDelete
  6. mimi nafikiria mungu akipenda mambo yakienda vizuri nitasomesha yatima kutoka kituo chochote kwa kumlipia ada na fedha za matumizi katika shule nzuri kama vile marian girls,feza etc zenye viwango vya juu kielimu kutoka form1 mpk form6 au hata chuo(na si kujitapa kama baadhi ya wabunge wanaodai wanasomesha wasiojiweza ukiangalia shule yenyewe ada sh 20,000 kwa mwaka) badala ya kupeleka misaada vituoni inayoishia mikononi mwa wasiowaminifu au kutumika kwa siku moja.
    hii ndiyo sadaka yangu kutengeneza maisha ya yatima millioni 2 kwa mwaka sadaka tosha

    ReplyDelete
  7. For sure, we should start to adopt these kids and give them love. I will do the same when i go back home next year, and to adopt one after i settle.

    Hongereni Bibi na Bwana Harusi, Mungu awabariki, aibariki na ndoa yenu. Huu ni mfano mzuri kwangu pia na jamii nzima. I promise to remember do the same style in my wedding, if not my plan is always to help them kids and change the life of one or two orphans.

    Mungu aibariki Tanzania. Tunahitaji watu wengi zaidi wakarimu kama akina Rose na Jeff.

    ReplyDelete
  8. Mdau uliyeulizia namna ya ku-adopt mtoto bongo, bila kukukatisha ni process ndefu mpaka kukamilika. Kama uko nke ya nchi kama ulivyosema unatakiwa uanze kufuatilitia kabla hujaenda na ukienda uwe na muda wa kutosha, na ujipange kwenda na kurudi sevral times.

    Mimi nina ndugu ameadopt mtoto toka kwenye hivi vituo, imemchukua mieze kama sita mpaka kupewa na mtoto, na mpaka sasa process haijakamilika na hawezi kumtoa mtoto hata nje ya Dar.

    Najua wanajaribu kuwa makini ili watoto hao wasiishie mikononi mwa watu watakaowa-abuse, kwa hiyo kama kweli una nia fuatilia tuu kwenye vituo. Namba za simu za msimbazi center zitakuwa somewhere on the web.

    Wale wengine wasioweza kufuatilia process ya kuwaadopt watoto, ukijitolea kumtunza mtoto akiwa hapo kituoni kwa kumlipia ada na mambo mengine pia ni msaada tosha.

    ReplyDelete
  9. Mdau wa 2:21:00pm sep 06 wewe kama huwezi ku-adopt kaa kimya, personally i have no motive for doing so, si kila mtu anataka kugombea ubunge noo na tukiwa na mawazo kama yako yenye kutu na mafupi hatutafika mbali. Mimi mwenyewe baba mkwe wangu ali adoptiwa and now look how great family of my wife been raised !! Nakupa mfano mdogo tu ukienda dukani hapa states kumnunulia mtoto wako raba ya jordan ina cost up to $ 200 sasa jiulize hizo dollar 200 kama unamsaidia mtoto kama hao hapo juu siutakuwa umefanya jambo kubwa? Tatizo ni ubadhilifu wa hizi institution zetu huko bongo kwa hiyo ninaona rahisi sana ku adopt and to show them love that they never tested.Pia mimi siwezi kusaidia ukoo wangu woote ila naweza kusaidia watoto wangu 110% including nitakae m- adopt hata wewe hapo juu unayepinga show some remorse to those kids and if you're orphan and under 18 yrs i can consider helping you with no discrimination. Michuzi i will be there next summer so you can show me who to talk to about adoption of those kids.

    ReplyDelete
  10. HATA MIMI NIKIRUDI BONGO NI-ADOPT ANGALAU MMOJA PAMOJA NI NAWATOTO WAWILI MUNGU AMENIJALIA WAMEKUWA NA WANAVIJIDIGREE VTAO WANAENDA MAISHA YAO usa na canada sasa tunasikia ni vizuri tusaidie wengine.

    ReplyDelete
  11. Wewe Anon Sept 06, 08:40 PM unayesema upo states, kama kweli unayo nia fanya hivyo basi! Sasa show yote kwenye kadamnasi ni ya nini, kwa maandisi tu waonekana ndio walewale Watu wa SHOW. Mungu anakuona na ubabaishaji wako!

    ReplyDelete
  12. Binti Rose na Bwana Jeff; Mmekuwa mfano unaotakiwa kuigwa na vijana wenzenu. Nimesoma maoni husika na kwa kweli you have influenced some people towards kusaidia watoto waliyo pembezoni, na kupunguza ubinafsi, na majigambo katika shereha hasa za harusi. Mbarikiwe sana, na mjaliwe watoto mtakao wamudu kuwapa maadili meme kama mliyo onyesha kwa watoto hawa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...